Rais Magufuli awapokea wahamiaji

Rais Magufuli awapokea wahamiaji

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama hicho Rais John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020.

Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula

#Mwananchi

Screenshot_20200228-172503.jpeg


In God we Trust
 
Mkuu huo ndiyo ukweli maana lisilo wezekana kwa mwanadamu basi kwa Mungu linawezekana
Siasa ni kigeugeu..Hao jamaa wakati huo wamekua wasaliti wa wapga kura..wakati huo huo wamekua mtaji wa wa wengine...natabir huu usaliti iko siku wasaliti wa wananchi watakuja Anza kujibu...Dunia hadaa a hii

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Haya maisha haya! Mashinji leo anajipisha kuonwa na mfalme kwa unyenyekevu mkubwa! Kalisti sahau Hata udiwani Arusha tumia vizuri ulichopata.CCM hawatawapitisha kura za maoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kalist na wenzake wajiandae kugombea labda wenyekiti wa serikali za mitaa

In God we Trust
 
Back
Top Bottom