Rais Magufuli anajisikiaje anapoona Wabunge wa Upinzani wakiteseka?

Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L

Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!

Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!

Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.

Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!

Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?

Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!
Ndugu asie na hofu ya mungu wala kifo huwa hamuhurumii mwenzake hiyo ni kawaida kwake.
 
Hao waliopo mahabusu ni wahalifu kama wahalifu wengine na Katiba yetu haijabagua ni nani anapaswa kushitakiwa na ni yupi hapaswi kushitakiwa isipokuwa Rais peke yake. kama Mbunge anaunguza nyumba hiyo ni jinai kama jinai zingine,unataka Rais atetee wahalifu? Mbunge anafanya fujo Bungeni anachukuliwa adhabu kulingana na Kanuni za Bunge sasa unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kwa kuwarudisha wahalifu Bungeni kabla ya kumaliza adhabu zao? Mbunge kupigwa risasi kwani alipigwa na Rais au alipigwa na wahalifu sawa na wale waliokuwa wanaua watu kule Rufiji? Tatizo la Wabunge wengi wa Upinzani ni wavuta BANGI na bangi haiwezi kumuacha mtu salama bali anajikuta anafanya maamuzi yasiyo sahihi..!!
Inaweza kuwa kweli maana kuna mbunge mmoja aliomba bangi iruhusiwe
 
Watanzania ni waajabu na siyo kidogo ikiwa wanaongozwa kwa ahadi za uongo na wanashangilia kwa matumaini hewa !!
1. Wangapi maisha yao yameathirika kwa sasa hawawezi tena kupata kipato chao?
2. Kununua wanasiasa uchwara wa upinzani ndiyo kujenga viwanda?
3. Wanafunzi wangapi wamekosa mikopo bado wanashangilia kila siku hapa kazi tu?
4. Watu wangapi wameuawa na hakuna mtu wa kuhoji?
5. Watu wangapi wamepotea na hakuna wa kuhoji?
6. Waislam wangapi wamepotea bado sisi ndiyo tuko mbele kuunga mkono haya watendewayo wenzetu?
7. watanzania wangapi walipoteza ajira kwa vyeti feki lakini Bashite yupo na anasifiwa kila siku
Anyway haki zitaendelea kupotea za watu na hakuna maendeleo zaidi ya nguvu ya ukabila kumea na kuota mizizi
 
Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L

Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!

Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!

Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.

Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!

Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?

Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!

Ni kama vile shetani anavyoona binadamu wanavyofanya dhambi
 
Wao wanapokuwa wanamtukana na kumkashifu kila mara licha ya kuitendea haki nafasi yake ya Urais, je huwa wao wanamwonea huruma? Ama mkuki kwa nguruwe tu?
 
"Ningekua Mimi hata malipo yake ya matibabu nisingesaini"

"Ha ha haaaa... Mimi nikiwa Rais watalimia meno.. Ha ha ha haaaa"

"Nasema asiyefanya kazi afe kabisa"

"Haiwezekani ukawa msaliti halafu ukawa unasurvive tu"

"Mimi huwa sijaribiwi"

"Atakayeleta fyokofyoko kukiona"
 
Jamaa ana roho mbaya iliyojaa chuki na uoga . Kwake yeye wapinzani ndio wanaonyima watoto mikopo ya elimu ya juu na uozo wote wa chama chake. Ni kiongozi mwenye maono ya kale asiye amini kwenye umoja wa kitaifa. Anadhani hata kwa muumba wake ataenda na mapolisi
punguza hasira mkuu @TairiBovu
 
Huyu anaroho si ya kibinadamu anatamani hata washinde shamba wakilimishwa kama ng'ombe
 
niliishi kwa kuamini mtoto wa mwenzako si wako
nawabebesha watu mizigo ya misumari
niligawa vyeo kwa hila hata wakasoaji wangu walipo nena nilisema huo ni uchochezi
nang'atukaaaaa prof J.
 
Mara nyingi anasisitiza Yeye ni Rais wa watu wote.
Mimi nadhani hali hii inamuuza kama mtanzania .
 
Labda ndio wapiga dili na mafisadi aliotupa ahadi atawashughulikia vilivyo!
 
Hao waliopo mahabusu ni wahalifu kama wahalifu wengine na Katiba yetu haijabagua ni nani anapaswa kushitakiwa na ni yupi hapaswi kushitakiwa isipokuwa Rais peke yake. kama Mbunge anaunguza nyumba hiyo ni jinai kama jinai zingine,unataka Rais atetee wahalifu? Mbunge anafanya fujo Bungeni anachukuliwa adhabu kulingana na Kanuni za Bunge sasa unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kwa kuwarudisha wahalifu Bungeni kabla ya kumaliza adhabu zao? Mbunge kupigwa risasi kwani alipigwa na Rais au alipigwa na wahalifu sawa na wale waliokuwa wanaua watu kule Rufiji? Tatizo la Wabunge wengi wa Upinzani ni wavuta BANGI na bangi haiwezi kumuacha mtu salama bali anajikuta anafanya maamuzi yasiyo sahihi na kushindwa kuishi kwa ethics za uongozi..!!
Kama ambavyo haijakuacha ww salama
 
Watanzania ni waajabu na siyo kidogo ikiwa wanaongozwa kwa ahadi za uongo na wanashangilia kwa matumaini hewa !!
1. Wangapi maisha yao yameathirika kwa sasa hawawezi tena kupata kipato chao?
2. Kununua wanasiasa uchwara wa upinzani ndiyo kujenga viwanda?
3. Wanafunzi wangapi wamekosa mikopo bado wanashangilia kila siku hapa kazi tu?
4. Watu wangapi wameuawa na hakuna mtu wa kuhoji?
5. Watu wangapi wamepotea na hakuna wa kuhoji?
6. Waislam wangapi wamepotea bado sisi ndiyo tuko mbele kuunga mkono haya watendewayo wenzetu?
7. watanzania wangapi walipoteza ajira kwa vyeti feki lakini Bashite yupo na anasifiwa kila siku
Anyway haki zitaendelea kupotea za watu na hakuna maendeleo zaidi ya nguvu ya ukabila kumea na kuota mizizi
Bora hata uwashutue waislamu wenzako maana hata mm nawashangaaa ndio wanaoongoza kuisifia hii serikali wakati wao wamewekwa pembeni hasa kwenye secta ya uteuzi
 
Hao waliopo mahabusu ni wahalifu kama wahalifu wengine na Katiba yetu haijabagua ni nani anapaswa kushitakiwa na ni yupi hapaswi kushitakiwa isipokuwa Rais peke yake. kama Mbunge anaunguza nyumba hiyo ni jinai kama jinai zingine,unataka Rais atetee wahalifu? Mbunge anafanya fujo Bungeni anachukuliwa adhabu kulingana na Kanuni za Bunge sasa unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kwa kuwarudisha wahalifu Bungeni kabla ya kumaliza adhabu zao? Mbunge kupigwa risasi kwani alipigwa na Rais au alipigwa na wahalifu sawa na wale waliokuwa wanaua watu kule Rufiji? Tatizo la Wabunge wengi wa Upinzani ni wavuta BANGI na bangi haiwezi kumuacha mtu salama bali anajikuta anafanya maamuzi yasiyo sahihi na kushindwa kuishi kwa ethics za uongozi..!!
Ndio amini njaa, humpumbaza mwenye hekima. Pole sana, iko siku utakuja jutia haya maneno yako!!
 
Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L

Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!

Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!

Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.

Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!

Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?

Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!
Ukitoa Lissu wengine hawa ni wahalifu kama wananchi wengine. Sheria zisiwabague.
 
Back
Top Bottom