Kuwaletea?Rais hana muda wa kuwajibu hao The Economist wanaoandika siasa badala ya uchumi.
Magufuli ana kazi moja tu ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Rais amezindua SGR kwao sio habari!
Heijah wengi humu hawajang'amua janja ya Paskali Mayala!Ndugu Paskali, kweli unaamini katukanwa au umewakilisha hoja kinamna tu. Mimi sijaona tusi lolote na mengi kuna ukweli sasa labda tunaona ni matusi sababu yal
Mimi nadhani Paskali na naamini ni kama anasema huu ndio ukweli lakini kataka kufikisha kwa namna kama sitaki lakini nataka. Tumekuelewa mzee
HATA YEYE MAYALA ANATAKA TUMWITAJE?KIONGOZ WA MALAIKA NADHANI SAWA MWENYEWE KASEMA !NYIE SOMEN NAMBAUlitaka wamuiteje?
Ulitaka wamuite kuwa ni Kiongozi mtarajiwa wa Malaika Mbinguni?
Heijah wengi humu hawajang'amua janja ya Paskali Mayala!
Huyu jamaa ni mwerevu mno mi huwa sikosi kuzipitia "fujo"zake anjua kucopy na mazingira hatarishi ya kazi yake!
Mkuu inabidi ututake radhi nikweli watu wengi ni malofa lakini sio wote ni malofa!Mkuu Pascal wanaosoma magazeti ya kiingereza humu JF ni Mimi na wewe tu wengine huwa hasomi
Gazeti Kama The citizen au Guardian tunasoma watu wawili tu nchi nzima usihofu taarifa haitasambaa sana
Mkuu huyu ni Raisi chaguo la MunguHakuna la Uongo hapo kwa mujibu wa upeo wangu wa kufikiri. Labda kwa upeo wako ulipoishia kufikiri Ndio hapo.
Na hilo jarida wamesahau kuongeza huyo ni Raisi wa jamhuri ya watu wa Ccm sio rahisi kwa vyama vingine Tanzania.
Tuandamane 26.04 kupinga huu udhalilishaji wa Raisi wetu.Kweli Mayala, maelezo hayo nimeyaona Jana na mbaya zaidi yakishabikiwa na mtanzania mwenzetu akishiriki kumkashifu raising JPM! Je, tufanye nini kwa hawa wenye jarida hili linalomtukana raisi wetu?
Lakini pia tusipigane risasi,tusiue tusiowapenda au wanaotukosoa!!Pascal Mayalla, nimeisoma makala hiyo sioni sauti ya mgeni hata moja hayo yote ni maneno yetu tunayoyasema siku zote kila mahali na wakati wote.
Si ni watanzania hawa hawa tuliomwita rais wetu dikteta uchwara- Mayala hukusikia?
Si ni sisi hawa hawa tunasema kila siku demokrasia imebanwa na tunapanga na maandamano?
si sisi hawa hawa tunasema vyuma vimebana?
LAKINI
Si ni sisi hawa hawa tulikuwa tumechoka na rais wa makundi tukataka rais asiye na makundi ili tujenge umoja-REJEA KAULI MBIU YA CCM UMOJA NI USHINDI- MKUTANO WA 8 CCM
Si ni sisi tulioomba rais mkali, dikteta na anayechukua hatua haraka na MUNGU AKATUSIKIA
SASA TUMEKENFEUKA TUNATAKA KUFA NA ECONOMIST-TUTALAANIWA
KWANGU TANZANIA HAIJAWAHI KUKOSEA KUMCHAGUA RAIS- MUNGU BADO ANATUPENDA TULEKEBISHANE TU KWA STAHA TUTAFIKA
Kaambiwa ukweli mtupu, hakuna tusi hata moja hapo!