Rais Magufuli awapokea wahamiaji

Rais Magufuli awapokea wahamiaji

Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama hicho Rais John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM. kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020.

Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula #Mwananchi
View attachment 1371677

In God we Trust
Udaktari wa TZ ni janga la taifa. Hatofautiani na darasa la saba.
 
Wahamiaji haramu kutoka Burundi wanazidi kupanda chati.
 
Jiwe asipodhibitiwa mapema atafanya kufuru kubwa sana. Sizungumzii kisiasa, nazungumzia kimustakabali wa Taifa.
 
Somo inapata wewe unayeshinda mitandaoni unaweweseka wakati wenzako wanatoka leo hii upinzani wanaingia lumumba na kupatiwa kazi
Awamu hii mpo kwenye darasa la kisiasa. Kaeni kimya upate somo.

In God we Trust
 
Somo inapata wewe unayeshinda mitandaoni unaweweseka wakati wenzako wanatoka leo hii upinzani wanaingia lumumba na kupatiwa kazi

In God we Trust
Endeleeni tu na siasa za kufuatilia matukio ya vyama vingine.
 
Hata hawa uliwakaribisha sasa wenzako wanakula kuku kwa mrija wewe unashindia magimbi ya kuchoma
Hiyo inatoka moyoni kabisa mkuu, hiyo ndio kazi yangu kukaribisha wageni.

😀😀😀😀😀😀😀
FB_IMG_1496751834045.jpeg

In God we Trust
 
Back
Top Bottom