GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,661
- 128,085
pumba tu who are you kumpa Raisi ushauri wako wa kijiweni huna hata Elimu ya juu.Wakati hivi sasa kila mtu akitafakari hatua ya kishujaa uliyoichukua leo kwa huyo Mama RC na hiyo Njemba RAS na ambayo kwa duru za kidadisi na kiuchambuzi zinasema kwamba hiki ulichokifanya wewe umeweka rekodi yako ya kutukuka kwani hakijawahi kufanywa hata na Mchonga ambaye wengi wetu tunamsifu, kumkumbuka na kumlilia kila siku.
Ila Mheshimiwa Rais kuna kitu nimekigundua na naomba nikiwasilishe kwako na sikulazimishi ukifanyie kazi ila kama utaona inafaa kifanyie kazi tena haraka na upesi sana.
Mheshimiwa Rais kwa jinsi ulivyowaonya hawa Wakuu wako wa Mikoa siku ile unawaapisha huku wengine pale pale ukumbini nyuso zao zilianza kuonekana zimejaa hofu na uwoga inawezekana huyu Mama Anne Kilango Malecela akawa ni mkweli kuwa Mkoani kwake hakuna ghost workers ila huko kwa wengine kwasababu ya uwoga na kutotaka kupoteza vyeo ambavyo wamevipata kwa zali la mentali wanaweza wakawa wamekupa taarifa na figure za uwongo ili tu uwaone wametekeleza kile ulichowatuma.
Nadhani mheshimiwa Rais wangu usingeharakisha kwanza kumuondoa huyu Mama labda mpaka utume watu wako unaowaamini ili na wao wakakuchunguzie vizuri. Inawezekana leo tukakusifu kuwa umechukua hatua stahiki ila huko mbeleni ukweli ukaja kujulikana kuwa ni kweli Mkoa wa Shinyanga ulikuwa hauna hao wafanyakazi hewa halafu huyu Mama ndiyo akaja kuwa Shujaa hadi mwisho wa dunia.
Kwa uzoefu nilionao na kwa jinsi sisi Watanzania tunavyojuana kwa umagumashi na usanii nina uhakika kuna baadhi hata ya hao Wakuu wako wa Mikoa hizo figure walizokupa wamezipika kimkakati tu ili wakuchote akili utiririke nao pamoja na usije ukawatumbua. Binafsi kuna Wakuu wa Mikoa kama watatu hivi ambao kabla hata hujawateua ni WATAALAM wa usanii na ujanja ujanja na hata niliposikia baadhi yao wakitaja figures zao ilibidi tu nicheke na hata wao nikiwapigia simu au tukikutana wanakuambia " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".
Binafsi nadhani mara baada tu ya kuwateua vile basi ungewapa hata miezi mitatu au sita waweke mambo sawa na kwa taratibu ili wakija kukupa TAARIFA basi ziwe ni sahihi kwelikweli huku na wewe unawapa majukumu Watendaji wako hasa RSO's tena kisirisiri wakufanyie hii kazi na nina uhakika mwishowe ungeyajua mengi kuliko hata haya kwani wewe umeona tu huo uozo wa WAFANYAKAZI HEWA ila Mheshimiwa Rais hakuna sehemu ambapo WATENDAJI wako wanapiga HELA za kufa mtu kama huko katika HALMASHAURI na sasa baada ya kuona umekuja na moto mkali na wao wamebadili mbinu ya kuiba je unaijua Mheshimiwa Rais wangu? Siku ukiitaka niambie nikuwekee humu ili sijui ucheke au ulie!
Kataa kubali Mheshimiwa Rais hizo TAKWIMU ulizopewa na hao WAKUU WAKO WATEULE WA MIKOA zichunguze vizuri na kwa umakini kwani 85% zake UMEDANGANYWA kwa kile hawa Marafiki zangu Wakuu wa Mikoa watatu walichokibatiza " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".
Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais wangu na nakupongeza kwa jitahada zako na nakutakia kila la kheri. Tuna imani kubwa na wewe na tunajua utatufikisha mahala fulani ambako mwenzako hakutaka kutufikisha. Mwenyezi Mungu akupiganie, akulinde na akupe afya bora Wewe, Mama Samia, Waziri Mkuu na Mawaziri wote na Watendaji wengine ili muitumikie vyema hii nchi ambayo kiukweli maendeleo yake yatatokana na jitihada zenu.
Akhsante Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania.
Wakati hivi sasa kila mtu akitafakari hatua ya kishujaa uliyoichukua leo kwa huyo Mama RC na hiyo Njemba RAS na ambayo kwa duru za kidadisi na kiuchambuzi zinasema kwamba hiki ulichokifanya wewe umeweka rekodi yako ya kutukuka kwani hakijawahi kufanywa hata na Mchonga ambaye wengi wetu tunamsifu, kumkumbuka na kumlilia kila siku.
Ila Mheshimiwa Rais kuna kitu nimekigundua na naomba nikiwasilishe kwako na sikulazimishi ukifanyie kazi ila kama utaona inafaa kifanyie kazi tena haraka na upesi sana.
Mheshimiwa Rais kwa jinsi ulivyowaonya hawa Wakuu wako wa Mikoa siku ile unawaapisha huku wengine pale pale ukumbini nyuso zao zilianza kuonekana zimejaa hofu na uwoga inawezekana huyu Mama Anne Kilango Malecela akawa ni mkweli kuwa Mkoani kwake hakuna ghost workers ila huko kwa wengine kwasababu ya uwoga na kutotaka kupoteza vyeo ambavyo wamevipata kwa zali la mentali wanaweza wakawa wamekupa taarifa na figure za uwongo ili tu uwaone wametekeleza kile ulichowatuma.
Nadhani mheshimiwa Rais wangu usingeharakisha kwanza kumuondoa huyu Mama labda mpaka utume watu wako unaowaamini ili na wao wakakuchunguzie vizuri. Inawezekana leo tukakusifu kuwa umechukua hatua stahiki ila huko mbeleni ukweli ukaja kujulikana kuwa ni kweli Mkoa wa Shinyanga ulikuwa hauna hao wafanyakazi hewa halafu huyu Mama ndiyo akaja kuwa Shujaa hadi mwisho wa dunia.
Kwa uzoefu nilionao na kwa jinsi sisi Watanzania tunavyojuana kwa umagumashi na usanii nina uhakika kuna baadhi hata ya hao Wakuu wako wa Mikoa hizo figure walizokupa wamezipika kimkakati tu ili wakuchote akili utiririke nao pamoja na usije ukawatumbua. Binafsi kuna Wakuu wa Mikoa kama watatu hivi ambao kabla hata hujawateua ni WATAALAM wa usanii na ujanja ujanja na hata niliposikia baadhi yao wakitaja figures zao ilibidi tu nicheke na hata wao nikiwapigia simu au tukikutana wanakuambia " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".
Binafsi nadhani mara baada tu ya kuwateua vile basi ungewapa hata miezi mitatu au sita waweke mambo sawa na kwa taratibu ili wakija kukupa TAARIFA basi ziwe ni sahihi kwelikweli huku na wewe unawapa majukumu Watendaji wako hasa RSO's tena kisirisiri wakufanyie hii kazi na nina uhakika mwishowe ungeyajua mengi kuliko hata haya kwani wewe umeona tu huo uozo wa WAFANYAKAZI HEWA ila Mheshimiwa Rais hakuna sehemu ambapo WATENDAJI wako wanapiga HELA za kufa mtu kama huko katika HALMASHAURI na sasa baada ya kuona umekuja na moto mkali na wao wamebadili mbinu ya kuiba je unaijua Mheshimiwa Rais wangu? Siku ukiitaka niambie nikuwekee humu ili sijui ucheke au ulie!
Kataa kubali Mheshimiwa Rais hizo TAKWIMU ulizopewa na hao WAKUU WAKO WATEULE WA MIKOA zichunguze vizuri na kwa umakini kwani 85% zake UMEDANGANYWA kwa kile hawa Marafiki zangu Wakuu wa Mikoa watatu walichokibatiza " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".
Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais wangu na nakupongeza kwa jitahada zako na nakutakia kila la kheri. Tuna imani kubwa na wewe na tunajua utatufikisha mahala fulani ambako mwenzako hakutaka kutufikisha. Mwenyezi Mungu akupiganie, akulinde na akupe afya bora Wewe, Mama Samia, Waziri Mkuu na Mawaziri wote na Watendaji wengine ili muitumikie vyema hii nchi ambayo kiukweli maendeleo yake yatatokana na jitihada zenu.
Akhsante Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania.
pumba tu who are you kumpa Raisi ushauri wako wa kijiweni huna hata Elimu ya juu.
swissme

pumba tena.povu.Huna maneno mengine zaidi ya hayo uliyoyakariri na ambayo unakuja nayo katika kila UZI ninaouanzisha? au nikufundishe maneno mengine ili uyatumie kwani haya yameshakuwa too monotonous si tu kwangu bali najua hata kwa members. Unaweza ukadhani unasifiwa kumbe wenye akili zao na wanaojua au kutambua mchango wangu humu JF wameshakudharau na kukupuuzia muda mrefu. Mwisho kabisa nafurahi sana kwa jinsi unavyokuwa unanifuatilia kila mara katika either posts zangu or threads zangu humu JF kwani hii inaonyesha ni jinsi gani uwepo wangu humu UNAKUKUNA kwani nimegundua unanichokonoa makusudi ukidhani labda nitahamaki nianze kujibizana nawe au kutukanana ila bahati mbaya au sijui nzuri GENTAMYCINE yule uliyemzoea wewe siyo huyu wa sasa na utafanya kila aina ya PROVOCATIONS zako kwangu na nitabaki KUKUPUUZA tu. Hata hivyo nashukuru kwa kuchangia kwani angalau katika posts zilizokwishatumwa sasa katika UZI huu wangu tayari nina post moja wapo ya JUHA wewe.
ghaaa.We ndio pumba kabisa hujui kuwa huyo ndio mwajiri wa huyo rais, acha kutumia kichwa kidogo kufikiria baada ya kumuelekeza unaropoka. Rais kaajiliwa na sie wananchi tuna haki ya kumpa maoni.
We ndio pumba kabisa hujui kuwa huyo ndio mwajiri wa huyo rais, acha kutumia kichwa kidogo kufikiria baada ya kumuelekeza unaropoka. Rais kaajiliwa na sie wananchi tuna haki ya kumpa maoni.
Hii pumba futeni haraka haifai kukaa hapa,Wakati hivi sasa kila mtu akitafakari hatua ya kishujaa uliyoichukua leo kwa huyo Mama RC na hiyo Njemba RAS na ambayo kwa duru za kidadisi na kiuchambuzi zinasema kwamba hiki ulichokifanya wewe umeweka rekodi yako ya kutukuka kwani hakijawahi kufanywa hata na Mchonga ambaye wengi wetu tunamsifu, kumkumbuka na kumlilia kila siku.
Ila Mheshimiwa Rais kuna kitu nimekigundua na naomba nikiwasilishe kwako na sikulazimishi ukifanyie kazi ila kama utaona inafaa kifanyie kazi tena haraka na upesi sana.
Mheshimiwa Rais kwa jinsi ulivyowaonya hawa Wakuu wako wa Mikoa siku ile unawaapisha huku wengine pale pale ukumbini nyuso zao zilianza kuonekana zimejaa hofu na uwoga inawezekana huyu Mama Anne Kilango Malecela akawa ni mkweli kuwa Mkoani kwake hakuna ghost workers ila huko kwa wengine kwasababu ya uwoga na kutotaka kupoteza vyeo ambavyo wamevipata kwa zali la mentali wanaweza wakawa wamekupa taarifa na figure za uwongo ili tu uwaone wametekeleza kile ulichowatuma.
Nadhani mheshimiwa Rais wangu usingeharakisha kwanza kumuondoa huyu Mama labda mpaka utume watu wako unaowaamini ili na wao wakakuchunguzie vizuri. Inawezekana leo tukakusifu kuwa umechukua hatua stahiki ila huko mbeleni ukweli ukaja kujulikana kuwa ni kweli Mkoa wa Shinyanga ulikuwa hauna hao wafanyakazi hewa halafu huyu Mama ndiyo akaja kuwa Shujaa hadi mwisho wa dunia.
Kwa uzoefu nilionao na kwa jinsi sisi Watanzania tunavyojuana kwa umagumashi na usanii nina uhakika kuna baadhi hata ya hao Wakuu wako wa Mikoa hizo figure walizokupa wamezipika kimkakati tu ili wakuchote akili utiririke nao pamoja na usije ukawatumbua. Binafsi kuna Wakuu wa Mikoa kama watatu hivi ambao kabla hata hujawateua ni WATAALAM wa usanii na ujanja ujanja na hata niliposikia baadhi yao wakitaja figures zao ilibidi tu nicheke na hata wao nikiwapigia simu au tukikutana wanakuambia " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".
Binafsi nadhani mara baada tu ya kuwateua vile basi ungewapa hata miezi mitatu au sita waweke mambo sawa na kwa taratibu ili wakija kukupa TAARIFA basi ziwe ni sahihi kwelikweli huku na wewe unawapa majukumu Watendaji wako hasa RSO's tena kisirisiri wakufanyie hii kazi na nina uhakika mwishowe ungeyajua mengi kuliko hata haya kwani wewe umeona tu huo uozo wa WAFANYAKAZI HEWA ila Mheshimiwa Rais hakuna sehemu ambapo WATENDAJI wako wanapiga HELA za kufa mtu kama huko katika HALMASHAURI na sasa baada ya kuona umekuja na moto mkali na wao wamebadili mbinu ya kuiba je unaijua Mheshimiwa Rais wangu? Siku ukiitaka niambie nikuwekee humu ili sijui ucheke au ulie!
Kataa kubali Mheshimiwa Rais hizo TAKWIMU ulizopewa na hao WAKUU WAKO WATEULE WA MIKOA zichunguze vizuri na kwa umakini kwani 85% zake UMEDANGANYWA kwa kile hawa Marafiki zangu Wakuu wa Mikoa watatu walichokibatiza " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".
Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais wangu na nakupongeza kwa jitahada zako na nakutakia kila la kheri. Tuna imani kubwa na wewe na tunajua utatufikisha mahala fulani ambako mwenzako hakutaka kutufikisha. Mwenyezi Mungu akupiganie, akulinde na akupe afya bora Wewe, Mama Samia, Waziri Mkuu na Mawaziri wote na Watendaji wengine ili muitumikie vyema hii nchi ambayo kiukweli maendeleo yake yatatokana na jitihada zenu.
Akhsante Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania.
pumba tena.povu.
swissme
Hii pumba futeni haraka haifai kukaa hapa,
unamshauri ajiridhishe ikiwa katuma watu kwenda kufanya uhakiki na kukuta 45 hewa unamaanisha hao walitumwa na ikulu wamedanya,
huna hoja nashindwa nikuponde kwa lugha gani.
jpm twende kazi nchi itanyoka tu.
pumba tu who are you kumpa Raisi ushauri wako wa kijiweni huna hata Elimu ya juu.
swissme
Huu uandishi kwakweli ! Wacha nipite tu!
mkuu kubali tu kwa leo hiki ulichoandika umetokota,Nawaomba pia hao uliowaambia wafute huu UZI kwa kuuita pumba waanze kwanza kupima post yangu na yako ipi ni pumba na imetoka kwa mpumbavu? Halafu jitahidi utumie ID moja acha KUNIOGOPA na kuzunguka kunijibu kwa ID's zako. Ndiyo nazidi KUKUDHARAU. Kumbe humu NAWATESA mno watu. Na nipo sana tu labda NIFE leo!
TUNATAKA TUYAONE PIA NA KWA DOGO JANJA aka mfunga viatu vya bwana. yeye amesema jiji lake lina wafanyakazi hewa 79 kama ni kweli. hapa ndo tutamuona mr POMBE ni jembe au koleo la site.Umeshaambiwa katuma watu wake na kagundua wafanyakazi hewa 45, na bado wilaya mbili!
Ingawa namkubali Anna Malecela, ila namkubali JPM kwa alichokifanya ili iwe fundisho kwa wanasiasa "Watawajibika kwa maeneno na vitendo vyao"