JoJiPoJi JF-Expert Member Aug 8, 2009 2,920 3,309 May 28, 2017 #1 Rais Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu atapangiwa kazi nyingine.
Rais Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu atapangiwa kazi nyingine.
mdesi JF-Expert Member Jul 18, 2013 1,366 2,202 May 28, 2017 #6 Tushachoka na hizi habari za tengua teua, bashite anaeffect sana nchi hii. Ukiungana naye tu basi mavyeo utayachezea hadi uchoke
Tushachoka na hizi habari za tengua teua, bashite anaeffect sana nchi hii. Ukiungana naye tu basi mavyeo utayachezea hadi uchoke
Babu Kijiwe JF-Expert Member Mar 31, 2010 4,830 4,727 May 28, 2017 #9 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtumbua Ernest Mangu na nafasi yake itachukuliwa na kamanda Simon Siro Source: Habari Mpasuko TBC1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtumbua Ernest Mangu na nafasi yake itachukuliwa na kamanda Simon Siro Source: Habari Mpasuko TBC1
M Msungu inv JF-Expert Member Mar 4, 2017 260 188 May 28, 2017 #10 Ni mzuri sana katika kutoa taarifa.pia ni mvumilivu na mstahimilivu
Tony antony JF-Expert Member Nov 17, 2013 4,988 3,268 May 28, 2017 #11 KIBITI EFFECT it was expected.....
D Dundo_Boy JF-Expert Member Dec 29, 2015 2,458 2,465 May 28, 2017 #12 Safi sana....namkubali sana anavyojitahidi kupambana na matukio na kuleta mrejesho....aisee Mungu amsaidie sana atende haki kila atakalolifanya
Safi sana....namkubali sana anavyojitahidi kupambana na matukio na kuleta mrejesho....aisee Mungu amsaidie sana atende haki kila atakalolifanya
Mau Mau JF-Expert Member Dec 30, 2012 689 504 May 28, 2017 #13 Inasemekana ijp Mangu uteuzi wake umetenguliwa na nafasi yake kuteuliwa kamanda wa Dar es salaam kmnd Simon SIRRO
Inasemekana ijp Mangu uteuzi wake umetenguliwa na nafasi yake kuteuliwa kamanda wa Dar es salaam kmnd Simon SIRRO
T The Evil Genius JF-Expert Member Mar 21, 2014 5,897 19,080 May 28, 2017 #14 Magu anapenda watu wanaotii maagizo yake.
amygdala JF-Expert Member Jul 11, 2016 1,082 997 May 28, 2017 #16 hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! nataka nione mwsho wa hii series
The Wolf JF-Expert Member Sep 10, 2013 9,396 20,631 May 28, 2017 #17 Isije kuwa sababu ya kuomba radhi waandishi
Decree Holder JF-Expert Member Jul 19, 2015 2,556 3,741 May 28, 2017 #18 Naona wa kanda ya ziwa wanazidi kuula. Hongera sana ndugu zetu ni zamu yenu mwaka huu
wooden flag JF-Expert Member Oct 12, 2014 969 1,948 May 28, 2017 #20 Nilijua tu, baada ya kutomkamata na kumkingia kifua bashite, hayo ndio malipo yake