Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
*JPM AMFAGILIA NAPE AKIWA ZIARANI LINDI*
Akiwa eneo la Nangurukuru mkoani Lindia mwanzoni tu mwa ziara yake ya siku 4 katika mikoa ya Lindi na Mtwara, Rais Magufuli hakusita kuonesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye.
Magufuli: Tunataka wabunge hasa wanaCCM safi na wenye kujituma kuwaletea watu wao maendeleo;
Nawaona wabunge wenu pale yupo kijana safi na mchapakazi Mhe Nape. Mheshimiwa Nape hebu sogea hapa karibu uwasalimia wananchi kidogo;
Nape: Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana sisi huku Kusini tuko safi.
Nape: Mheshimiwa Rais tumeuza korosho na maisha yetu yako safi, yale maneno ya kunywesha bia mbuzi ni ya huko mjini, sisi huku watu wamenunua pikipiki na vitu vingine;
Napep: Mhe Rais tunaishukuru Serikali imetusaidia sana kuhusu bei ya korosho, tunaomba uendelee kuwabana kidogo mambo yatakuwa mazuri zaidi.