Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,469
- 1,697
Rais Magufuli huyu mzee anaelewa kweli anachokieleza au anabwabwaja tu maneno bila kujua nini anachokisema? Hiyo elimu yake imemwelimisha hayo anayo yatoa?
Anatueleza sisi juu ya septic tanks kana kwamba watanzania wanajua what the septic tanks are? Katika mazingira kama hayo kwenye picha hayo ma septic tanks wakazi wa mijini watayaweka wapi?
Septic tanks kwanza gharama yake sidhani kama watu wa uswahilini wanaweza ku afford. Zaidi ya hayo yanahitaji eneo kubwa kwa ajili ya kusambaza maji taka ardhini
Dar inahitaji investiment kubwa sana ya Sewage System. Haya mambo ya water treatment ya mtu mmoja mmoja kwa mjini ni kudanganyana tu. Hii System ina-work kwenye isolated Houses.