Rais Magufuli ana bahati au ngekewa nzuri tu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
19,769
Points
2,000

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
19,769 2,000
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
 
Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,755
Points
2,000

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,755 2,000
Elewa watu walisali sana, watu walimuomba sana Mungu aikomboe hii nchi toka mikononi mwa matapeli na wezi. Mungu akasikia maombi, na kila anayeinuka kupinga kile ambacho Mungu karuhusu kifanyike wanapigwa mapigo matakatifu na nguvu ya Mungu. Hakuna aliyetarajia wale vigogo wote ma injinia wasingekuwepo leo hii, huwezi amini mzee Lowasa angerudi kundini na Mzee Kingunge (R.I.P) angatubu kabla ya umauti. Kwa ujumla kila anayempinga Dkt Magufuli anashindana na nguvu kubwa sana na mwisho ni aibu!
 
Itoye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2017
Messages
364
Points
1,000

Itoye

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2017
364 1,000
Nadhani timing imekuwa nzuri kwa Magufuli, hao wazungu wenyewe hawaelewani kwenye baadhi ya mambo, kwa mfano issue ya stigler wanapiga piga makelele kuwa ni uharibifu wa mazingira, wakati huko kwao Boss Kubwa Trump kajitoa kwenye mkataba wa kutunza mazingira na haamini ktk kitu kinachoitwa global warming na hata UN linapokuja suala lolote kuhusu mazingira Marekani anatoka, katika hali hiyo, sisi huku tunateleza kiulaini.

Lakini jingine kwa sasa Urusi na China wameleta balance of power kwa kiasi kikubwa so hata wazungu naona wako very calculated ktk issue zao ili mwisho wa siku wasije wakafanya jambo wakaonekana kama mambwa koko, mfano kitu walichomfanya Gadafi lkn leo wameshindwa kukifanya kwa Assad.
 
May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
1,743
Points
2,000

May Day

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
1,743 2,000
Sidhani kama ni sawa pale tunapowaweka hao 'Muzungu' wooote kwenye kapu moja, nadhani kuna makundi tofauti yenye maslahi tofauti.

Tunakosea sana kila pale tunapokwazwa na 'Wazungu' fulani basi tunawahukumu Wazungu wote ili hali kuna mema mengi tu tunayoyapata kutoka miongoni mwa hao hao.

Ni Wazungu wengi tu wanachangishwa kwa ushawishi wa Waswahili wenzenu wakiwaaminisha kwamba wanakuja kuwasaidia wenzao Masikini, na wengi wao wanajitoa kwa hali na mali kupitia hizo tunazoziita NGO. Sasa cha ajabu kesho ukimsikia Mzungu mwingine pale Stanford Bridge akimtusi Lukaku unawahukumu Wazungu wote wa dunia hii.

Kuna mengine ni ushauri tu, kutekeleza au kupuuzia ni uwezo wa akili zetu wenyewe, unaposhauriwa usifanye jambo kwa faida ya mazingira ukakataa ulitaka huyo Mshauri afanyeje? alete majeshi na vifaru awazuie?

Mfano mzuri angalia pale Congo, wafanyakazi wa WHO wanaofanya kazi ya kudhibiti Ebola wanashambuliwa na Wenyeji wakidai Ebola si ugonjwa halisi...sasa kwa maoni yako wewe ungewashauri WHO wafanye nini? waondoke kweli kwa kuheshimu mawazo ya "Wanasayansi" hao wa Congo...alafu siku ya pili mjipige kifua kwamba 'Muzungu' kasanda?
 
Ebola is money, WHO hawezi ondoka Kongo hata kwa greda, Muzungu atatuma hata bomber kuondoa Utawala utakaotishia kumuondoa WHO Kongo.
Hakuna Muzungu ana interest na Afrika usidanganyike, NGO is money making machine, Bill & Belinda Gates foundation imeanzishwa ili kukwepa kulipa kodi huko kwao, ukiona neno foundation ujue ni wizi!
 
May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
1,743
Points
2,000

May Day

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
1,743 2,000
Ebola is money, WHO hawezi ondoka Kongo hata kwa greda, Muzungu atatuma hata bomber kuondoa Utawala utakaotishia kumuondoa WHO Kongo.
Hakuna Muzungu ana interest na Afrika usidanganyike, NGO is money making machine, Bill & Belinda Gates foundation imeanzishwa ili kukwepa kulipa kodi huko kwao, ukiona neno foundation ujue ni wizi!
Hayo ni mawazo yako.

Ila ujue nawe yapo unayofanya kwa nia nzuri na wenzako hudhani kuna jambo nyuma yake.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
2,197
Points
2,000

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
2,197 2,000
Watanzania wanahitaji maisha bora na siyo bora maisha! Wanahitaji siasa safi! wanahitaji uongozi bora na siyo utawala bora! Wanahitaji maendeleo ya kweli ya mtu na vitu, na siyo ya vitu pekee.

Watanzania hawahitaji bla bla na mapambio kwa mtu mmoja anayetekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba.
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
10,841
Points
2,000

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
10,841 2,000
Rais Magufuli ni kama anafanya anachotaka bila ya bugudha yoyote ktk kwa Muzungu, kama kuna kitu ambacho sikutegemea Rais Magufuli kukifanya ni ujenzi wa Bwawa la Stiegler, hili nilijua shinikizo ktk kwa Muzungu lingekuwa kubwa kiasi kwamba isingewezekana, lkn Muzungu kimya nakumbuka Raisi wetu Kikwete alipojaribu kutaka barabara kukatiza Serengeti Muzungu alipiga kelele mpaka tuliahirisha.

Ukija kwenye Dhahabu tumempelekesha Muzungu mpaka Acacia kaachia, tulishika Makanikia bandarini mali ya Muzungu, lkn Muzungu kaufyata mpaka kaja mezani tukaongea, hili mwanzoni kuna watu waliogopa mpaka wengine wakaanza kusema sijui board members wa Barrick ni Dick Cheney na big names in US. Government hivyo tungefanyiziwa, wapi Muzungu kasarenda.

Upinzani na Tundu Lissu wanashinda kwa Muzungu kuchongea tuadhibiwe, mara vinachapishwa vibarua tunaletewa ktk Balozi za US, EU lkn vyote vinaishia kimyaa, na Rais Magufuli bado anapiga kazi hakuna kilichobadilika, uhusiano na International community siajabu haujawahi kuwa mzuri hivi pamoja na kutokijipendekeza.

Sasa ni kwa nini? Je, in bahati au Muzungu ana respect power labda, power respect power, who knows?
Mzee Kikwete anazungumzia unyenyekevu utadhani watu wamemsahau Dr Ulimboka.

Anadhani watu wamesahau mazabe ya bandarini.

Mwalimu Nyerere hakuwa mfuasi wa siasa za makundi na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
1,621
Points
2,000

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
1,621 2,000
Naunga mkono hoja, huyu ni nabii wa Mungu aliyetumwa kuikomboa kiuchumi nchi ya Tanzania, kutoka Tanzania masikini wa kutupwa hadi Tanzania donor country , nchi ya uchumi wa kati, Tanzania ya viwanda.
P
juzi tu umelalamika kakampuni kako kupumulia mashine, huo uchumi wa kati utafikaje au serikali ndo inafika kwa niaba yako
 
Forum statistics

Threads 1,343,323
Members 515,007
Posts 32,780,612
Top