Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Hii jumuiya ya EAC haina tija kwa Tanzania, sema hajatokea kiongozi wa kulisema wazi. Nchi wanachama tu zina uhasama miongoni mwao, sasa kuna umoja gani hapo?Hapa mzee hata akorome maneno yake hayana mashiko kabisa.
Hii ni jumuiya ya kikanda na yeye hata awe mwenyekiti hana mamlaka ya kuamua chochote.
Ni lazima mzee aelewe mipaka yake kabla ya kuongea au kufanya kitu kinachoweza kuwa fedheha kwa nchi.
Afu imeshachuja hiyo tafuta Singo ingine.kila siku tumeichoka aargghh..kwa lugha gani maana hadi kufika huko ni shida.
swissme
Mkuu, kuna tija kuwepo kwenye EAC. Tatizo uongozi wetu uliopita haukuwahi kukaa chini na kujaribu kuumiza kichwa kupata jinsi ya kuinufaisha Tanzania. Ilikuwa business as usual. Nchi nyingine kama Kenya na Rwanda wanafanya hivyo.Hii jumuiya ya EAC haina tija kwa Tanzania, sema hajatokea kiongozi wa kulisema wazi. Nchi wanachama tu zina uhasama miongoni mwao, sasa kuna umoja gani hapo?
Au ikulu ndogo inaweza kuwa accommodate?Inamaana hao wakuu wa nnchi wangelala guest ? Ya shs 15000 per night . Ni lazima wamebook presidential suit ambayo inawekwa kila kitu vinywaji vya aina yote kwa hiyo iyo bei ni sawa kabisa . Mtu anatumia Mara moja kwa mwaka tu jaman .
Sidhan kama Inawezekana mkuuAu ikulu ndogo inaweza kuwa accommodate?
Nakumbuka kuna rais mmoja huko amerika yeye nyumba yake ni ya kawaida sana, na gari yake ni bito la kizamani, hachukui ata mshahara aise!!Inamaana hao wakuu wa nnchi wangelala guest ? Ya shs 15000 per night . Ni lazima wamebook presidential suit ambayo inawekwa kila kitu vinywaji vya aina yote kwa hiyo iyo bei ni sawa kabisa . Mtu anatumia Mara moja kwa mwaka tu jaman .
Sijaelewa. Mbona hizi gharama za kawaida sana. Kama unabisha angalia Dodoma hotel hamna hata cha maana wana charge nyingi tu.Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki amewakoromea Sekretariati ya Afrika ya Mashariki kwa ufisadi wanaoufanya ikiwemo kuwagharamia marais walioalikwa kulala hotel za gharama kubwa ambapo rais mmoja kwa usuiku mmoja analipiwa TZS 3,000,000/-. Yeye binafsi (Rais Magufuli) hulala katika nyumba ya serikali isiyogharimu kiasi kikubwa kama hicho.
Pamoja na hayo, ameonya matumizi makubwa yasiyo ya lazima/msingi ili kuokoa fedha nyingi zinazochangwa na nchi washirika wa jumuiya.
Hapa chini nimebahatika kupata namna gharama zilivyo juu na kuigharimu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
View attachment 326987 View attachment 326989 View attachment 326991
Ni Rais wa wapi huyo mkuuu amerika ipi huyo Rais ni mfano wa kuigwaNakumbuka kuna rais mmoja huko amerika yeye nyumba yake ni ya kawaida sana, na gari yake ni bito la kizamani, hachukui ata mshahara aise!!
Sikumbuki vizuri mkuu ila nadhani ni Amerika huko, ngoja ntaifatilia vema kisha ntarudi.Ni Rais wa wapi huyo mkuuu amerika ipi huyo Rais ni mfano wa kuigwa
Huyu hapa mkuu, anaitwa Jose Mojica :::Ni Rais wa wapi huyo mkuuu amerika ipi huyo Rais ni mfano wa kuigwa
Mshikaji huwa anadandia hoja halafu hana substance kabisa.Afu imeshachuja hiyo tafuta Singo ingine.kila siku tumeichoka aargghh..
Kafanye homework yako, naona hapo umetoka povu tu!Uliza hata mtoto utajua ukweli, mie nakuacha njia panda hivyo, yaani hata hujui mwenyekiti alikuwa nani wa EAC na ni vpi Magufuli kapewa kijiti??KhaaKwanza tuachee Ushabiki !!!
Unyekiti wa EAc
Unazunguka kwa kila nchi mwanachama kwa mwaka moja,
Yeye hajachaguliwa kama mashabiki wake wanavyoleta uvyama kwenye utaifa,
Amepokea kijiti kwa niaba yetu
Mwaka huu ni zamu yetu Tanzania
Mwaka kesho tunaachia wengine
Hizo nyingine ni Mbwembwe tuu Na Maigizo yatapita
Ni Rais wa wapi huyo mkuuu amerika ipi huyo Rais ni mfano wa kuigwa
Sikumbuki vizuri mkuu ila nadhani ni Amerika huko, ngoja ntaifatilia vema kisha ntarudi.
muda sana mpk atokee km magufuliHakuna dhambi mbaya kama unafiki bora magufuli katoa la moyoni
Kwanini mkuu, ebu funguka kwanza!Leo ndo nimejua kuwa jukwaa lilishavamiwa,
Si ajabu maGT's wengi walishalala mbele ama kuchungulia jukwaa kwa mbaaaalii...