Ni wakati wako sasa kufufua fikira ulizoua za kujitegemea. Fikiria namna ya kuifanya Tanzania nchi inayojitegemea kiasi cha kufikia kutoa misaada kwa nchi nyingine. Kama unaona uwezi kukaa katika Tanzania inayojitegemea anza sasa utaratibu wa kuukana uraia wa Tanzania na kutafuta uraia wa nchi nyingine itakayokidhi matakwa yako. Kwa nini unataka kila kitu ufanyiwe, yaani hata kufikiri unahitaji msaada...!!? Mnaaza kunifanya niandike kwa ukali kwenye jukwaa hili. TUJITEGEMEE muda ndiyo huu.Safi sana, lakini tungependa atupe mchanganuo wapi tutazipata hizi fedha tofauti na kodi pekee,
Halafu mtu anakuja anasema na bado, wengine wazuie misaada yao kwa TZ hivi ana akili huyu? Kumbe mafanikio ya nchi ni ya Magufuli tu? Hovyo kabisa....sikuamini kumuangalia akiongea....Yupo sawasawa Rais
Lakini hawa walio ishiwa hoja yakupatia Kick wanadhani MCC imewatoa kimasomaso
Poleni sana
Sawa Mheshiwa RAIS, lakini hilo suala ni la long term plan, sio la muda mfupi kiivyo, just take it slow this is process , we cant win overnight, mheshimiwa"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Kitendo cha kuizungumzia sana MCC maana yake ni kwamba ina impact katika hatua za maendeleo yetu. Kama wametunyima hela na tukakaa kimya, hilo lingeashiria tumewapotezea. Kwa sasa naona tumepoteza kitu fulani!Yupo sawasawa Rais
Lakini hawa walio ishiwa hoja yakupatia Kick wanadhani MCC imewatoa kimasomaso
Poleni sana
Hivi unafikiri toka tupate uhuru mwaka 1961, tulikuwa tunategemea misaada ya MCC? Sasa hamna muda wa kubet, eti MCC watakuletea pesa. Kilichobaki ni kufanya kazi na kujitegemea!Jamani tumuhurumie raisi wetu, hapo alipo ana mawazo, MCC wamekata mirija, Nchi 10 kati ya 14 zinazochangia budget wamesepa,Bandarini kumezorota, Wafanyabiashara hawaagizi kama kawaida, mapato ya ndani yanaendelea kupungua, kila kinachokusanya kinatumika, Mataifa rafiki hayamuelewi! walimu 50,000 wanatakiwa kuajiriwa, bado pesa za elimu bure ni janga jengine, hata za Mock hamna! nadhani anafikiria kuirudisha kodi ya kichwa sasa
actually that has been the problem all along we being standing on our hands instead of feet.mbona tunaumia sana kunyimwa msaada??? can't we stand by our own hands??????
"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"