Rais Magufuli anajisikiaje anapoona Wabunge wa Upinzani wakiteseka?

Raha ndani ya nafsi yake. Nahisi angeweza angewapa cha moto hata wananchi wa majimbo yao.
 
Mkuu usiumize kichwa sana mbona ameshamtuma spika wa bunge awashughulikie kule ndani na wakitoka nje yy atadir nao, ndo anadil nao hivyo mkuu
 
Ili upate maendeleo lazima mbegu moja ife ili mbegu mpya izaliwe.ref max

Unajua nyinyi watu ni matahira?

Hivi unafikiri maendeleo yanaletwa na watu au na serikali? Kwa mawazo yako, majiji ya Marekani yamejengwa na serikali yao siyo? Na Johanesburg pia imejengwa na serikali ya Zuma na Botha. Hata jiji la Dar ni ujenzi wa Serikali tukufu?
 


Wewe una amini wabunge wenye "ethics" ni wale waliopo CCM tu, ambao wamefunga midomo yao kwa kumuogopa rais ambaye ndio mwenyekiti wa chama chao??
 
Mtoa mada.
Umezungumza maneno mazito yenye Hekima na Busara tele kwe kauli yako.
Maneno yako yanahitaji tafakari na subira ya kutosha kuweza kuelewa.
Hapa nyumbani kwangu mimi nina vijana naishi nao, wengine watoto wangu, wengine watoto wa nduguzangu, wengine ni wafanyakazi wangu, wengine nawalea tu na sio jamaa zangu wa karibu.
Hawa vijana wanatofautiana tabia, wengine wapole wengine watukutu kiasi kwamba wanahitaji bisara ili kuendelea kuishi nao.
Lakini yote kwa yote wote wananitegemea mimi kama mlezi wao.
Wananitegemea katika kutatua na kupata ufumbuzi wa shida zao karibu zote.
Mahitaji ya chakula na mavazi pia wananitegemea mimi kwakuwa mimi ndiye mwenye nyumba na mamlaka hapa nyumbani.
Ni wajibu wangu kuwahudumia na kuwalea ili wakue kama mimi nilivyolelewa huko nyuma pamoja na ukweli kuwa sikuwa na tabia za kumridhisha mlezi wangu.
Ni busara sasa tuanze kufikiri kutimiza majukumu yetu kama walezi badala ya kuangalia makosa ya wanaotutegemea na kulipiza kisasi.
Tujue kuwa yote yatapita lakini Tumaini, Imani na Upendo Vitadumu Milele.
Maisha ni Upendo.
 
Labda ndio wapiga dili na mafisadi aliotupa ahadi atawashughulikia vilivyo!
tuone basi mtu akifungwa haki gani mtu nakaa rumande miaka miwili , mwaka mmoja, niuonezi mtupu hatujaona hata fisadi anafungwa, labda lulu ndiyo fisadi, naye kafungwa kwa sababu mchanga kamuua msukuma bahati mbaya
 
Mashetani wenye maumbile ya binadamu ndivyo walivyo. Huwa wana chuki za kutisha, visasi na roho mbaya. Kwao wao kutoa uhai wa binadamu ni jambo dogo sana.
 
RAIS VEEP ANGALI WAKO CHINI YA MAHAKAMA .....AU SIJAELEWA UZURI...KILA HOJA JPM HATA ISSUE ZA KIMAHAKAMA JAMANI MWACHENI MKUU AFANYE KAZI ZA NCHI ...
 
Hahaha hapa ndipo chadema mnaniachaga hoi, hua mnamtukana Magufuli wee alafu baadae mnahitaji msaaada wake tena hahaha pambaneni na hali zenu mliambiwa Magufuli ni mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni mpaka adili na mambo yenu??

Nyumbu ni Nyumbu tu
 


Mh. rais ana kazi kubwa ya kufanya, yeye si kama Kikwete aliyekuwa anasafiri tu bila hata sababu kwa hela za madafu yetu huku nchi ikimshinda.
 
His soul is filled with cold darkness.

He no longer feels the warmth of true love.

The blood he's spilled shall haunt him for the rest of his miserable life.
 
Wakati unayasema hayo, ujue kuwa binadam haoni moyo wa binadamu mwenzie ila Mwenyezi Mungu huona kilichopo ndani ya moyo wa binadamu.

Usiogope binadamu mwenzio, muogope Mungu!
 
Mimi nimelikubali sana hili andiko lako,mtoa mada amewaona wabunge na viongozi wa upinzani tu, kasahau kuna wahalifu wengi tu wako jela na wagonjwa wengine wengi wako hospital, kuna maiti nyingi zilikusanywa kule kibiti, atueleze ni Raid ndiyo kasababisha yote haya au na yeye bangi zinamsumbua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…