Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

Sahihisha kauli yako.
Hiyo kitu ya kuomba msaada kwa Mariamu ipo kwenye imani ya kikatoliki tu. Sio imani ya Ukristo unaoelezwa kwenye biblia.

Msaada wa wakristo unapatikana kutoka kwa Roho Mtakatifu kwa njia ya Yesu Kristo pekee. (YOHANA 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa
Sahihisha kauli yako.
Hiyo kitu ya kuomba msaada kwa Mariamu ipo kwenye imani ya kikatoliki tu. Sio imani ya Ukristo unaoelezwa kwenye biblia.

Msaada wa wakristo unapatikana kutoka kwa Roho Mtakatifu kwa njia ya Yesu Kristo pekee. (YOHANA 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia)

Ni kweli yatuhusu Wakatoliki tu......Kumbe yakupasa kutokuchangia. Usome kisha uachane nayo au usiisome kabisa.

Sababu ya furaha yetu.......utuombeee!
 
Bikira wa mabikira.........utuombee!
Bikira daima. ...........utuombee!
Bikira mwenye heshima.......utuombeee!

Litania ya Bikira Maria ina utamu wake....
Tuacheni na Mama Yetu.....Mama wa Neno wa Mungu...
Hatuwezi kuwaacha huku mnapotea. sisi tutaulizwa roho zenu, ya kuwa kwanini hatukuwaambia kuwa mnapotea wakati twaufahamu ukweli. ni obligation yetu kuwaambia vile mlivyopotoka. Kristo, Kristo ndie njia na kweli na uzima. Mtu haji kwa baba ile kwa yeye. Achaneni na sanamu. Ukipona kwa hizo sanamu ni sawa na anayepona kwa miujiza ile ya kwenye TV na naijelia
 
Mzee hilo dongo lako naona litafikirisha sana wahusika
 
Hatuwezi kuwaacha huku mnapotea. sisi tutaulizwa roho zenu, ya kuwa kwanini hatukuwaambia kuwa mnapotea wakati twaufahamu ukweli. ni obligation yetu kuwaambia vile mlivyopotoka. Kristo, Kristo ndie njia na kweli na uzima. Mtu haji kwa baba ile kwa yeye. Achaneni na sanamu. Ukipona kwa hizo sanamu ni sawa na anayepona kwa miujiza ile ya kwenye TV na naijelia

Huwezi kuulizwa kuhusu roho yangu. Hata maandiko unayoyatumia yanakataa hilo. Yanasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. Hutobeba wala kurithi dhambi ya mzazi wako sembuse ya jirani yako....
Bikira Maria, Mlango wa mbingu. ....utuombee
 
wee umesoma maandiko sijui ya katekisimu. sikia hii from Ezekiel 3:18-19

[18] When I say unto the wicked, Thou shalt surely die; and thou givest him not warning, nor speakest to warn the wicked from his wicked way, to save his life; the same wicked man shall die in his iniquity; but his blood will I require at thine hand.
[19] Yet if thou warn the wicked, and he turn not from his wickedness, nor from his wicked way, he shall die in his iniquity; but thou hast delivered thy soul.
Achana na sanamu. Mtafute Kristo upate ondoleo la Kweli la dhambi. huyo maria unayemwabudu kwanza sio huyo unayeambiwa. huyo katumika kama jina na kumwabudu mungu wao mwanamke wao wakam-batiza eti ni bikira maria. fungueni fikara.
 
Mama Bikira Maria sio wa Mchezo mchezo, ni wa miujiza ya kweli hasa ukimlilia kweli na yeye anajibu maombi ya kweli.

sitosahau mema aliyonitendea baada ya kumililia. Mama Bikira Maria ni kimbilio la wakosefu na wale wenye shida wanaomtumaini.
Kumbe bikra maria ni zaidi Yesu Kristo?

Lini amechukua hiyo nafasi Yesu ambaye ndio tunapaswa kumlilia na kumkimbilia!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
TYK Wadau,

NUKUU YA LEO.

"Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili.

Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri."

Nawatakia J4 njema ikiwa ni sherehe ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria.
AMINA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zawadi kwa rais tena ikulu maana yake hiyo ni mali ya jamhuri. Iwekwe hapo ikulu
 
Hawa wanampa rais vitu vilivyokatazwa kuabudiwa kwenye biblia!!
Confounded be all they that serve graven images, that boast themselves of idols: worship him, all you gods.

confounded

Exodus 20:4 You shall not make to you any graven image, or any likeness of any …

Leviticus 26:1 You shall make you no idols nor graven image, neither raise you up …

Deuteronomy 5:8 You shall not make you any graven image, or any likeness of any thing …

Deuteronomy 27:15 Cursed be the man that makes any graven or molten image, an abomination

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TYK Wadau,

NUKUU YA LEO.

"Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili.

Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri."

Nawatakia J4 njema ikiwa ni sherehe ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria.
AMINA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Constantine (mtawala wa rumi from 273 AD) aligundua kwamba, pamoja na Ufalme wa Kirumi kuwa kubwa sana, kuenea, na tofauti, si kila mtu atakubali kuacha imani zake za kidini kukubali Ukristo. Hivyo, Constantine aliruhusu, na hata kukuza, "Ukristo" wa imani za kipagani. imani kamilifu za kipagani na zisizo za kibiblia zilipewa utambulisho mpya wa "Kikristo". Baadhi ya mifano wazi ya hii ni kama ifuatavyo:

(1) ibada ya Isis, dini ya mungu-mama wa Misri, iliingizwa katika Ukristo kwa kuondoa Isis na mahali pake kuwekwa Maria. Majina mengi yaliyotumiwa kwa Isis, kama vile "Malkia wa Mbinguni," "Mama wa Mungu," na theotokos ("Mtunzaji wa Mungu") yaliunganishwa na Maria. Maria alipewa nafasi kubwa katika imani ya Kikristo, zaidi ya yale Biblia inayosema, ili kuvutia Waabudu wa Isis kwa imani ambao hawakukubali vinginevyo. Mahekalu mengi kwa Isis, kwa kweli, yalibadilishwa kuwa mahekalu yaliyotolewa kwa Maria. Vidokezo vya kwanza vya wazi vya Mariolojia ya Katoliki hutokea katika maandishi ya Origen, aliyeishi Alexandria, Misri, ambayo ilikuwa ni sehemu ya msingi ya ibada ya Isis.

(2) Mithraism ilikuwa dini katika Dola ya Kirumi katika 1 hadi karne ya 5 AD. Ilikuwa maarufu sana kati ya Warumi, hasa kati ya askari wa Kirumi, na inawezekana ilikuwa dini ya wafalme kadhaa wa Roma. Wakati Mithraism haikupewa hali ya "rasmi" katika Dola ya Kirumi, ilikuwa dini rasmi rasmi mpaka Constantine na wafalme waliofuatia wa Kirumi walichagua Mithraism badala ya Ukristo. Moja ya vipengele muhimu vya Mithraism ilikuwa unga wa dhabihu, ambao ulihusisha kula nyama na kunywa damu ya ng'ombe. Mithras, mungu wa Mithraism, alikuwa "sasa" katika mwili na damu ya ng'ombe, na mtu alipovitumia, alipewa wokovu (kwa wale waliokuwa wamejishughulisha na chakula cha dhabihu - hii inajulikana kama theophagy, kumla mungu wake mtu, kama vile kula mwili wa "kristu"). Mithraism pia ilikuwa na "sakramenti" saba, na kufanya kufanana kati ya Mithraism na Katoliki kusipuuzwe. Viongozi wa Kanisa baada ya Constantine walipata nafasi rahisi kwa mlo wa dhabihu wa Mithraism katika dhana ya misa ya ushirika wa Bwana/kristo. Hata kabla ya Constantine, Wakristo wengine wa kwanza walikuwa wameanza kuhusisha Sherehe ya Bwana, kukataa dhana ya kibiblia ya kumbukumbu rahisi na ya ibada ya kifo cha Kristo na damu iliyomwagika. "Kurumisha meza ya Bwana ilifanya kulibadilisha kabisa matumizi ya dhabihu ya Yesu Kristo, ambayo kwa sasa inajulikana kama Misa ya Kikatoliki / Ekaristi.
 
Mama Bikira Maria sio wa Mchezo mchezo, ni wa miujiza ya kweli hasa ukimlilia kweli na yeye anajibu maombi ya kweli.

sitosahau mema aliyonitendea baada ya kumililia. Mama Bikira Maria ni kimbilio la wakosefu na wale wenye shida wanaomtumaini.

Biblia nayoisona imeagiza tumkimbilie Yesu sio mama yake

my right to receive anything based in the blood of JESUS
 
Hivi Maria alikufa na ubikira wake? Je wafu nao wanapokea sala za walio hai?? Watu wengine bhana.
Wafu hawapokei sala!
Infact kuomba na kuombewa ,kuombeana ni tukiwa hai,ukishakufa hakuna!

Kuna sehem lucifer aliachilia kitu chake bila kuwa na ufahamu watu wanafanya!
Moja ya mafundisho potofu kwny ukristo!

my right to receive anything based in the blood of JESUS
 
Biblia nayoisona imeagiza tumkimbilie Yesu sio mama yake

my right to receive anything based in the blood of JESUS

JE,UNAFAHAMU ALIYEANZISHA DHEHEBU LAKO?

Kabla ya Mwaka 1517,Kila Mkristo aliuwa Mkatoliki.

Tunafahamu leo ukristo uko hivi:

1.Kama wewe ni Mlutheri ufahamu kwamba Kanisa lako lilianzishwa na Baba Martin Luther,Ujerumani Mwaka 1517 akiwa na Daraja la Upadre Katoliki.

2.Wewe kama ni Mennonite,Fahamu kuwa Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Grebel,Mantz na Blaurock mwaka 1525

3.Wewe kama ni Anglikana,Kanisa lako lilianzishwa na Mfalme Henry XIII Mwaka 1534.

4.Kama wewe ni Presbyterian,Kanisa lako lilianzishwa na ndugu John Knox Mwaka 1960.

5.Kama wewe ni Congregationist(Kanisa la Mtaa) Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Robert Brown,Uholanzi Mwaka 1583.

6.Kama wewe ni Baptist(Kanisa la Ubatizo),Fahamu kuwa Kanisa lako lilianzishwa na ndugu John Smith,Amsterdam,UholanziMwaka 1606.

7.Kama wewe ni Methodist,Kanisa lako lilianzishwa na John Murray,New jersey,Marekani mwaka 1770.

8.Kama wewe ni Mormo au Malaika Wajao Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Joseph,New York,Marekani mwaka 1829.

9.Kama wewe ni Seven Day Adventist(Sabato) fahamu kuwa kanisa lako lilianzishwa Willium Miller Mwaka 1831.

10.Kama wewe ni Jeshi la Wokovu(Salvation Army),Kanisa lako lilianzishwa na ndugu Willium Booth Mwaka 1865.

11.Kama wewe ni Mashahidi wa Yehovah(Jehovah Witness) Kanisa lako lilianzishwa na Charles Russel Mwaka 1872.

12.Kama wewe ni Redeemed Christian Church of God(Marejeo ya Kikristo ya Kanisa la Mungu) unatakiwa kufahamu Kanisa lako lilianzishwa Mwaka 1952 na Josiah Akinayomi.

13.Kama Muumini wa Deeper Lige Bible Church,Kanisa lako lilianzishwa na Pastor William Kumuyi,Lagos Nigeria Mwaka 1973.

14.Kama wewe ni Mountain of Fire(Mlima wa Moto) Kanisa lako lilianzishwa na Daniel Olokoya Mwaka 1952.

15.Kama wewe ni Muumini wa Makanisa ya Askofu Zakaria Kakobe,Mtume na Nabii Josephat Mwingira,Mchungaji Hernandes,Askofu Gwajima nk,ujue kwamba Makanisa hayo yameanzishwa Dar es Salaam miaka ya hivi karibuni.

16.Hapa unaweza kuendelea na kuendelea mpaka Makanisa 43,000 yaliyopo leo.

17.Lakini kama wewe ni Mkatoliki unafahamu kabisa Imani na Kanisa lako vilianzishwa na Yesu Kristo mwenyewe Mwaka 33 kabla ya kupaa kwenda Mbinguni soma Mathayo 16:18 na kuliacha chini ya wanafunzi wake wakiongozwa na Mtume Petro na kutokea kipindi hicho kumekuwa na ukasimishaji wa Baba Watakatifu 266 wa kwanza akiwa Mtume Petro(soma Matendo ya Mitume 2:1) mpaka Yesu atakaporudi tena kadiri ya Maandiko Matakatifu.
Nimeorodhesha historia hii si kudharau Imani yoyote ila kufundisha Historia ya Imani ya Kikristo na kuweka Kumbukumbu sawa.
Kanisa Katoliki linabaki kuwa lilelile aliloanzisha Yesu Kristo na kuliwekea Ekaristi Takatifu kama Baraka ya Mwisho.Tunaendelea kufanya alichoagiza Bwana wetu Yesu Kristo kama alivyoyatoa maneno haya Matakatifu juu ya Mkate na Divai,kuwa tuule Mwili wake na Kuinywa Damu yake na aliagiza kufanya haya kwa kumkumbuka yeye mpaka atakapokuja tena(Mathayo 26:26).
Neno Katoliki maana yake kitu kizima au chote au wote.
Eneza Upendo,Eneza Utengamano na Umoja wa Kiroho aliotuacha nao Yesu Kristo na sio Mgawanyiko.
 
Hawa wanampa rais vitu vilivyokatazwa kuabudiwa kwenye biblia!!
Confounded be all they that serve graven images, that boast themselves of idols: worship him, all you gods.

confounded

Exodus 20:4 You shall not make to you any graven image, or any likeness of any …

Leviticus 26:1 You shall make you no idols nor graven image, neither raise you up …

Deuteronomy 5:8 You shall not make you any graven image, or any likeness of any thing …

Deuteronomy 27:15 Cursed be the man that makes any graven or molten image, an abomination

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaongelea Biblia hii ambayo vitabu vyake vilikusanywa na kuhaririwa na Kanisa Katoliki au nyingine?

Unaongelea hii biblia ambayo muundo wake ni kwa ajili ya waumini wa Kanisa Katoliki?

Wakatoliki tunacheeeeeeka.
 
wee umesoma maandiko sijui ya katekisimu. sikia hii from Ezekiel 3:18-19

[18] When I say unto the wicked, Thou shalt surely die; and thou givest him not warning, nor speakest to warn the wicked from his wicked way, to save his life; the same wicked man shall die in his iniquity; but his blood will I require at thine hand.
[19] Yet if thou warn the wicked, and he turn not from his wickedness, nor from his wicked way, he shall die in his iniquity; but thou hast delivered thy soul.
Achana na sanamu. Mtafute Kristo upate ondoleo la Kweli la dhambi. huyo maria unayemwabudu kwanza sio huyo unayeambiwa. huyo katumika kama jina na kumwabudu mungu wao mwanamke wao wakam-batiza eti ni bikira maria. fungueni fikara.

1.Umeshawahi kumsikia Sanamu ya Nyoka wa Shaba aliyetengenezwa na Musa kwa Amri ya Mungu?

2.Unajua Sanamu zilizokuwa kwenye Hekalu Solomoni alilomjengea Mungu?

3,Unajua Biblia ni Sanamu ya Kitabu?

4.Unajua Biblia(Maktaba) ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali na kazi hiyo ilifanywa na Kanisa Katoliki?
5.Unajua Kazi ya kutafsiri machapisho mbalimbali yaliyotengeneza Biblia ilifanywa na Mtakatifu Jerome(Dr.of the Church) na kuiwasilisha kwa Maaskofu Katoliki kwa baraka za Kanisa?

Biblia hii unayoiona leo inatekeleza matakwa ya Kanisa Katoliki.
Kumbuka Biblia ni kwa ajili ya Kanisa lakini Kanisa sio kwa ajili ya Biblia.
 
Back
Top Bottom