Ni hatua nzuri lakini haitoshi; hatua zaidi zichukuliwe ili wastaafu wote wapate haki zao haraka wanapostaafu.
suala hili lisiishie hapo, ni vizuri hao waliombabaisha wamechukuliwa hatua gani? je raia wengine wenye matatizo yanayofanana nao wamesaidiwaje? ingefaa kurekebisha mapungufu katika mfumo wa hifadhi za jamii kwa ujumla badala ya kusaidia mtu mmoja mmoja.
wanavipongeza vyombo vya habari ambavyo wanaviziiba mdomoHuyo mzee ni wa Chato kwani
Nadhani kilichofanyika ni jambo jema na tukio hili la bwana Uledi litawapa mwanga na wengine wenye tatizo kama lake kujuwa ni wapi waanzie.Serikali ni nani na hao waliokuwa wanamdhulumu ni kina nani? Ni wangapi kama Bwana Uledi ambao malamamiko yao hayajapata nafasi ya kusambaa kwenye mitandao ya kijamii? Tuanzie hapo
Wale wastaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemalizana vipi?Kutafuta kiki tu,hivi kuna wazee wangapi wanohangaikia staki zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii,,wamasaidiwa vipi
Wewe umeajiriwa na Mbowe mwambie akupe increment buawana! Nyegela waitu!Raisi wa masikini ndo kafuta waajiriwa halali na kutunyima increment mwaka mzima now
Una maana nao mpaka waandike magazetini?kwann usipatikane ufumbuzi kwa wote?Nadhani kilichofanyika ni jambo jema na tukio hili la bwana Uledi litawapa mwanga na wengine wenye tatizo kama lake kujuwa ni wapi waanzie.
Pili, hili linakuwa fundisho kwa watumishi wanaosumbua wastaafu, kwani itakuwa ajabu huko mbeleni wakajitokeza watu kama Uledi wakiendelea kuzungushwa na stahiki zao.
ukisikia unafiki ndo huu.
Unafiki wa Kiwango cha hali juu.........au kwa vile huyo Mzee anatokea makao makuu ya Chama..!??