Rais Magufuli amteua Mhe. Jaji Barke Mbaraka Aboud Sehel kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushindani

Rais anateua Mwenyekiti ili kukamilisha column waziri mwenye dhamana anateua wajumbe wa baraza. Kwa hiyo aliyeteuliwa na Rais ni mwenyekiti wa baraza la ushindani lakini wajumbe wa baraza hilo wameteuliwa na waziri. Sidhani kama kateukiwa na raisi na hata kama angeteuliwa na raisi sioni tatizo kwa sababu nae ni mtanzania kama mimi. Kinachoangaliwa ni sifa na sio vingnevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili chache mnyama pori
 
Yose Mlyambina ni Mkwe wa Rais Magufuli kwa maana ya kuwa kamuoa binti yake,wiki hii Mkwe kapata uteuzi

Sisi wanyonge tutapenyea wapi? Hakuna namna ya kuwasaidia hawa watu wa karibu zaidi ya uteuzi?

Hii inatokea wakati VIJANA wengine wanaambiwa SERIKALI HAINA NAFASI ZA AJIRA

Miezi kadhaa iliyopita bwana mlyambina alifiwa na mtoto na msiba wake ulihudhuriwa na viongozi wa ngazi ya kitaifa,

Pia inadaiwa hivi karibuni alitunga kitabu na kuuza nakala mamia kwa TRA kwa bei ya Tsh 100,000,hatujui kama taratibu zilifatwa au laaView attachment 570058 View attachment 570059
Cc: wakudadavua, mutashoborwa, Lizabon, stroke, cocochanel na wajinga wenzao
 
Anyamaze sasa asijidai kuwatia ndani akina Lissu wakimuambia ni mkabila mkanda na mpendelea familia yake mnafiki mkubwa anajifanya safi kumbe sawa na wengine waliomtangulia hana jipya mfirisi wa mali za umma
Akili zilezile za kichawi. Kwan ukiwa rais hairuhusiwi ndg zako kuajiliwa serikalini?
Mlitaka waajiliwe mama zenu na baba zenu tu?
Mbona mnakuwa na roho za kiuganga Wa kienyeji?
 
Undugunaition Tanzania umerejea kwa kadi ta ajabu.Na Mimi kwenye kakampuni kangu naajiri wachaga tu kabila nyingine mpambane na hali zenu.Does this sound good?It's doesn't.
 
Naamini kule ,msewe wameshahama sasa.....lazima awajenge na , shavu ndio awamu ya ukabila
 
Wale hawalipwi, hapa ingekua ni mtu mwingine kamchagua ndugu yake mngeanza kulia na kusema wanapendeleana.
Kwavile awamu hii mmefungwa akili sishangai mkishabikia.
Mm nisingelalamikia kwasababu sina sifa ya kuwa kwenye hyo nafasi ndio maana hata chadema Mtei, Bob makani na mbowe uliza hao watu watatu wakoje kiuhusiano
 
Tuache wivu wa kijinga kwenye mambo ya msingi.

Yose Mlyambina hajateuliwa n.a. rais bali waziri wa wizara husika.
N.a. hata kama angeteuliwa n.a. rais,Mlyambina ni mtu too exceptional. Ni mpiganaji n.a. mwenye nidhamu ya kazi.Ni siku za hivi karibuni ameandika kitabu kuhusu kodi kwenye makampuni ya simu.Pia ameandika makala nyingi sana kwenye international journals akishauri mambo mbali mbali ya kitaalamu.
Mlyambina ni mtu anayejituma ambaye hata Mara moja hakuwahi kutegemea kubebwa.
Tusiwe n.a. makengeza kwenye akili zetu.
Mkuu hata ueleze vipi nyumbu hawawezi kuelewa ...
 
Kinachotufanya tusipige hatua Tanzania ni uchoyo,wivu na unafiki.
Mtu anafikia kulalamikia watu waliohudhuria msibani kweli?
Mtu analalamikia jitahada ya mwenzake katunga kitabu kauza nakala 100000 mtu inamuuma,

Kama anasifa kwann asimteue?
Marekan mnaowasifia kila siku kwamba ndio wenye demcrasia trumb ikulu kajaza familia yake mpaka wakwe zake lakn wala haina shida.

Umaskini mbaya sana. Mtoa maada utaishia kwa waganga kupiga ramli kila siku. Badlika mkuu Fanya jitihada zako binafsi soma na ww uwe na sifa utafanikiwa tu. Acha roho mbaya ya kichoyo na wivu haitakusaidia utashia kwa sangoma mkuu
Una ndugu sangoma mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
69156a9b734dd0cd04cfac6a35bc3622.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo hawaoni.. Yaan hawa watu mapunguani kweli
 
Kwa Upopoma / Upumbavu huu ndiyo Watanzania / Waafrika tunataka tushindane na Wamarekani, Waingereza, Wachina, Wajapan, Waisraeli, Waindia, Warusi, Wamalaysia na Waarabu? Unaacha kuja na ' Hoja ' itakayotutoa hapa tulipo unakuja na a very ' blanketed ' argument halafu unadhani itakusaidia kukuza / kuimarisha Uchumi wako.

Sijui kwanini Mungu aliniumba Mwafrika kwani ni bara lililo na bahati mbaya sana kuwa na Wakazi wenye ' Fikra ' za hovyo hovyo. Ngoja tu niishie hapa kwani najijua mwenyewe ' damu ' yangu ikichemka baada ya kuona ' Upuuzi ' fulani kutoka kwa ' Mpuuzi ' mmoja.
We kajamaa utakuwa kahutu sio bure. Maana umekaa kishari shari kama....
 
Kile ni Chama na sio serikali, mambo ya chama ni chama na mambo ya serikali ni ya kitaifa. Tafuta hoja zenye msingi na sio kupoteza mda hapa.
Chama si ndio hicho kinaunda serikali? Kwahyo ww unafikir CDM ikichukua nchi watateua wanachama toka ndani ya ccm?
Ukilaza huu sijui utawaisha lini
 
Back
Top Bottom