Rais Magufuli ametudhalilisha Sana Watanzania

Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?
Rais ni binadamu Kama binadamu wengine wote ,huwa anakosea pia.
Akikosea ni lazima tumwambie kuwa amekosea, hatuwezi kumnyamazia hata kidogo.
Kitendo cha Rais wetu kutamka hadharani kuwa watanzania waliopo Nje ya nchi wakituhumiwa Kwa biashara ya madawa ya kulevya wanyongwe tena Haraka Sana.
Inafahamika wazi kwamba siyo kila anayetuhumiwa na Dawa za kulevya au makosa mengine ni lazima awe ametenda kweli.
Kuna watu wengi hukumatwa Kwa makosa yasiyo yao.
Mwaka 2004 ktk Jimbo la Texas marekani, kuna kijani alinyongwa Kwa bahati mbaya, Cameron Todd alinyongwa akituhumiwa kuua watoto wake Kwa moto.
Mwaka 2009 ikabainika kuwa Todd hakuua na chanzo cha vifo vya watoto wake vikabainika kuwa ni nyumba kushika moto baada ya hitilafu ya umeme.
Leo hii Todd hayupo tena duniani Kwa kosa ambalo hakulifanya.

Rais anasema, wanyongwe haraka sana, anasahau kuwa kidiplomasia raia wa nchi kuuawa nje ya taifa lake ni aibu na fedheha kubwa sana.
Rais anayesema tumwombee Kwa Mungu Leo hii huyu huyu anataka mauaji ya watu wake yafanyike nje ya nchi yake.
Anasahau kuwa wakati wa kampeni alisema hautatuangusha leo tena anataka tuuawe.

Kuna watu wanabebeshwa mizigo ya madawa bila kujua, si wote ni wauzaji wa kudhamiria.

Mwaka juzi wakati wale Wa Australia wakinyongwa Indonesia, rais wa kipindi Wa Philippines alimwombea asemehe raia wake aliyekuwa kabebeshwa mzigo wa madawa bila kujua.

Hii ni aibu Sana Kwa rais kupania mauaji ya watu wake.
Sawa tuendelee kumwombea.
SO UNATAKA WAACHIWE AU SIYO
 
Kuna dada aliwahi pewa kibegi amshikie jamaa alikuwa na mizigo mingi wakati wamefika china na wanashuka kwenye ndege.... yule dada kakubali ... baada ya muda jamaa kapotea kwa kupitia kwenye lane nyingine na kutoka nje ya airport sbb ni mzoefu..... yule dada akamtafuta mwenye mzigo hamuoni... akamfuata air hostes na kumwambia kuna mtu kanipa huu mzingo
ila simuoni.... air hostes akamwambia usitoke nao, akaita watu wa usalama na kufungua ule
mzigo wakakuta madawa.... wakafanya mtego na kwenda mkamatia jamaa nje alipo mfuata yuke dada kuulizia kibegi chake.... just imagine dada yule angekuwa mshamba mshamba na
kukamatwa na kidhibiti kama kile..... je
akihukumiwa kunyongwa ni sawa kweli? Kama Todd alinyongwa kimakosa na hakimu akaacha mwamini yule dada , then akahukumiwa kunyongwa, je ni haki afanyiwe hv? Je sio jukumu la nchi kumtetea? Lets be serious kwenye maisha ya watz.....
We nae, usawa huu upo nje ya nchi, hunifahamu sikufahamu, unakubali vipi kubeba parcel ya mtu?
 
Nadhani mtoa mada anamaanisha mtuhumiwa na siyo yule ambaye tayari amehukumiwa. Pia siyo wote walaotuhumiwa na kushtakiwa ni wahalifu kweli. Mfano kuna hii mambo ya mtu anakuomba umsaidie kusafirisha parcel wewe pasipokujua nini kilichoko ndani unapeleka. Au wakati unashuka airport pakawa na mabegi yanayofanana ile unakagua ukaambiwa ni lako. Ila kwa yule ambaye amekamatwa amemeza au tayari amebeba begi ndiyo anatoka ni halali yake kupigwa kitanzi
 
Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?
Rais ni binadamu Kama binadamu wengine wote ,huwa anakosea pia.
Akikosea ni lazima tumwambie kuwa amekosea, hatuwezi kumnyamazia hata kidogo.
Kitendo cha Rais wetu kutamka hadharani kuwa watanzania waliopo Nje ya nchi wakituhumiwa Kwa biashara ya madawa ya kulevya wanyongwe tena Haraka Sana.
Inafahamika wazi kwamba siyo kila anayetuhumiwa na Dawa za kulevya au makosa mengine ni lazima awe ametenda kweli.
Kuna watu wengi hukumatwa Kwa makosa yasiyo yao.
Mwaka 2004 ktk Jimbo la Texas marekani, kuna kijani alinyongwa Kwa bahati mbaya, Cameron Todd alinyongwa akituhumiwa kuua watoto wake Kwa moto.
Mwaka 2009 ikabainika kuwa Todd hakuua na chanzo cha vifo vya watoto wake vikabainika kuwa ni nyumba kushika moto baada ya hitilafu ya umeme.
Leo hii Todd hayupo tena duniani Kwa kosa ambalo hakulifanya.

Rais anasema, wanyongwe haraka sana, anasahau kuwa kidiplomasia raia wa nchi kuuawa nje ya taifa lake ni aibu na fedheha kubwa sana.
Rais anayesema tumwombee Kwa Mungu Leo hii huyu huyu anataka mauaji ya watu wake yafanyike nje ya nchi yake.
Anasahau kuwa wakati wa kampeni alisema hautatuangusha leo tena anataka tuuawe.

Kuna watu wanabebeshwa mizigo ya madawa bila kujua, si wote ni wauzaji wa kudhamiria.

Mwaka juzi wakati wale Wa Australia wakinyongwa Indonesia, rais wa kipindi Wa Philippines alimwombea asemehe raia wake aliyekuwa kabebeshwa mzigo wa madawa bila kujua.

Hii ni aibu Sana Kwa rais kupania mauaji ya watu wake.
Sawa tuendelee kumwombea.
Namuunga mkono kwa asilimia mia Rais Magufuli!
 
Wauza poda utawajua tu, mimi nakushauri acha mara moja na ujisalimishe mwenyewe kwa kamanda Sirro.
 
sheria na adhabu za Tz kuhusiana na madawa ya kulevya ni nyepesi sana ndiyo maana watu hawaogopi kuwa punda....tumechelewa sana tumeharibu jina la Tz....jaribu kwenda far East uone actions zao kama ufilipino wakikuhisi tu au ukitajwa wao hawana cha kukupeleka mahakamani wanakumaliza kimya kimya
Sio jambo la maana kumnyonga mtu.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Hivi ni kosa la jinai kumkosoa Rais anapokuwa amekosea?
Rais ni binadamu Kama binadamu wengine wote ,huwa anakosea pia.
Akikosea ni lazima tumwambie kuwa amekosea, hatuwezi kumnyamazia hata kidogo.
Kitendo cha Rais wetu kutamka hadharani kuwa watanzania waliopo Nje ya nchi wakituhumiwa Kwa biashara ya madawa ya kulevya wanyongwe tena Haraka Sana.
Inafahamika wazi kwamba siyo kila anayetuhumiwa na Dawa za kulevya au makosa mengine ni lazima awe ametenda kweli.
Kuna watu wengi hukumatwa Kwa makosa yasiyo yao.
Mwaka 2004 ktk Jimbo la Texas marekani, kuna kijani alinyongwa Kwa bahati mbaya, Cameron Todd alinyongwa akituhumiwa kuua watoto wake Kwa moto.
Mwaka 2009 ikabainika kuwa Todd hakuua na chanzo cha vifo vya watoto wake vikabainika kuwa ni nyumba kushika moto baada ya hitilafu ya umeme.
Leo hii Todd hayupo tena duniani Kwa kosa ambalo hakulifanya.

Rais anasema, wanyongwe haraka sana, anasahau kuwa kidiplomasia raia wa nchi kuuawa nje ya taifa lake ni aibu na fedheha kubwa sana.
Rais anayesema tumwombee Kwa Mungu Leo hii huyu huyu anataka mauaji ya watu wake yafanyike nje ya nchi yake.
Anasahau kuwa wakati wa kampeni alisema hautatuangusha leo tena anataka tuuawe.

Kuna watu wanabebeshwa mizigo ya madawa bila kujua, si wote ni wauzaji wa kudhamiria.

Mwaka juzi wakati wale Wa Australia wakinyongwa Indonesia, rais wa kipindi Wa Philippines alimwombea asemehe raia wake aliyekuwa kabebeshwa mzigo wa madawa bila kujua.

Hii ni aibu Sana Kwa rais kupania mauaji ya watu wake.
Sawa tuendelee kumwombea.
Hiyo ni kulewa madaraka. Sababu hakuna dini inayofundisha jicho kwa jicho. Huyu amemkosea binadamu mwenzake adabu na yeye akiwa mkuu wa nchi . Naimani aliropoka. Nilikua namuomba asiwe anaropoka ropoka baadhi ya maneno. Ebu fikiria aluvyosema hivyo na labda serikali za huko zikayapata na zikanyonga kweli itakuwa nayeye amehusika kwa maana ya kunyonga kwa maneno. Rais nakuomba sanasana usiropoke mambo. Usifuate Makonda atakupoteza njia. Kwa wiki hizi mbili Makonda amekuchafulia hewa. Unanuka vichwani mwa watu. Usijione uko hapo juu ukaondoa natural law ya binadamu consequences inakuwa wewe ni lofa tu haijalishi ni mkuu wa nchi au nini. Sababu umeacha natural law (sheria asilia ) ya kuheshimu binadamu. Huwezi ukaropoka watu wanyongwe sababu wao ni wadhambi. Wewe Mwenyezi amekusamehe mangapi. Hapo umekosa na umeshindwa kuulinda utanzania kama utanzania. Marekani raia wake hata akiwa wapi na amekosa nini wanalindana. Wewe unakabidhiwa nchi wanyongwe du. Pole.
 
Namuunga mkono mh rais kwa asilimia mia hakuna kumuonea huruma mtanzania yeyote anayejihusisha na biashara ya madawa ya kulevya apewe malipo yake huko huko alipo kwa mujibu wa sheria za nchi husika hata kama ni adhabu ya kifo, huwezi kumuonea huruma mtu anaesababisha madhara makubwa kwa jamii ili kesho tukose nguvu kazi
 
Niliumia mno hii kauli. Raisi kakataa kutetea watanzania wenzetu. sijui anauhakika gani watuhumiwa huko ni kweli wamehusika?. make filigisifiligisu ktk vita hivi vilivyopo nchini hata nchi nyingine wanazo pia. Tz tunasikia tuhuma nyingi ka kubambikwa kesi tena na vyombo vya dola, kwnn nchi za wenzetu tusiamini hayo yapo?. Wewe ni baba umekosea kutotetea wanao hasa wanaoonewa huko nje. Mtoto akijinyea mkono haukatwi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom