Rais Magufuli awavutia Waganda

Mimi personally nimemsikia na siwezi kumtia kwenye kundi la kwa wasiojuwa Kiengereza, isipokuwa tu watangulizi wake wamemzidi. Ninachochangia mimi ni kwamba kuna watu humu wanasema kwamba Kiengereza si muhimu kwetu Tanzania na hakina haja yoyote. Ukweli ni kuwa lugha yetu ya Taifa ni Kiengereza. Kiswahili kinazungumzwa na wengi lakini si lugha ya Taifa. Kama ingekuwa lugha ya Taifa basi ingetumika katika mawasiliano yote ya taasisi za Serikali.
 

Kwahiyo unataka kusema nini?
 
akishangiliwa taifa linapata nini????????
mugabe kashangiliwa sana,.cheki magofu na kushuka kwa uchumi zimbabwe
sifa za kijinga hazina maana nyie.........
 
What next
 
Kupata kazi yangu ilibidi nifanyiwie interview kwa kingereza...wanaobeza ni watu wa mtaani professional yoyote anajua bila kingereza huwezi kutusua
Kupata kazi yangu ilibidi nifanyiwie interview kwa kingereza...wanaobeza ni watu wa mtaani professional yoyote anajua bila kingereza huwezi kutusua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…