Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,686
- 140,352
Sasa kama ana ushahidi wa mtu kula pesa kwanini asimkamate badala ya kuropoka ropoka?
Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo."Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017
Swali
Ukitofautiana na Rais sio mzalendo?
Kwa kweli haya ni maajabu ya rais wetu wa sasa ukitofautiana naye tu unakuwa msaliti, sio mzalendo, umehongwa, duh safari hii tumepata rais untouchable."Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017
Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo?
Ina maana wote tunaopingana naye tumekula pesa, Msekwa amekula ngapi, Wassira amekula ngapi hata Kikwete naye kahongwa, this is too much sasa.Hoja ni kula pesa na kutupigia kelele
Ukikosoa kilicho kweli utasemekana umehongwa?Kwa kweli haya ni maajabu ya rais wetu wa sasa ukitofautiana naye tu unakuwa msaliti, sio mzalendo, umehongwa, duh safari hii tumepata rais untouchable.
Yeye mbona kala mahela kibao na nyingine akahonga mahawara zake alipouza nyumba za serikali. Leo ndio anataka kutudanganya kuwa yeye ni mzalendo sana."Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017
Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo?
Kipindi kile alichokuwa anasema Nchi inanyemelewa na njaa ilikuwa kweli mfano mdogo ni sisi mkoa wa Mbeya hatujawahi kununua debe la mahindi tshs20000/= mpaka25000/= lakini mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu hali ilikuwa hivyoHoja ni kula pesa na kutupigia kelele...kwa data za uongo.
Kosoa kwa facts sio kupotosha umma kwa maslahi ya Tumbo lako.
Kumbuka huyu huyu kibaraka ndiye aliyetaka Rais kutangaza baa la njaa kwa data zake za kughushi.
Akiachwa ataendelea...ifike mahala siasa ya uongo uongo ife kabisa nchini
"Mtu anasimama,anatoka mapovu,unaweza kujiuliza uzalendo wake uko wapi?,hata kama umekula hela si unyamaze".......John Pombe Magufuli, October 23, 2017
Swali
Ukitofautiana na rais sio mzalendo?
Niwekee ukosoaji wa Msekwa,Wassira,au Kikwete tuone kama kuna ukosoaji au upotoshaji wa data....usiniletee udaku wa Mange please.Ina maana wote tunaopingana naye tumekula pesa, Msekwa amekula ngapi, Wassira amekula ngapi hata Kikwete naye kahongwa, this is too much sasa.
Well said, yaani watu wanapitisha wenyewe vifungu na sera mbovu.wakija kuona inawabana wakiwa nje wanaanza kupiga kelele, na wasiwasi na huyu mtu huenda alikuwa analala akisikia meza zinagongwa nae anafuata upepo[emoji57] [emoji57]Magufuli ulipokuwa unapiga makofi kupongeza na kugonga meza kwa ushabiki wakati mkipitisha kuunga mkono kule bungeni, huu ushenzi unao"jifanya " kuuchukia leo, jee ULIKUWA UMERAMBISHWA pesa na BWANA yupi?
Magufuli huna jipya
Akikamatwa mtasema ananyanyasa wapinzani!!vigeu geu sana ninyiSasa kama ana ushahidi wa mtu kula pesa kwanini asimkamate badala ya kuropoka ropoka? Kwenye boti uozo na pangaboi yeye kala pesa kiasi gani?
Upinzani sio uadui, Kikwete.Niwekee ukosoaji wa Msekwa,Wassira,au Kikwete tuone kama kuna ukosoaji au upotoshaji wa data....usiniletee udaku wa Mange please.
Niwekee Taarifa zinazoonesha hao uliowataja kumkosoa Magufuli.
Jifunzeni kuandika kweli tupu