Rais Magufuli, anzisha harambee ujenzi wa reli

Lupaya

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
248
Reaction score
93
Presdent nashauri anzisha harambee ya kuchangia ujenzi wa reli kuongezea nguvu hela za serikali zinazotengwa kwa ajili ya kazi hiyo. Hii reli tuijenge wenyewe na tunauwezo wa kufanya hivyo. Hapa suala ni kujiamini na kujitoa tu. Tuache kuona sisi hatuwezi na kuwa na akili ya utegemezi tuliyorithishwa na waliotufanya sisi ni watumwa. Mambo makubwa hufanywa na binadamu.

1. Ita wafanyabiashara wote wakubwa fanya nao harambee. Hili lifanyike kote, tembea nchi nzima, nenda mikoani na wilayani.

2. Kusanya wanasiasa wote popote utakapoenda mikoani na wilayani fanya nao harambee. Tena ikiwezekana ukisha fanya nao harambee pia chukua mishahara yao yote ya mwezi mzima. Waambie huko ndiko kutumikia wananchi kihalisia. Katika hili usisahau watu kama Chenge kuwabana vizuri.

3. Kusanya wanazuoni waliotukuka fanya nao harambee.

4. Kwa watu mafukara kama mimi, fungua acount tutakuwa tunatupia miambili mbili humo. Lakini hili liende na uhamasishaji.

5. Wafanyakazi wote wa umma na binafsi wenye take home isiyopungua `M` moja wajitolee kukatwa asilimia 10 kwa muda wa miezi mitatu mfululizo (washawishiwe, wanaweza).

6. Makanisa yana hela sana yachangie. Kila kanisa litoe asilimia 10 ya mapato/sadaka yake kila wiki mpaka reli itakapoisha.

SP: Najua nitashambuliwa sana hapa, lakini haya ni mwazo yangu ya namna ninavodhani itasaidia kusukuma mbele zaidi ya hapa tulipo kwenye suara la ujenzi wa reli. Ikumbukwe kwa dhamira yangu ya dhati ningelipenda hii reli tuijenge wenyewe bila mikopo ambayo baadaye inakuwa mzigo kwetu. Kuna usemi usemao WHO GOES A-BORROWING GOES A-SORROWING, hebu tuepuka kitu kama hicho.
 
Presdent nashauri anzisha harambee ya kuchangia ujenzi wa reli kuongezea nguvu hela za serikali zinazotengwa kwa ajiri ya kazi hiyo. Hii reli tuijenge wenyewe na tunauwezo wa kufanya hivyo. Hapa suara ni kujiamini na kujitoa tu. Tuache kuona sisi hatuwezi na kuwa na akili ya utegemezi tuliyorithishwa na waliotufanya sisi ni watumwa. Mambo makubwa hufanywa na binadam.

Kwani lini Magu amesema ameishiwa fedha za reli? Au hujui kwamba kwa kila gari inayoingia nchini inachangia pia?

Mkuu, kama wewe una hela zinafanya mafuriko sio wote. Watu wanahangaika na hela ya kula wewe unataka tuchangie reli ambayo Magu alishasema hela ipo tutajenga. Mbona Bombardier tulinunua bila kuchangia?
 
hiyo ni sawa na kuongezewa kodi kwa namna nyingine, lakini mzee c alisema hela zipo tayari ?? sasa wewe kwann unapendekeza bakuli litembezwe au unapingana na lauli ya mheshimiwa?
 
Temea mate chini ndugu yangu!!! Mungu apitishie mbali hili wazo lako lisifanyiwe kazi. Usije ukafanya mwisho wa mwezi tukakuta makato kwenye mishahara eti tumechangia ujenzi wa reli, azimio ambalo lilipitishwa na makatibu wakuu wote kwa niaba ya watumishi wote wa umma!!!!!🙁🙁🙁
 
Sawa nimefanya kama ulivyosema
 
Akili nyingine bwana mpaka raha! Kwani kati ya wale maadui watatu aliowahainisha Mwalimu, kutokuwa na reli ilikuwemo!?
Si ndio kujenga njia za uchumi kuondoa umasikini. Kati ya Yale matatu ya mwasisi
 
hiyo ni sawa na kuongezewa kodi kwa namna nyingine, lakini mzee c alisema hela zipo tayari ?? sasa wewe kwann unapendekeza bakuli litembezwe au unapingana na lauli ya mheshimiwa?
Zipo dar - Dom mbele bado
 
Kwani lini Magu amesema ameishiwa fedha za reli? Au hujui kwamba kwa kila gari inayoingia nchini inachangia pia?

Mkuu, kama wewe una hela zinafanya mafuriko sio wote. Watu wanahangaika na hela ya kula wewe unataka tuchangie reli ambayo Magu alishasema hela ipo tutajenga. Mbona Bombardier tulinunua bila kuchangia?
Na Mimi sina hela ila lazima tupambane.
 
Mawazo mengine ya kijuha tu, hivi wakati unawaza huu ujinga ulikalia nini?
 
Presdent nashauri anzisha harambee ya kuchangia ujenzi wa reli kuongezea nguvu hela za serikali zinazotengwa kwa ajili ya kazi hiyo. Hii reli tuijenge wenyewe na tunauwezo wa kufanya hivyo. Hapa suala ni kujiamini na kujitoa tu. Tuache kuona sisi hatuwezi na kuwa na akili ya utegemezi tuliyorithishwa na waliotufanya sisi ni watumwa. Mambo makubwa hufanywa na binadamu.

1. Ita wafanyabiashara wote wakubwa fanya nao harambee. Hili lifanyike kote, tembea nchi nzima, nenda mikoani na wilayani.

2. Kusanya wanasiasa wote popote utakapoenda mikoani na wilayani fanya nao harambee. Tena ikiwezekana ukisha fanya nao harambee pia chukua mishahara yao yote ya mwezi mzima. Waambie huko ndiko kutumikia wananchi kihalisia. Katika hili usisahau watu kama Chenge kuwabana vizuri.

3. Kusanya wanazuoni waliotukuka fanya nao harambee.

4. Kwa watu mafukara kama mimi, fungua acount tutakuwa tunatupia miambili mbili humo. Lakini hili liende na uhamasishaji.

5. Wafanyakazi wote wa umma na binafsi wenye take home isiyopungua `M` moja wajitolee kukatwa asilimia 10 kwa muda wa miezi mitatu mfululizo (washawishiwe, wanaweza).

6. Makanisa yana hela sana yachangie. Kila kanisa litoe asilimia 10 ya mapato/sadaka yake kila wiki mpaka reli itakapoisha.

SP: Najua nitashambuliwa sana hapa, lakini haya ni mwazo yangu ya namna ninavodhani itasaidia kusukuma mbele zaidi ya hapa tulipo kwenye suara la ujenzi wa reli. Ikumbukwe kwa dhamira yangu ya dhati ningelipenda hii reli tuijenge wenyewe bila mikopo ambayo baadaye inakuwa mzigo kwetu. Kuna usemi usemao WHO GOES A-BORROWING GOES A-SORROWING, hebu tuepuka kitu kama hicho.

Jiwe halipangiwi wala haliwezi kujibu. Actually una hoja ya msingi hapa irrespective of your partisanship! JPM had the opportunity to rally the masses behind him to show that Tanzanians United can move even the MT.Kilimanjaro hata the Ethiopian walijenga miundombinu ya Reli na Bwawa la umeme kubwa kwa kuchangia willingly mshahara wa mwezi mmoja kwa kila Mhabeshi na the late Prime Minister though a seasoned Dictator promised that zile fedha zisingeliwa na mchwa, alongside Jiwe aimarishe rule of law and inclusivity pia ugatuzi ulioanza kujengwa na serikali zilizopita uheshimiwe . I can see there is new tendency of centralized economy la kutumia jeshi na kanda ya ziwa na kuhamia Dodoma which can place bread on the table? We can build the Stiglers Gorge kwa hiyo approach but the SGR we could leave it to the Private sector or have a Public Private Partnership utilizing international financial banks! Mshauri apunguze ubaguzi and should learn to listen to others before demanding people to listen to him. Ethiopians have built railways and Hydro power plant excluding the people now with huge generation capacity without Democracy just you can see the exodus of Ethiopians on Transit to RSA and Europe sio kitu kizuri. If given the opportunity JPM must be advised to respect constitutionality hata kwa ile katiba ya 1977? How can you rally the masses behind you kwa ubaguzi he has demonstrated you must have a PhD to assume a high office or be a CCM vigilante? There is no light at the end of the tunnel for him hata akipewa 4terms it’s only misery !
 
Back
Top Bottom