Rais Magufuli amgusa mchezaji wa kimataifa wa Simba FC

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Mchezaji wa kimataifa kutoka anayechezea Simba FC anayejulikana kwa jina la Cleofas Chama amefunguka ya moyoni kuhusu Rais Magufuli

Namnkuu "Tanzania inabahati inabahati kubwa kupata Rais aina ya Magufuli nafikiri kila Nchi ya Africa ingetamani kuwa na Rais kama Magufuli " anaendelea

"nyumbani kwetu kila mtu huniulizia habari za Rais Magufuli ninapikuwa likizo kwa ufupi Rais Magufuli anapendwa sana kwetu" mwisho wa kunukuu

Ikumbukwe huyu mchezaji anamwaka mmoja tu Tanzania ila tayari ameweza kutambua uzalendo wa Rais Magufuli

Watanzania tunakitu cha kujifunza hapa

Hongera Rais Magufuli uchapakazi wako umevuka mipaka sisi Watanzania tunazidi kukuombea ulete maendeleo Tanzania

Credit: East Africa radio
 
Kwa misifa hiyo tutegemee Mwakyembe kutumbuliwa, na nafasi yake kuchuliwa na mchezaji huyo maana Limbwata la JPM ni kusifiwa au kumtukana Mbowe.
 
Mchezaji wa kimataifa kutoka anayechezea Simba FC anayejulikana kwa jina la Cleofas Chama amefunguka ya moyoni kuhusu Rais Magufuli

Namnkuu "Tanzania inabahati inabahati kubwa kupata Rais aina ya Magufuli nafikiri kila Nchi ya Africa ingetamani kuwa na Rais kama Magufuli " anaendelea

"nyumbani kwetu kila mtu huniulizia habari za Rais Magufuli ninapikuwa likizo kwa ufupi Rais Magufuli anapendwa sana kwetu" mwisho wa kunukuu

Ikumbukwe huyu mchezaji anamwaka mmoja tu Tanzania ila tayari ameweza kutambua uzalendo wa Rais Magufuli

Watanzania tunakitu cha kujifunza hapa

Hongera Rais Magufuli uchapakazi wako umevuka mipaka sisi Watanzania tunazidi kukuombea ulete maendeleo Tanzania

Credit: East Africa radio
Nyumbu zitapinga
 
Back
Top Bottom