Tangu misamaha ianze mbowe kawa mpole kuliko maelezo, kulikoni?Tangu lini majizi chadema yakafanikiwa kwa lolote wanalofanya?
Sidhani kama ni sawa pale tunapowaweka hao 'Muzungu' wooote kwenye kapu moja, nadhani kuna makundi tofauti yenye maslahi tofauti.
Tunakosea sana kila pale tunapokwazwa na 'Wazungu' fulani basi tunawahukumu Wazungu wote ili hali kuna mema mengi tu tunayoyapata kutoka miongoni mwa hao hao.
Ni Wazungu wengi tu wanachangishwa kwa ushawishi wa Waswahili wenzenu wakiwaaminisha kwamba wanakuja kuwasaidia wenzao Masikini, na wengi wao wanajitoa kwa hali na mali kupitia hizo tunazoziita NGO. Sasa cha ajabu kesho ukimsikia Mzungu mwingine pale Stanford Bridge akimtusi Lukaku unawahukumu Wazungu wote wa dunia hii.
Kuna mengine ni ushauri tu, kutekeleza au kupuuzia ni uwezo wa akili zetu wenyewe, unaposhauriwa usifanye jambo kwa faida ya mazingira ukakataa ulitaka huyo Mshauri afanyeje? alete majeshi na vifaru awazuie?
Mfano mzuri angalia pale Congo, wafanyakazi wa WHO wanaofanya kazi ya kudhibiti Ebola wanashambuliwa na Wenyeji wakidai Ebola si ugonjwa halisi...sasa kwa maoni yako wewe ungewashauri WHO wafanye nini? waondoke kweli kwa kuheshimu mawazo ya "Wanasayansi" hao wa Congo...alafu siku ya pili mjipige kifua kwamba 'Muzungu' kasanda?
Hayo ni mawazo yako.Ebola is money, WHO hawezi ondoka Kongo hata kwa greda, Muzungu atatuma hata bomber kuondoa Utawala utakaotishia kumuondoa WHO Kongo.
Hakuna Muzungu ana interest na Afrika usidanganyike, NGO is money making machine, Bill & Belinda Gates foundation imeanzishwa ili kukwepa kulipa kodi huko kwao, ukiona neno foundation ujue ni wizi!
Sasa kwa akili yako unafikiri wanamuogopa ..... Au unafikiri hawamsikii au kuelewa akiwaita Mabeberu ....!!Kwa nini Muzungu aogope hivyo hadi afanye kimya kimya? Kwa lipi hasa la kumuogopesha labda?
Mzee Kikwete anazungumzia unyenyekevu utadhani watu wamemsahau Dr Ulimboka.Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.
Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.
Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.
Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
juzi tu umelalamika kakampuni kako kupumulia mashine, huo uchumi wa kati utafikaje au serikali ndo inafika kwa niaba yakoNaunga mkono hoja, huyu ni nabii wa Mungu aliyetumwa kuikomboa kiuchumi nchi ya Tanzania, kutoka Tanzania masikini wa kutupwa hadi Tanzania donor country , nchi ya uchumi wa kati, Tanzania ya viwanda.
P
Hivi wewe ukipambana na kichaa unakimbizana naye?Kwa nini Muzungu aogope hivyo hadi afanye kimya kimya? Kwa lipi hasa la kumuogopesha labda?
Sijaona maoni ya Chakaza kwenye hii comment!Naunga mkono hoja, huyu ni nabii wa Mungu aliyetumwa kuikomboa kiuchumi nchi ya Tanzania, kutoka Tanzania masikini wa kutupwa hadi Tanzania donor country , nchi ya uchumi wa kati, Tanzania ya viwanda.
P