Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi na na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya hiyo

Kuna sehemu nimepita nakutana watu wanabishana eti walizidi sana, kuja kuuliza nikaambiwa wewe kwani uko dunia ipi. Si wale viongozi wakubwa wa Malinyi.
 
Safiiiiiiiii safiiiiiiiiiiiiiiiiii... Mh. Rais wetu ni makini sanaaa, viongozi wazembe zembe pigaaa chini ASAP, wananchi wanapata taabu sbb ya baadhi ya viongozi fisadi au wazembe zembe.. RC Moro akae chonjo.
 
Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wake wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro wametenguliwa kwa pamoja leo tarehe 17/9.

Raisi Magufuli ametengua uteuzi wao na nafasi zao zitajazwa hapo baadae!




Huwa sishabikii lolote la serikali hii. Leo kidogo waziri Mkuu amefanya kazi kama kiongozi! Amesikiliza watu wanasema nini! na akatoa maamuzi rational......, rational response na siyo yule wa nitumbue.... wajinga wakaitikia tunbuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na kweli akamtumbua mtu bila kumsikiliza johnthebaptist
 
Hawa ni lazima tu wangetumbuliwa maana kama mkurugenzi na mkuu wa wilaya hawaongei na wala hawasalimiani je unafikiri shughuli za maendeleo zitakuwaje? Ila huyu mkuu wa wilaya atakuwa anashida sana maana kwa mwaka huu halmashauri imebadilisha wakurugenzi wawili lakini wote alikuwa hapatani nao kisa ni kugombania mafungu ya miradi na pesa ya mapato ya ndani ya halmashauri.
 
Kama nawaona hivi wakitembea kwenda Ikulu kuomba "msamaha" maana kitumbua kimeingia mchanga.
Naomba kuweka kumbukumbu sawa
Screenshot_20190910-152016.jpeg
 
Kuna sehemu nimepita nakutana watu wanabishana eti walizidi sana, kuja kuuliza nikaambiwa wewe kwani uko dunia ipi. Si wale viongozi wakubwa wa Malinyi.
Hivi huyu DED si ndugu na yule RC wa kule Manyara?? Ndio shida ya kujaza familia kwenye utawala.
 
Back
Top Bottom