Rais Magufuli ana bahati au ngekewa nzuri tu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
 
Nadhani timing imekuwa nzuri kwa Magufuli, hao wazungu wenyewe hawaelewani kwenye baadhi ya mambo, kwa mfano issue ya stigler wanapiga piga makelele kuwa ni uharibifu wa mazingira, wakati huko kwao Boss Kubwa Trump kajitoa kwenye mkataba wa kutunza mazingira na haamini ktk kitu kinachoitwa global warming na hata UN linapokuja suala lolote kuhusu mazingira Marekani anatoka, katika hali hiyo, sisi huku tunateleza kiulaini.

Lakini jingine kwa sasa Urusi na China wameleta balance of power kwa kiasi kikubwa so hata wazungu naona wako very calculated ktk issue zao ili mwisho wa siku wasije wakafanya jambo wakaonekana kama mambwa koko, mfano kitu walichomfanya Gadafi lkn leo wameshindwa kukifanya kwa Assad.
 
Sidhani kama ni sawa pale tunapowaweka hao 'Muzungu' wooote kwenye kapu moja, nadhani kuna makundi tofauti yenye maslahi tofauti.

Tunakosea sana kila pale tunapokwazwa na 'Wazungu' fulani basi tunawahukumu Wazungu wote ili hali kuna mema mengi tu tunayoyapata kutoka miongoni mwa hao hao.

Ni Wazungu wengi tu wanachangishwa kwa ushawishi wa Waswahili wenzenu wakiwaaminisha kwamba wanakuja kuwasaidia wenzao Masikini, na wengi wao wanajitoa kwa hali na mali kupitia hizo tunazoziita NGO. Sasa cha ajabu kesho ukimsikia Mzungu mwingine pale Stanford Bridge akimtusi Lukaku unawahukumu Wazungu wote wa dunia hii.

Kuna mengine ni ushauri tu, kutekeleza au kupuuzia ni uwezo wa akili zetu wenyewe, unaposhauriwa usifanye jambo kwa faida ya mazingira ukakataa ulitaka huyo Mshauri afanyeje? alete majeshi na vifaru awazuie?

Mfano mzuri angalia pale Congo, wafanyakazi wa WHO wanaofanya kazi ya kudhibiti Ebola wanashambuliwa na Wenyeji wakidai Ebola si ugonjwa halisi...sasa kwa maoni yako wewe ungewashauri WHO wafanye nini? waondoke kweli kwa kuheshimu mawazo ya "Wanasayansi" hao wa Congo...alafu siku ya pili mjipige kifua kwamba 'Muzungu' kasanda?
 
Ebola is money, WHO hawezi ondoka Kongo hata kwa greda, Muzungu atatuma hata bomber kuondoa Utawala utakaotishia kumuondoa WHO Kongo.
Hakuna Muzungu ana interest na Afrika usidanganyike, NGO is money making machine, Bill & Belinda Gates foundation imeanzishwa ili kukwepa kulipa kodi huko kwao, ukiona neno foundation ujue ni wizi!
 
Hayo ni mawazo yako.

Ila ujue nawe yapo unayofanya kwa nia nzuri na wenzako hudhani kuna jambo nyuma yake.
 
Watanzania wanahitaji maisha bora na siyo bora maisha! Wanahitaji siasa safi! wanahitaji uongozi bora na siyo utawala bora! Wanahitaji maendeleo ya kweli ya mtu na vitu, na siyo ya vitu pekee.

Watanzania hawahitaji bla bla na mapambio kwa mtu mmoja anayetekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba.
 
Mahudhurio ya Mkutano UN yalishatoa majibu, Africa bado sana, tuendelee kusifiana ujinga tu.
 
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
Mzee Kikwete anazungumzia unyenyekevu utadhani watu wamemsahau Dr Ulimboka.

Anadhani watu wamesahau mazabe ya bandarini.

Mwalimu Nyerere hakuwa mfuasi wa siasa za makundi na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom