Rais Magufuli anahitaji tathmini

Rais Magufuli anahitaji tathmini

Ajitathimini pia kuhusu demokrasia. Je viongozi waliopita kuna hata mmoja baada ya uchaguzi mkuu aliwahi kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka kipindi kingine cha uchaguzi mkuu?
Je kati ya viongozi waliopita kuna hata mmoja aliyezuia bunge la JMT lisioneshwe mubashara?
 
ongeza,
Alikuta agenda kuu ya chadema ikikua kupiga vitaufisadi,sasa ameupiga ufisadi mpaka chadema wanaomba radhi na kuamua kuukumbatia
Alikuta nchi imejaa wauza unga ,na wanywa viroba kibao..sasa kalalanao mbele hadi chagadema wanatafuta mbinu ya kuipoozesha hii vita .lakini jamaa amekomaa nao tu.
Alikuta mbowe anamiliki bilican bila kulipa kodi.na vilevile kudai ni jengo lake kumbe ni jengo la umma .amefaulu kumnyang'anya
Alikuta zaidi ya watumishi hewa 17000)
amewaondo wote.
Alikuta Atcl iko ICU sasa imeanza kuwa ndio dactari kwa kuanza kulipa mdeni.
Alikuta mgao wa umeme.hadi watu wanadanganya watatuletea mvua ya kununua kuepuka mgao wa umeme ,sasa a.epambana kwa kumrudisha profesa mchapa kazi kibabe na mgao sasa kwishnei.
Alikuta treni ya umeme ni stori tu yeye ameanza kujenga live bila chenga
Amekuta chadema wanatafuta kiki tu bungeni badala ya kutoa hoja za kujenga nchi yeye kawazimia.kazima bunge lenyewe lisioneswe live.ili waache kutsfuta kiki wafanye kaxi walio tumwa.
etc,
UMESAHAU JINSI ALIVYOPAMBANA NA VYETI FEKI NA KUFANIKIWA KUWANG'OA WAHUJUMU WA ELIMU TANZANIA
 
UMESAHAU JINSI ALIVYOPAMBANA NA VYETI FEKI NA KUFANIKIWA KUWANG'OA WAHUJUMU WA ELIMU TANZANIA
vichekesho baada ya habari hivi.

kweni serious. mbona forger in chief yuko nae hapo dar, kamkabidhi mkoa mzima kabisa?
 
vichekesho baada ya habari hivi.

kweni serious. mbona forger in chief yuko nae hapo dar, kamkabidhi mkoa mzima kabisa?
Aaa Sasa kaka umesahau kuwa huyo ni mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi, kuondoka kwake hadi mfanyakazi wa mwisho ameondoka ndipo Redundance i take place vinginevyo ni kinyume cha sheria ni hapo tu, hamjapagundua!!!!!
 
Wewe acha kukuza mambo, Mhe. Makonda ulimuona akivamia au akiingia kwenye jengo hilo!?

Hamchoki kujaribu kumchokonoa Raisi wetu, kwa sababu mnataka afanye mnayotaka!?

Hapa kazi tu

Mtanyooka hadi msage meno, na hii ya kutaka kuichafua nchi ndio mtaisoma namba vizuri.

Magufuli oyeeeeee

Makonda oyeeeee
Aisee kweli MTU akizaliwa kichaa atabaki kuwa kichaa mpaka kufa
 
Akifanya hivyo atapaniki zaidi maana anajua raia watampiga chini pale kwenye sipangiwi nani wa kumpigia kura...
 
Nimeona akili yako ilivyo finyu , Rais anatathminiwa kwa vitu Vya kijinga hivyo ? Simple minds hizo , kumbe ndio maana watz hatusongi mbele ni sababu watu hawaangalii vitu vikubwa wao ni udaku tu
Si utuambie hivyo vikubwa maana uloandika ni sawa nahadithi za kusadikika
 
Back
Top Bottom