Rais Magufuli auaga mwili wa Marehemu L. Nyerere

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hapa ni nyumbani kwa Mama Maria Nyerere ambapo Raisi Magufuli amekwenda kuaga mwili wa Marehemu L.Nyerere ambaye alikuwa Mbunge wa CHADEMA kabla ya kuhamia CCM
fd89c576-a822-4e28-b91f-8baae202afe0.jpg


ddf2caf1-566f-44a4-8356-13ae2ef7733f.jpg


bbb2a7c2-afd5-4e9d-af53-90d166257973.jpg


405ee74b-2236-4768-991d-f75cd33ed144.jpg

d938dc5b-3d74-4cbe-bee0-4e7b3c91928d.jpg
 
Hao familia ya Nyerere na ccm wasitafute kiki kwa kutumia jina la chadema wakati huyo marehemu alishahama chedema na kuhamia ccm tangu mwezi wa 7 kabla ya uchaguzi mkuu....

Kusema alikuwa mbunge wa chedema ni kutafuta kiki za bure
 
Huyu mbunge Si alihama chadema akaenda ccm mbona bendera iliyofunika jeneza ni ya chadema . Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Marehemu alishahama chadema kabla,hakuna haja ya Kuwa tittled tena Chadema
 
Tena alisema alihama kwa kuwa alitaka kurejesha heshima kwenye familia ya Nyerere. Ni ajabu sana kumhusisha na Chadema.
 
Makubwa, ina maana ndoa imerudi baada ya kufa, walishindwa nn kusuluhisha before.
 
walitengana tu,hawakuwahi kupeana talaka they were oficially still married.Sasa kifo ndo kimewaachanisha sijui Madaraka ndo ataamua kuoa tena?

..wakati wa kampeni za uchaguzi 2010 Makongoro alimshutumu Leticia kwa kuendelea kutumia jina la Nyerere.

..tafuta humu JF utakutana na habari hiyo ambapo Makongoro alipanda kwenye majukwaa ya siasa akidai Leticia alishaachana na Madaraka.

..hizi siasa za nchi hii zimejaa mambo ya ajabu-ajabu sana. lakini kinachosikitisha ni jinsi CCM inavyoiburuza familia ya Mwalimu, na haswa Makongoro, kufanya mambo ya kihuni-huni.

cc Mamndenyi
 
JokaKuu hizo ni siasa tu katika kuifanya CCM ishinde hilo Jimbo by then.

..lakini siasa maana yake siyo watu wakose heshima na utu.

..halafu huyu bwana huwa anakuwa paraded huko kwenye majukwaa kama mtoto wa Baba wa Taifa.

..sasa mtu unapoona mazishi haya ya Leticia, halafu ukarejea vitimbi alivyokuwa akifanya Makongoro dhidi yake, unapata picha gani?
 
Mmeviona vitimbi vya Makongoro hamjaviona vya Msigwa na Lema. Mnahoji JPM hakwenda kwa Mawazo hamhoji kwa nini aliyekwenda huko hajaenda kwa Leticia Ukihama CDM unahama na U-Tanzania wako. Muhimu ni kujionyesha Kibaigwa. Shikamoo Ben Mkapa.
 
Hao familia ya Nyerere na ccm wasitafute kiki kwa kutumia jina la chadema wakati huyo marehemu alishahama chedema na kuhamia ccm tangu mwezi wa 7 kabla ya uchaguzi mkuu....

Kusema alikuwa mbunge wa chedema ni kutafuta kiki za bure
Wewe akili yako inaukurutu, kwahiyo alikuwa mbunge wa CCM!?!!
 
Back
Top Bottom