Rais Magufuli awapokea wahamiaji

Rais Magufuli awapokea wahamiaji

Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama hicho Rais John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM. kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020.

Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula #Mwananchi
View attachment 1371677

In God we Trust
https://www.jamiiforums.com/threads...wa-je-tunarejea-nchi-ya-chama-kimoja.1358762/
Hongera zao kujitambua.
P
 
Tuzidi kumuomba mungu atuzidishie ulinzi wake
Jiwe asipodhibitiwa mapema atafanya kufuru kubwa sana. Sizungumzii kisiasa, nazungumzia kimustakabali wa Taifa.

In God we Trust
 
Nakuonyesha wewe kuwa wenzako wahamiaji wanaendelea kula bata wewe ushabadilika meno kuwa ya kijani kisa kisamvu kila siku
Una gubu sana wewe kamanda.

In God we Trust
 
Nakuonyesha wewe kuwa wenzako wahamiaji wanaendelea kula bata wewe ushabadilika meno kuwa ya kijani kisa kisamvu kila siku

In God we Trust

Tukutane Oktoba Tukijaliwa ndipo utaelewa somo vizuri.
 
Kufika siyo issue, issue ni unafikaje? mimi mwenzako natafuna minofu wewe unachakazwa na kisamvu
Tukutane Oktoba Tukijaliwa ndipo utaelewa somo vizuri.

In God we Trust
 
Kufika siyo issue, issue ni unafikaje? mimi mwenzako natafuna minofu wewe unachakazwa na kisamvu

In God we Trust
Maskini Ruzuku yetu.

Raisi wetu msikivu atafuta ruzuku na kuzipeleka fedha bodi ya mikopo vijana wakapate elimu na kuboresha zaidi sekta ya afya.
 
Itakuwa vyema na huo ndiyo utakuwa mwisho wa ccm kupokea wakimbizi
Maskini Ruzuku yetu.

Raisi wetu msikivu atafuta ruzuku na kuzipeleka fedha bodi ya mikopo vijana wakapate elimu na kuboresha zaidi sekta ya afya.

In God we Trust
 
Mimi kwangu kila siku ni weekend tu maana sitegemei buku 7 za lumumba
Ngoja tuahirishe mjadala mpaka jumatatu maana inaelekea weekend yako umeianza mapema.

In God we Trust
 
Anapokea wahamiaji na kukimbiza wazawa.😂😂😂

Nalog off
 
Back
Top Bottom