Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mosi,Kufanyia kikao cha CCM Ikulu wakati anajua pale ni Ofisi kuu ya nchi na sio makao makuu ya chama tawala na hatuko enzi za mfumo wa chama kimoja kushika hatamu na kuwa chama Dola(State Party).
Aeleze ni gharama kiasi gani zilitumika na ni kwanini watumishi wa ikulu na raslimali zake zitumike kwa matumizi ya chama huku akiimba wimbo wa kubana matumizi lakini anatumia Kodi zao vibaya.Kwake yeye chama kwanza, Taifa na watu wake baadae
Pili,Amefanya kosa la kimkakati na kitaaluma kwa kujitamkia tu ni marufuku kuagiza Sukari nje ya nchi bila kufanya tathmini ya kutosha kuhusu mahitaji ya Sukari
Hoja ya kulinda viwanda vya ndani na wakulima wa miwa ni hoja sahihi lakini alipaswa atumie mijeledi ya kiuchumi kwa ku-impose high taxation kwa sukari inayotoka nje na kutoa exemption kwa baadhi ya Taasisi kufidia uhaba.Ameingia katika mgogoro na Wafanyabiashara ambao sasa unasababisha wananchi kuteseka
Unampunguzi mtu Kodi sh.1,100 au 3,800 kwa Mwezi halafu yeye na Familia yake badala ya kununua Sukari 1,800 X 5 = 9,000 kwa kilo 5 kwa Mwezi ananunua sasa 3,000X5=15,000 .
Yaani anapunguziwa kodi 1,100 au 3,800 kisha Tamko Moja tu la Rais anaumizwa 6,000 kwenye Chai tu. (15,000-9,000).
Ni janga alilolitengeneza mwenyewe.Hata kama serikali inasema itaagiza sukari iuze kwa bei nafuu bado haiondoi ukweli kuwa reckless desicion ya Rais imeumiza Economy
Naona huko Arusha wamemkamata kada wao wa CCM na Tani 45 za sukari,Wanasomeshana namba wenyewe.
Aluta Continua,Victory Ascerta....
Ben Saanane