Aogope.kitu mfu?,hiyo Sacco's kwa sasa zilipendwa ,hebu kumbuka kila nahau na semi mlizoongea za kumtikisa ziliishia wapi?
Chadema kwa kupenda sympathy wewe atauseme magu anawaogopa chadema hiyo haizuii yeye kuwa Raisi kwa awamu ya pili
Kujipa matumaini hewa na kujifurahisha pia ni njia mojawapo katika kupitia hali ngumu ya kimaisha!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kujipa moyo ni hulka ya mwanadamuNdugu
Nimeamini Leo kuwa pombe anaiogopa chadema sana na kwanza hana ubavu Wa kukaa nao meza Moja,
Anaonekana MTU mwenye kinyongo sana na chadema,yupo tayari kuonana na viongozi wote Wa upinzani lakini sio chadema.
Lakini pia nimejifunza kitu na ninapenda kuwajutaarifu kuwa chadema isimchukue membe kuwa mgombea wake Bali iendelee na TL pekee,membe ni mkakati na wao sana lao Moja,hata kama membe akienda ACT basi chadema isimamishe mgombea wake nimeshaona harufu ya kuivuruga chadema kupitia membe.
Pombe ni muoga sana Wa chadema na ana kinyongo sana..
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu

Tunaenda na Tundu Lissu!CHADEMA hii hii isiyo na mgombea inayosubiri toka CCM ,JPM awaogope?
Kinyago ( CHADEMA) tulichokichonga kitutishe ?
Huko nyuma kipindi mna uhuru huo mlimnyonya mavi nanKama mnajiamini msiwakamate wapinzani kwenye mikutano ya wananchi. Fair grounds muone mtakavonyonywa mavii
Umetumiwa barua ya kuomba huruma yako kutoka Chadema au ni kiherehere chako ?Chadema hichi, Chadema kile. Na nyinyi pangeni mikakati yenu msikae chini kusubiriu huruma ya watanzania
Kaulize huko kwenye lichama lenu CCM wanajua.unadhani Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani ilikuja kwa bahati mbaya.Huko nyuma kipindi mna uhuru huo mlimnyonya mavi nan