Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi na na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya hiyo

Kumekucha
tapatalk_1568700271253.jpeg
 
Tatizo lipo kwa nani?
Kasim Majaliwa alisema hivi....
Kwanini viongozi wa serikali wanaruhusu kugombana hadi wananchi wa kawaida wanajuwa...!!?? Hapo aliuliza swali huku akiwashangaa. Kwa maana nyingine ni kwamba migogoro ya ndani ilikithiri kati ya mamlaka (DC) na mtendaji (DED)
 
Kuna sehemu nimepita nakutana watu wanabishana eti walizidi sana, kuja kuuliza nikaambiwa wewe kwani uko dunia ipi. Si wale viongozi wakubwa wa Malinyi.
Hizo sio habari tena tulisha zoea hao ni watu wadogo sanaa......
 
Hamna haja ya kulea viongozi wazembe ambao hawafanyi kazi wala kujituma maana hao ndio wanafanya wananchi wapate tabu ya maisha.....
 
Tutegemee post nyingi za kishamba kutoka praise team wakipigia misele nafasi hizo.mbili. Haya majinga anzeni kutiritika ulaji huo.
 
Magufuri alifanya kosa kumtumbua mkurugenzi aliyepita kisa kutokuelewana na mkuu wa wilaya huyu, mkuu wa wilaya alipata kichwa sana adui yake kufukuzwa, hata alipoletwa mkurugenzi mpya akataka kumpanda kichwani bahati nzuri mkurugenzi mpya naye ni jeuri...
Basi inapendeza wametolewa wote wawili.

Mkuu wa mkoa naye anazingua,au mkoa mkubwa unapaswa ugawanywe umemuelemea??

Pascal Mayalla nafasi hizo usizichezee anza kupraise na kuworship
 
Hawa hawana namna kutumbuliwa kwao ilikuwa aina namna eti wanagombania miradi yani duh kweli ugali mtamu sana
 
Shida ya mkoa wa Morogoro chanzokikubwa ni mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndiye anayewagawa na kutengeneza makundi kwa kuwa anatumia ofisi kufanya biashara zake.Ninaomba nikwambie hadi sasa mkoa wote wa morogoro ni wilaya moja tu yenye utulivu, but Wilaya zingine zote kunamisuguano mikali. Majura hadi sasa Malinyi ameshagombana na MADED 3 na wote hao RC alikuwa anamkingia kifua. Alikuwa na kampuni zake na lazima zipewe tenda na wanagawana na mkubwa wa Morogoro. Mh Rais afumbe macho, amtengue kwanza mkuu wa mkoa ndipo Morogoro itatulia, vinginevyo matatizo yatendelea Morogoro. Pale jasiri ni SHAKA H SHAKA TU, Hata mwenyekiti wa CCM wa mkoa yupo kwenye gengela Rc. Ndiyo maana hata juzi baada ya Shaka kusema vile jioni Mwenyekiti alimfokea kuwa asingesema. Na kwenye gari viongozi wengine wa CCM waliokuwa wanahongwa na Majura walianza kumlaumu SHAKA KATIBUWA CCM MKOA WA MOROGORO.
 
Ungetaja kampuni za Kebwe ingependeza mkuu
 
Back
Top Bottom