Rais Magufuli anaenda Ubungo kwa kutumia usafiri wa basi la Mwendokasi

Status
Not open for further replies.

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Ni shidaaa!! huyu ndio rais wa watu. Rais Magufuli amepanda mwendokasi kutoka moroko jijini Dsm hadi Ubungo mataa ambapo anazindua flayover ya ubungo mataa. Lengo la mh Rais ni kutokuwasumbua wananchi kwa kusimama kumpisha,wanaoenda kwny shughuli za ujenzi wa taifa.
RAIS AMESHAFIKA UBUNGO NA ANAHUTUBIA HIVI SASA. ANASEMA MIRADI MIKUBWA YA MIUNDOMBINU ITAJENGWA HAPA TANZANIA IKIWAMO HUU WA UBUNGO INTERCHANGE.

Anasema lengo la mda mrefu ni kukomesha tatizo la msongano jijini na pia tatizo la maji hapa jijini na nchini kwa ujumla
 
Isidingo na iendeleee!!
 

Attachments

  • IMG-20170312-WA0007.jpg
    IMG-20170312-WA0007.jpg
    46.1 KB · Views: 47
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom