msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,767
- 5,905
"Mitandao ya simu hii,inafanya transaction nyingi kweli lakini hela hizo haziingii Serikalini,Dawa yao tunaitengeneza"..
Hayo ni Maneno Ya Rais wetu Ambayo kwangu mimi naimani ni ya ukweli kabisa..
Ebu fikiria eti Mtandao wa Vodacom unagawa bure Bilioni 30 za faida ya Mpesa Kila Mwaka..
Kwa ilivyo mitandao yetu ukiona wamekupa hizo bilioni 30 bure ujue wamepata mara 20 ya hapo..
Naisubiria dawa hiyo ingawaje pia inaweza kuongeza gharama za transaction hizo..