Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

Ndugu Paskali, kweli unaamini katukanwa au umewakilisha hoja kinamna tu. Mimi sijaona tusi lolote na mengi kuna ukweli sasa labda tunaona ni matusi sababu yal

Mimi nadhani Paskali na naamini ni kama anasema huu ndio ukweli lakini kataka kufikisha kwa namna kama sitaki lakini nataka. Tumekuelewa mzee
Heijah wengi humu hawajang'amua janja ya Paskali Mayala!
Huyu jamaa ni mwerevu mno mi huwa sikosi kuzipitia "fujo"zake anjua kucopy na mazingira hatarishi ya kazi yake!
 
Mkuu Pascal wanaosoma magazeti ya kiingereza humu JF ni Mimi na wewe tu wengine huwa hasomi

Gazeti Kama The citizen au Guardian tunasoma watu wawili tu nchi nzima usihofu taarifa haitasambaa sana
Mkuu inabidi ututake radhi nikweli watu wengi ni malofa lakini sio wote ni malofa!
 
Hakuna la Uongo hapo kwa mujibu wa upeo wangu wa kufikiri. Labda kwa upeo wako ulipoishia kufikiri Ndio hapo.

Na hilo jarida wamesahau kuongeza huyo ni Raisi wa jamhuri ya watu wa Ccm sio rahisi kwa vyama vingine Tanzania.
Mkuu huyu ni Raisi chaguo la Mungu
Na anasubiriwa mbinguni kupewa cheo cha kuongoza maika uchumi umepanda kila Mwanaichi wa tz ana uhakika wa kula milo hata 10 kwa siku
 
Pascal bhuana !! Sasa hicho kijarida kimedanganya wapi?! Mbona kuna maeneo umeadmit ni kweli ni kweli . please Pascal mshaurini Tz ni taifa la ki democracy
 
Pascal Mayalla, nimeisoma makala hiyo sioni sauti ya mgeni hata moja hayo yote ni maneno yetu tunayoyasema siku zote kila mahali na wakati wote.
Si ni watanzania hawa hawa tuliomwita rais wetu dikteta uchwara- Mayala hukusikia?
Si ni sisi hawa hawa tunasema kila siku demokrasia imebanwa na tunapanga na maandamano?
si sisi hawa hawa tunasema vyuma vimebana?
LAKINI
Si ni sisi hawa hawa tulikuwa tumechoka na rais wa makundi tukataka rais asiye na makundi ili tujenge umoja-REJEA KAULI MBIU YA CCM UMOJA NI USHINDI- MKUTANO WA 8 CCM
Si ni sisi tulioomba rais mkali, dikteta na anayechukua hatua haraka na MUNGU AKATUSIKIA
SASA TUMEKENFEUKA TUNATAKA KUFA NA ECONOMIST-TUTALAANIWA
KWANGU TANZANIA HAIJAWAHI KUKOSEA KUMCHAGUA RAIS- MUNGU BADO ANATUPENDA TULEKEBISHANE TU KWA STAHA TUTAFIKA
Lakini pia tusipigane risasi,tusiue tusiowapenda au wanaotukosoa!!
Tusiwanyanyase wale ambao hawakuchagua chama chetu kwa kuwavunjia nyumba zao,halafu wale ambao walituchagua tukawaambia wazi wazi kwamba hatutawavunjia kwa sababu mlinipigia kura!!!
Hivi tuliomba rais wa namna hii kweliiiiiiii??????
 
1. Poor analysis from you Pascal Mayalla . Since when is calling someone 'rogue' an insult? Rogue = unprincipled.

2. Unlikely candidate haimaanishi Magufuli hana uwezo. It just means watu wengi hawakutegemea yeye ndiye atakayeshinda nominations za CCM kugombea. Which is again very true!

And many more mistakes in your analysis siwezi kuyachambua yote.
 
waache waandike- ila most important ni rais kuprove them wrong!! maana sio kila linaloandikwa ni kweli, wengine huandika ili kuprovok!! Rais asimamie sheria, aitunze katiba basi!! na kila mtanzania aone kuwa raisi anaisimamia sheria na kuilinda na kutunza maadili ya katiba sisi ndio mashahidi. tutakachosema ndio ,itakuwa kweli. sio hao wazungu inawezekana wanapelekwa. SWALI JE SISI TUNASEMAJE? KUHUSU HILO?
 
Kaambiwa ukweli mtupu, hakuna tusi hata moja hapo!
IMG-20180315-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom