Rais Magufuli, bila kuwajali Watumishi wa Umma utakutana na Magumu zaidi ya Kikwete

A
Mada nyingine bana, sasa Kikwete ndiye alowajali wayumushi wa Umma? Kwa kuwaachia waibe na kuajiri watumishi hewa! Hata simuelewi huyu mtu huko kujali ni kutaka mshahara zaidu baada ya kubana Ufisadi au wao watumishi wa Umma ndio wanatakiwa kuqchana na Ufisadi ili serikali iwe na mapato zaidi na hata kuongeza mishahara ya watumishi hao. Kama unaiibia serikali kodi zake unategemea serikali ya Magufuli itapata wapi fedha za kuongeza mishahara ama kuborewha huduma zake. Ni muhimu wananchi wenyewe wafahamu kwamba mtaji wa serikali ni hizo fedha wanazoiba na ndio ufisadi wenyewe (uharibifu)..
 
wahenga walisha sema,usitukane wahenga na uzazi ungalipo.
 
Yana uhusiano gani na hayo hapo juu yaliyoandikwa? Siyo bure hicho kichwa kitakuwa kwaajili ya kufugia nywele basi. Nimekusamehe bure.
 
Hao wategemezi ni mchwa wabaya mno hata ulipwe mshahara million kumi bado hazito tosha dawa yake wapunguze tu.
 
Kwanini hawajafungwa hao walioiba mkuu au ndiyo yaleyale ya Nasikia?
 
Yana uhusiano gani na hayo hapo juu yaliyoandikwa? Siyo bure hicho kichwa kitakuwa kwaajili ya kufugia nywele basi. Nimekusamehe bure.
Wenye akili kuliko wewe wameshauelewa ujumbe uliokusudiwa kufikishwa. Hata usiponisamehe haunipunguzii kitu chochote maishani. Kuwajali watumishi wa umma kuna uhusiano wa moja kwa moja na chekeche linaloendelea dhidi ya wale wanaofanya forgery za vyeti. Ndio maana wanachekechwa ili wabakie wale wenye kustahili kweli kuwa kutazamwa kwa jicho la karibu.
Tatizo lenu wabongo ni kujifanya mnajua kila kitu, ingawa wakati mwingine mnachofikiria mnakijua ni kidogo sana kiasi cha kushindwa hata kuyasaidia maisha yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…