Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

Luka 1:26-38
26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, '
27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
33 Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.
34 Mariamu akamwambia malaika,Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
36 Tena, tazama, jamaa yako Elisabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa;
37 kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.
38 Mariamu akasema, Tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake
 
Lk. 1:39-56

Mariamu aliondoka siku hizo, akaenda hata nchi ya milimani kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yuda, akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia, Elisabeti. Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu; akapaza sauti kwa nguvu akasema, Mtakatifu; akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi? Maana sauti ya kuamkia kwako ilipoingia masikioni mwangu, kitoto kichanga kikaruka kwa shangwe ndani ya tumbo langu. Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.

Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa mwenye nguvu amenitendea makuu, na jina lake ni takatifu. Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi kwa hao wanaomcha. Amefanya nguvu kwa mkono wake; Amewatawanya walio na kiburi katika mawazo ya mioyo yao; Amewaangusha wakuu katika ivti vyao vya enzi; na wanyonge amewakweza. Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu. Amemsaidia Israeli, mtumishi wake; Ili kukumbuka rehema zake; Kama alivyowaambia baba zetu, Ibrahimu na uzao wake hata milele. Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake.
 
Kama unajua Historia ya Biblia huwezi kusema Kanisa Katoliki Halifuati Maandiko ya Biblia.Biblia na Kanisa Katoliki ni sawasawa na Maji na Samaki.

Kingine ninachopenda muelewe ni kwamba Biblia haijajipa Mamlaka ya kuwa ndio Msingi pekee wa imani lakini Biblia inakiri KANISA NDIO MSINGI WA UKWELI.
Kanisa ndio limezaa biblia kwa vile Kanisa linaongozwa na Roho Mtakatifu ndio maana Kanisa la kwanza Mitume hawakuwa na Biblia.
Mafunuo ya Mungu hayakukomea kwenye Biblia ndio maana Yesu aliahidi kutuachia Roho Mtakatifu(sio Biblia) ambaye ndie anayeongoza Kanisa.
Biblia yenyewe inakiri,
"This is the Church of Living God,which is the Pillar and Foundation of the Truth,"(1Timothy 3:15).
Biblia sio neno Pekee la Mungu,Jiulize walioandika walinukuu wapi?Wapi Yesu aliagiza maandiko yake yaandikwe?.

Ninachopenda kuwahakikishia ni kwamba Kanisa Katoliki linaijua Biblia neno kwa neno na Sentesi kwa Sentesi.

Bikira Maria ni Mama wa Mungu na tunamwomba atuombee kwa Mwanae Yesu.

Leo wakatoliki tunasherehekea Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni na huko Mbinguni kawekwa kuwa Malkia.
 
Acha uongo.Yesu hakuwahi kuanzisha ukatoliki wala Petet kuwa papa was kwanza.toa ushahidi wa kimamdiko.by the way yesu mpaka anaondoka warumi walikuwa wapagani wa kutupwa.angalia mitume aliowaacha yesu mateso waliyopata kutoka wayahudi wakisaidiwa na watawala wa dunia(warumi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajua Historia ya Biblia huwezi kusema Kanisa Katoliki Halifuati Maandiko ya Biblia.Biblia na Kanisa Katoliki ni sawasawa na Maji na Samaki.

Kingine ninachopenda muelewe ni kwamba Biblia haijajipa Mamlaka ya kuwa ndio Msingi pekee wa imani lakini Biblia inakiri KANISA NDIO MSINGI WA UKWELI.
Kanisa ndio limezaa biblia kwa vile Kanisa linaongozwa na Roho Mtakatifu ndio maana Kanisa la kwanza Mitume hawakuwa na Biblia.
Mafunuo ya Mungu hayakukomea kwenye Biblia ndio maana Yesu aliahidi kutuachia Roho Mtakatifu(sio Biblia) ambaye ndie anayeongoza Kanisa.
Biblia yenyewe inakiri,
"This is the Church of Living God,which is the Pillar and Foundation of the Truth,"(1Timothy 3:15).
Biblia sio neno Pekee la Mungu,Jiulize walioandika walinukuu wapi?Wapi Yesu aliagiza maandiko yake yaandikwe?.

Ninachopenda kuwahakikishia ni kwamba Kanisa Katoliki linaijua Biblia neno kwa neno na Sentesi kwa Sentesi.

Bikira Maria ni Mama wa Mungu na tunamwomba atuombee kwa Mwanae Yesu.

Leo wakatoliki tunasherehekea Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni na huko Mbinguni kawekwa kuwa Malkia.
Hapo ndiyo ulipopotelea.kanisa haliwezi kuzaa neno.Bali kanisa ni tunda la neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa ni mkatoliki na moja ya misa zao ni kubusu hizo sanamu na kuomba kupitia hizo sanamu hakuna shida, wamempa nyenzo ya kidini
Una uhakika sisi wakatoliki tunaabudu sanamu au unaongea mambo usiyoyajua.Mungu alimwambia Mussa atengeneze sanamu ya nyoka na kila aliyeng'atwa na nyoka akitazama ile sanamu ya nyoka atapona.nikuulize Mungu aliwaagiza wayahudi wa kipindi kile waabudu sanamu maana Mungu mwenyewe alielekeza watengeneze sanamu ya nyoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo jingine unachanganya kati ya dhehebu/dini na kanisa. Kanisa umoja wa nafsi katika imani ya yesu.

Pili roman Catholic ni urumi kwa wote.manayake nini?
Tatu uroma hausadifu hata sifa moja ya kusanyiko la Kristo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika sisi wakatoliki tunaabudu sanamu au unaongea mambo usiyoyajua.Mungu alimwambia Mussa atengeneze sanamu ya nyoka na kila aliyeng'atwa na nyoka akitazama ile sanamu ya nyoka atapona.nikuulize Mungu aliwaagiza wayahudi wa kipindi kile waabudu sanamu maana Mungu mwenyewe alielekeza watengeneze sanamu ya nyoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoisujudia unakuwa unafanyaje?
JE,UNAFAHAMU ALIYEANZISHA DHEHEBU LAKO?

Kabla ya Mwaka 1517,Kila Mkristo aliuwa Mkatoliki.

Tunafahamu leo ukristo uko hivi:

1.Kama wewe ni Mlutheri ufahamu kwamba Kanisa lako lilianzishwa na Baba Martin Luther,Ujerumani Mwaka 1517 akiwa na Daraja la Upadre Katoliki.

2.Wewe kama ni Mennonite,Fahamu kuwa Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Grebel,Mantz na Blaurock mwaka 1525

3.Wewe kama ni Anglikana,Kanisa lako lilianzishwa na Mfalme Henry XIII Mwaka 1534.

4.Kama wewe ni Presbyterian,Kanisa lako lilianzishwa na ndugu John Knox Mwaka 1960.

5.Kama wewe ni Congregationist(Kanisa la Mtaa) Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Robert Brown,Uholanzi Mwaka 1583.

6.Kama wewe ni Baptist(Kanisa la Ubatizo),Fahamu kuwa Kanisa lako lilianzishwa na ndugu John Smith,Amsterdam,UholanziMwaka 1606.

7.Kama wewe ni Methodist,Kanisa lako lilianzishwa na John Murray,New jersey,Marekani mwaka 1770.

8.Kama wewe ni Mormo au Malaika Wajao Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Joseph,New York,Marekani mwaka 1829.

9.Kama wewe ni Seven Day Adventist(Sabato) fahamu kuwa kanisa lako lilianzishwa Willium Miller Mwaka 1831.

10.Kama wewe ni Jeshi la Wokovu(Salvation Army),Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Willium Booth Mwaka 1865.

11.Kama wewe ni Mashahidi wa Yehovah(Jehovah Witness) Kanisa lako lilianzishwa na Charles Russel Mwaka 1872.

12.Kama wewe ni Redeemed Christian Church of God(Marejeo ya Kikristo ya Kanisa la Mungu) unatakiwa kufahamu Kanisa lako lilianzishwa Mwaka 1952 na Josiah Akinayomi.

13.Kama Muumini wa Deeper Lige Bible Church,Kanisa lako lilianzishwa na Pastor William Kumuyi,Lagos Nigeria Mwaka 1973.

14.Kama wewe ni Mountain of Fire(Mlima wa Moto) Kanisa lako lilianzishwa na Daniel Olokoya Mwaka 1952.

15.Kama wewe ni Muumini wa Makanisa ya Askofu Zakaria Kakobe,Mtume na Nabii Josephat Mwingira,Mchungaji Hernandes,Askofu Gwajima nk,ujue kwamba Makanisa hayo yameanzishwa Dar es Salaam miaka ya hivi karibuni.

16.Hapa unaweza kuendelea na kuendelea mpaka Makanisa 43,000 yaliyopo leo.

17.Lakini kama wewe ni Mkatoliki unafahamu kabisa Imani na Kanisa lako vilianzishwa na Yesu Kristo mwenyewe Mwaka 33 kabla ya kupaa kwenda Mbinguni soma Mathayo 16:18 na kuliacha chini ya wanafunzi wake wakiongozwa na Mtume Petro na kutokea kipindi hicho kumekuwa na ukasimishaji wa Baba Watakatifu 266 wa kwanza akiwa Mtume Petro(soma Matendo ya Mitume 2:1) mpaka Yesu atakaporudi tena kadiri ya Maandiko Matakatifu.
Nimeorodhesha historia hii si kudharau Imani yoyote ila kufundisha Historia ya Imani ya Kikristo na kuweka Kumbukumbu sawa.
Kanisa Katoliki linabaki kuwa lilelile aliloanzisha Yesu Kristo na kuliwekea Ekaristi Takatifu kama Baraka ya Mwisho.Tunaendelea kufanya alichoagiza Bwana wetu Yesu Kristo kama alivyoyatoa maneno haya Matakatifu juu ya Mkate na Divai,kuwa tuule Mwili wake na Kuinywa Damu yake na aliagiza kufanya haya kwa kumkumbuka yeye mpaka atakapokuja tena(Mathayo 26:26).
Neno Katoliki maana yake kitu kizima au chote au wote.
Eneza Upendo,Eneza Utengamano na Umoja wa Kiroho aliotuacha nao Yesu Kristo na sio Mgawanyiko.

Umepaniki Brother mie wapi nimeandika mna abudu?
 
Tatizo mko wepesi sana wa kusahau,,,,,,,,majuzi hapa TEC wametoa waraka wa kuadhimisha rasmi ibada ya Bikira Maria msimamizi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, badala mngeshangaa kipindi kile, mnakuja kushangaa leo Mtukufu kumpokea Mama maria,ikulu, Nawashangaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeshamchunguza nimegundua ni mwenzake katika Imani. Hakuna haja ya kujadili imani za watu kuhusu dini.
Kama ni zawadi si inapokelewa nyumbani eda estate, pale ni kazini sio kanisani, sijui kama nakosea
Una ushahidi gani kama anapotosha.? Mwenzio kasema amemlilia akasikilizwa, si ulie na wewe uone kama utasikilizwa ama la, kuliko kumbishia.

Basi watu povu linawatokaaaa..
Kwani mkipita bila kukashifu inawacost nini
Ndio keshapokea sanamu na hilo zinawad yake yy na familia .
KAMA HUTAKI ..KUNYA BOGA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE,UNAFAHAMU ALIYEANZISHA DHEHEBU LAKO?

Kabla ya Mwaka 1517,Kila Mkristo aliuwa Mkatoliki.

Tunafahamu leo ukristo uko hivi:

1.Kama wewe ni Mlutheri ufahamu kwamba Kanisa lako lilianzishwa na Baba Martin Luther,Ujerumani Mwaka 1517 akiwa na Daraja la Upadre Katoliki.

2.Wewe kama ni Mennonite,Fahamu kuwa Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Grebel,Mantz na Blaurock mwaka 1525

3.Wewe kama ni Anglikana,Kanisa lako lilianzishwa na Mfalme Henry XIII Mwaka 1534.

4.Kama wewe ni Presbyterian,Kanisa lako lilianzishwa na ndugu John Knox Mwaka 1960.

5.Kama wewe ni Congregationist(Kanisa la Mtaa) Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Robert Brown,Uholanzi Mwaka 1583.

6.Kama wewe ni Baptist(Kanisa la Ubatizo),Fahamu kuwa Kanisa lako lilianzishwa na ndugu John Smith,Amsterdam,UholanziMwaka 1606.

7.Kama wewe ni Methodist,Kanisa lako lilianzishwa na John Murray,New jersey,Marekani mwaka 1770.

8.Kama wewe ni Mormo au Malaika Wajao Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Joseph,New York,Marekani mwaka 1829.

9.Kama wewe ni Seven Day Adventist(Sabato) fahamu kuwa kanisa lako lilianzishwa Willium Miller Mwaka 1831.

10.Kama wewe ni Jeshi la Wokovu(Salvation Army),Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Willium Booth Mwaka 1865.

11.Kama wewe ni Mashahidi wa Yehovah(Jehovah Witness) Kanisa lako lilianzishwa na Charles Russel Mwaka 1872.

12.Kama wewe ni Redeemed Christian Church of God(Marejeo ya Kikristo ya Kanisa la Mungu) unatakiwa kufahamu Kanisa lako lilianzishwa Mwaka 1952 na Josiah Akinayomi.

13.Kama Muumini wa Deeper Lige Bible Church,Kanisa lako lilianzishwa na Pastor William Kumuyi,Lagos Nigeria Mwaka 1973.

14.Kama wewe ni Mountain of Fire(Mlima wa Moto) Kanisa lako lilianzishwa na Daniel Olokoya Mwaka 1952.

15.Kama wewe ni Muumini wa Makanisa ya Askofu Zakaria Kakobe,Mtume na Nabii Josephat Mwingira,Mchungaji Hernandes,Askofu Gwajima nk,ujue kwamba Makanisa hayo yameanzishwa Dar es Salaam miaka ya hivi karibuni.

16.Hapa unaweza kuendelea na kuendelea mpaka Makanisa 43,000 yaliyopo leo.

17.Lakini kama wewe ni Mkatoliki unafahamu kabisa Imani na Kanisa lako vilianzishwa na Yesu Kristo mwenyewe Mwaka 33 kabla ya kupaa kwenda Mbinguni soma Mathayo 16:18 na kuliacha chini ya wanafunzi wake wakiongozwa na Mtume Petro na kutokea kipindi hicho kumekuwa na ukasimishaji wa Baba Watakatifu 266 wa kwanza akiwa Mtume Petro(soma Matendo ya Mitume 2:1) mpaka Yesu atakaporudi tena kadiri ya Maandiko Matakatifu.
Nimeorodhesha historia hii si kudharau Imani yoyote ila kufundisha Historia ya Imani ya Kikristo na kuweka Kumbukumbu sawa.
Kanisa Katoliki linabaki kuwa lilelile aliloanzisha Yesu Kristo na kuliwekea Ekaristi Takatifu kama Baraka ya Mwisho.Tunaendelea kufanya alichoagiza Bwana wetu Yesu Kristo kama alivyoyatoa maneno haya Matakatifu juu ya Mkate na Divai,kuwa tuule Mwili wake na Kuinywa Damu yake na aliagiza kufanya haya kwa kumkumbuka yeye mpaka atakapokuja tena(Mathayo 26:26).
Neno Katoliki maana yake kitu kizima au chote au wote.
Eneza Upendo,Eneza Utengamano na Umoja wa Kiroho aliotuacha nao Yesu Kristo na sio Mgawanyiko.
hii ni blah blah. hilo kanisa la kipagani la katoliki lilianzishwa 325 AD na mtawala Constantine akijifanya kuungani vidinidini vilivyokuwa kwenye himaya ya urumi pamoja na england. utawala wa rumi kabla ya hapo ulipiga marufuku kupitia watawala wake kwenye maeneo iliyoyatawala kuanzia 44AD na kuwauwa watakatifu wengi pamoja na petro. Constantine hakuweza kuhimili kuzuia watu kuwa na vidini vilivyomtaja Yesu hivyo akaamua kuondoa hiyo marufuku miaka ya 300ADs. huo ukatoliki ulilazimishwa na huyo Constantine akisaidiwa na cronies wake wakina Athanisius na Eusebius na mwingine wa tatu. hivyo vitu vya ekaristi vilitoka katika moja ya dini za kipagani iliyokuwa na hizo taratibu za kujiondolea dhambi kwa kula nyama ya ng'ombe na kunywa damu ya ng'ombe wakageuza hiyo iwe meza ya bwana ya uongo uongo. usidanganye watu hapa.
Kristo peke yake ndie anastahili kuabudiwa. watu wanajifanya eti hawamwabudu maria. wanasema "we only revere her" kurevere na kuworship havina tofauti. worship and reverence belongs only to Christ Jesus. I have informed you
 
Nadhani Rais amejifunza somo kubwa. Akamchukue mama yake na kumuweka kwenye geti la Ikulu, wanaotaka kumwona raisi maombi yao yapitie kwa mama mzazi Mwenye huruma, wanaotumbuliwa wote wakamwangukie Mama mzaa chema, yeye ndo akamwambie mwanae Magufuli..

Kama waroma walivyomweka Mama Maria kwenye geti la mbinguni ili maombi yao yapitie hapo, Na hata Mungu asipisikiliza, Maria mwenyewe anaweza akayajibu!!!!
 
1.Umeshawahi kumsikia Sanamu ya Nyoka wa Shaba aliyetengenezwa na Musa kwa Amri ya Mungu?

2.Unajua Sanamu zilizokuwa kwenye Hekalu Solomoni alilomjengea Mungu?

3,Unajua Biblia ni Sanamu ya Kitabu?

4.Unajua Biblia(Maktaba) ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali na kazi hiyo ilifanywa na Kanisa Katoliki?
5.Unajua Kazi ya kutafsiri machapisho mbalimbali yaliyotengeneza Biblia ilifanywa na Mtakatifu Jerome(Dr.of the Church) na kuiwasilisha kwa Maaskofu Katoliki kwa baraka za Kanisa?

Biblia hii unayoiona leo inatekeleza matakwa ya Kanisa Katoliki.
Kumbuka Biblia ni kwa ajili ya Kanisa lakini Kanisa sio kwa ajili ya Biblia.

1.Umeshawahi kumsikia Sanamu ya Nyoka wa Shaba aliyetengenezwa na Musa kwa Amri ya Mungu?
Mungu aliwashusha nyoka wa shaba jangwani kwa sababu ya kiburi cha wanaisraeli kuabudu miungu mingine waliotoka nayo misri. walipolia sana ndipo Mungu kamwambia Musa tengeneza nyoka wa shaba uwaagize kila ainuae macho kumtaza nyoka yule atapona, ikawa hivyo. waliokaidi walikufa. Agizo lile lilikuwa specific kwa event ile na lilitolewa na Mungu mwenyewe. kwa tamko la Mungu mwenyewe Nyoka yule aliweza kuponya mauti akitazamwa na anayeamini asiyetazama hakupona. hatujawahi kusoma popote kwenye Biblia ambayo ndio sole authoritative divine scripture ikisema Mungu ameagiza tumwabudu maria. Mwongo wewe. Sawasawa?

2.Unajua Sanamu zilizokuwa kwenye Hekalu Solomoni alilomjengea Mungu?
Again Mungu aliagiza vyombo vile vitengenezwe with specifications ambazo alisema zisibadilishwe. na yeyote aliyevichezea alikufa. hatujawahi kusoma popote kwenye Biblia ambayo ndio sole authoritative divine scripture ikisema Mungu ameagiza tutengeneze sanamu ya maria halafu tumwabudu. wewe ni shahidi hakuna lolote linatokea hata ukiifanya nini sanamu ya huyo mama. Mwongo wewe. soma Biblia sawasawa. Sawasawa?

3,Unajua Biblia ni Sanamu ya Kitabu?
Biblia sio sanamu. Ni neno lenye pumzi ya Mungu na lafaa kwa kufundishia na kuonya. Usanamu wa biblia unatoka wapi. Unavyoonekana hata wewe mwenyewe waweza kujiita sana. Mwongo wewe. Soma biblia ufunguke mawazo

4.Unajua Biblia(Maktaba) ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali na kazi hiyo ilifanywa na Kanisa Katoliki? Biblia ilikuwapo kabla ya mkutano wa Constantine mwaka 325 AD. Wanamkutano waliotunga kanisa katoliki walikuwa wanafahamu wa uwepo wa biblia lakini wakachagua kutengeza canons zao ambazo ni wazi zilikuwa zinapingana na biblia. hii ni kwasababu waliokuwa wanatengeneza ukatoliki walitoka dini za kipagani na hivyo pale wakawa wanazi"kristu"sha. wacha uongo wewe
5.Unajua Kazi ya kutafsiri machapisho mbalimbali yaliyotengeneza Biblia ilifanywa na Mtakatifu Jerome(Dr.of the Church) na kuiwasilisha kwa Maaskofu Katoliki kwa baraka za Kanisa? huyu jerome alikuwa mmoja wa hizo constituent vikanisa vilivyotengeneza ukatoliki. kutafsiri kwake Biblia sana sana kulikuja kugundulika alivyojaribu kudanganya wakristo wa kweli kabla yake. wacha uongo wewe

Biblia hii unayoiona leo inatekeleza matakwa ya Kanisa Katoliki. Rubbish!!!
Kumbuka Biblia ni kwa ajili ya Kanisa lakini Kanisa sio kwa ajili ya Biblia. Biblia ndio kauli ya Mungu kwa wanadamu. Iliandikwa kwa inspiration ya Mungu. toa Rubbish yako hapa

Bwana Mungu akusaidie maarifa ya kumtafuta, kumtumikia na kumwabudu yeye Mungu wa kweli na wa pekee anayestahili ibada peke yake,
 
Kama unajua Historia ya Biblia huwezi kusema Kanisa Katoliki Halifuati Maandiko ya Biblia.Biblia na Kanisa Katoliki ni sawasawa na Maji na Samaki.

Kingine ninachopenda muelewe ni kwamba Biblia haijajipa Mamlaka ya kuwa ndio Msingi pekee wa imani lakini Biblia inakiri KANISA NDIO MSINGI WA UKWELI.
Kanisa ndio limezaa biblia kwa vile Kanisa linaongozwa na Roho Mtakatifu ndio maana Kanisa la kwanza Mitume hawakuwa na Biblia.
Mafunuo ya Mungu hayakukomea kwenye Biblia ndio maana Yesu aliahidi kutuachia Roho Mtakatifu(sio Biblia) ambaye ndie anayeongoza Kanisa.
Biblia yenyewe inakiri,
"This is the Church of Living God,which is the Pillar and Foundation of the Truth,"(1Timothy 3:15).
Biblia sio neno Pekee la Mungu,Jiulize walioandika walinukuu wapi?Wapi Yesu aliagiza maandiko yake yaandikwe?.

Ninachopenda kuwahakikishia ni kwamba Kanisa Katoliki linaijua Biblia neno kwa neno na Sentesi kwa Sentesi.

Bikira Maria ni Mama wa Mungu na tunamwomba atuombee kwa Mwanae Yesu.

Leo wakatoliki tunasherehekea Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni na huko Mbinguni kawekwa kuwa Malkia.

Wewe unajifariji bure tu. kwa taarifa yako katoliki wanaichukia biblia na hawaencourage members kuisoma. inawarushia ndege. hivi vifungu unavovitoa ni bahati haviutaji ukatoliki kwa jina kwa sababu ukatoliki umeshashindwa na kafara ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai. sasa hivi yanasubiriwa majira tu ili Mwana wa Mungu ashuke na utukufu wote. Join the bandwagon before it's too late. Napenda kukuhakikishia kanisa katoliki linaijua biblia sentensi kwa sentensi kama shetani anavyoijua. ishu ni je inawasaidia? au inamsaidia shetani? amekwisha potea na yake ni hukumu tu. maria yumo kaburini na anasubiri kuja kwa Mwana Adamu.
 
Back
Top Bottom