DOFFA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 425
- 233
Kazi kubwa na kazi ya hatari sana kuthibiti watu na mtandao waouweka ili kufaidi rasilimali za nchi yetu na wengi wa watu hao unawajua?
Baadhi yao wamesimamishwa kazi......
Baadhi yao wamefukuzwa kazi ...
Baadhi yao wamestaafishwa kazi..
Baadhi kesi inaendelea...
Baadhi yao watanaswa hivi karibuni..
Watanzania tuungane na rais wetu kukabiliana na nguvu yeyote inayotaka kudhoofisha kasi ya mh.Rais ili asiwafikie baadhi yao watanaswa hivi karibuni. Na wanajua hapo itakuwa mwisho wao wa kifisadi.
Mungu ibariki tanzania,
Mungu mbariki rais wetu,
Mungu wabariki -usalama wetu wa nch.