My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Hiyo takataka inayovuja ndio ya kushangaa ?? Ushawahi kutoka nje wewe takataka??Hizi porojo tu
We baki kwa mabeberu Siku ukirudi uanzie kushangaa terminal three Mambo yalivyopendeza
😂😂😂😂😂😂😅😂😂😂 MKUU wa mkoa wetu ye ata aanze tu kupaki!wamepita hapa usiku huu wanatangaza tukajiandikishe...
Una sababu gani kumchagua mtu ambaye kesho anauawa, anatekwa , anapotea. Hapana. Big No. Waache watawale milele.Kwanza unatakiwa kujua kuwa wizara ambayo inashughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa iko kwenye ofisi ya Rais. Kwa maana nyingine, Boss wa Serikali za Mitaa ni Rais.
Pili, Mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa iko mikononi mwa Ofisi ya Rais.
Rais alichofanya ni kutimiza majukumu ya Ofisi kama ambavyo kanuni za utumishi zinavyomtaka.
Kwa upande wa kisiasa, Rais Magufuli na CCM hawana hasara yoyote kama watu wengi hawatajitokeza kwenda kupiga kura kwa sababu haiwaathiri katika majukumu yao ya kitaifa kwa sababu tatizo la political legitimacy lipo tokea mwaka 1995.
Kutojitokeza watu wengi kwenda kujiandikisha ni pigo kwa upinzani ambao unategemea nguvu ya madaraka kupitia sanduku la kura!
Haina mjadala kuwa watawala wa nchi za kiafrika huhofia sana wanapoona wananchi wengi wanakuwa na mwamko wa kutaka kupiga kura kwa sababu hii inayonyesha wanataka mabadiliko.
Jaribu kuangalia utagundua kuwa CCM walipata msukosuko katika chaguzi mbali mbali kutokana na wananchi wengi kujitokeza kupiga kura.
Nihitimishe kwa kusema, Watu wengi kutojitokeza kwenda kujiandikisha ni sherehe kwa serikali iliyoko madarakani (CCM) na kilio kwa wale wanataka kuingia madarakani (Wapinzani).
Ushawahi kutoka nje wewe takataka??
msemaji uongo kwa jina la msemaji ukweli. wakala wa msema ukweli ni mpenzi wa Mungu wakati ni msema uongo. llogic imekukimbia. logic na uongo havichangamani hadi mwisho!Kwanza unatakiwa kujua kuwa wizara ambayo inashughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa iko kwenye ofisi ya Rais. Kwa maana nyingine, Boss wa Serikali za Mitaa ni Rais.
Pili, Mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa iko mikononi mwa Ofisi ya Rais.
Rais alichofanya ni kutimiza majukumu ya Ofisi kama ambavyo kanuni za utumishi zinavyomtaka.
Kwa upande wa kisiasa, Rais Magufuli na CCM hawana hasara yoyote kama watu wengi hawatajitokeza kwenda kupiga kura kwa sababu haiwaathiri katika majukumu yao ya kitaifa kwa sababu tatizo la political legitimacy lipo tokea mwaka 1995.
Kutojitokeza watu wengi kwenda kujiandikisha ni pigo kwa upinzani ambao unategemea nguvu ya madaraka kupitia sanduku la kura!
Haina mjadala kuwa watawala wa nchi za kiafrika huhofia sana wanapoona wananchi wengi wanakuwa na mwamko wa kutaka kupiga kura kwa sababu hii inayonyesha wanataka mabadiliko.
Jaribu kuangalia utagundua kuwa CCM walipata msukosuko katika chaguzi mbali mbali kutokana na wananchi wengi kujitokeza kupiga kura.
Nihitimishe kwa kusema, Watu wengi kutojitokeza kwenda kujiandikisha ni sherehe kwa serikali iliyoko madarakani (CCM) na kilio kwa wale wanataka kuingia madarakani (Wapinzani).
Andiko lako ni aibu kwako binafsi na kwa ccm pia , una macho yanayoona karibu mno !Kwanza unatakiwa kujua kuwa wizara ambayo inashughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa iko kwenye ofisi ya Rais. Kwa maana nyingine, Boss wa Serikali za Mitaa ni Rais.
Pili, Mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa iko mikononi mwa Ofisi ya Rais.
Rais alichofanya ni kutimiza majukumu ya Ofisi kama ambavyo kanuni za utumishi zinavyomtaka.
Kwa upande wa kisiasa, Rais Magufuli na CCM hawana hasara yoyote kama watu wengi hawatajitokeza kwenda kupiga kura kwa sababu haiwaathiri katika majukumu yao ya kitaifa kwa sababu tatizo la political legitimacy lipo tokea mwaka 1995.
Kutojitokeza watu wengi kwenda kujiandikisha ni pigo kwa upinzani ambao unategemea nguvu ya madaraka kupitia sanduku la kura!
Haina mjadala kuwa watawala wa nchi za kiafrika huhofia sana wanapoona wananchi wengi wanakuwa na mwamko wa kutaka kupiga kura kwa sababu hii inayonyesha wanataka mabadiliko.
Jaribu kuangalia utagundua kuwa CCM walipata msukosuko katika chaguzi mbali mbali kutokana na wananchi wengi kujitokeza kupiga kura.
Nihitimishe kwa kusema, Watu wengi kutojitokeza kwenda kujiandikisha ni sherehe kwa serikali iliyoko madarakani (CCM) na kilio kwa wale wanataka kuingia madarakani (Wapinzani).
Ushamba mzigo hiyo terminal 3iliyojengwa tangu awamu ya nne mmembebesha Mungu wenu Magu? Mvua ndogo ya juzi maji yali jaa ndani ya jengo usipime. Labda hicho ndiyo atakuja kushangaa kuona Airport ya kimataifa mvua ikinyesha abiria mnatafutana si jambo la kawaida kwa vijana vya ndegeHizi porojo tu
We baki kwa mabeberu Siku ukirudi uanzie kushangaa terminal three Mambo yalivyopendeza
Labda ushangae kuvuja wewe umeona wapi kiwanja cha ndege cha kimataifa maji yana jaa? Ndiyo cha kushangaaHiyo takataka inayovuja ndio ya kushangaa ?? Ushawahi kutoka nje wewe takataka??
Watu wanatekwa na kuuwawa hovyo kama bongo? Au hiko nje wako wasiojulikana wanateka ma kuua ?Hata nikitoka lazima niwe na return ticket
Siwezi kuishi kwa mabeberu Mimi
Kule ni kuzuri kwa mazingira ya nje tu lkn maisha ya kishetani mno
Ndio maana tumesema, jitangazeni mmeshinda nchi nzima.Kwanza unatakiwa kujua kuwa wizara ambayo inashughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa iko kwenye ofisi ya Rais. Kwa maana nyingine, Boss wa Serikali za Mitaa ni Rais.