Mabulungutu
Member
- Oct 29, 2012
- 89
- 102
Usimchokoze Mhe. Msigwa, msemaji wa Ikiulu yupo, muulize yeye.UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini atahutubia. Nakumbuka hata Rais Mstaafu Mwinyi niliwahi kumshuhudia akihutubia..Sijui Mheshimiwa Magufuli atahudhuria na kuhutubia? Nafikiri Msigwa atatuhabarisha.
Makao yake makuuUtafanyika wapi huo Mkutano?
Mamaaaa wa ngeli eeeeh![emoji12]atapelekwa Samia suluhu
Labda amemaanisha Gerson MsigwaUsimchokoze Mhe. Msigwa, msemaji wa Ikiulu yupo, muulize yeye.
Raisi mtarajiwa 2020atapelekwa Samia suluhu
Natamani kuona mkwala unapopigwa kwa kizungu(eg mimi huwa sijalibiwi kwa kithungu)UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini atahutubia. Nakumbuka hata Rais Mstaafu Mwinyi niliwahi kumshuhudia akihutubia..Sijui Mheshimiwa Magufuli atahudhuria na kuhutubia? Nafikiri Msigwa atatuhabarisha.
Kwa kawaida, kila Mkuu wa Serikali ambaye nchi yake ni mwanachama wa UN hupewa muda wa kuhutubia UN General Assembly kwa ratiba maalum.UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini atahutubia. Nakumbuka hata Rais Mstaafu Mwinyi niliwahi kumshuhudia akihutubia..Sijui Mheshimiwa Magufuli atahudhuria na kuhutubia? Nafikiri Msigwa atatuhabarisha.