Rais Magufuli amethibitisha tena kuwa mhimili wake ndiyo uliojichimbia zaidi chini hapa nchini

Watanzania tutashutuka baada ya mambo kuharibika hata hitila alikuwa na wafuasi wengi mabutu seseko alikuwa na wafuasi kibao hata muhasi Jonas savimbi naye alikuwa na wafuasi lakini wazawa walishituka baadaye
mkuu tafuta kitabu kinachoitwa Jonas Savimbi,A KEY TO AFRICA,by Fred Brigland,kisome hicho kitabu na soma vile vile kuhusu upande wa MPLA na viongozi wake,then utakuwa in a position ya kuamua kama Savimbi alikuwa mwasi au la;ukweli kuhusu hii so called liberations parties hasa huku kusini mwa Africa unaanza kujitokeza kwa hiyo usiwe mvivu wa kujisomea ili upate upande wa pili wa story.
 
Jonas Savimbi umemuingizaje hapa?
Watanzania tutashutuka baada ya mambo kuharibika hata hitila alikuwa na wafuasi wengi mabutu seseko alikuwa na wafuasi kibao hata muhasi Jonas savimbi naye alikuwa na wafuasi lakini wazawa walishituka baadaye
 
Wameharibu hata ubongo wa vijana, wanadai eti mihimili mingine inakwamisha maendeleo tumwache rais afanye kazi!!! Huwa natamani kulia kusikia jinsi baadhi ya watu walivyooza akili kabisa!

Haha hili nilifikiri ni mimi tu. Kuna wakati unasoma kitu huku kinakuharibia siku hadi unaamua kujipa likizo ya JF kwa muda. Twitter ndio kabisa unakuta profile yake mtu kajiweka wazi jina na picha. Unamsoma unasema tunastahili kila tunachopitia
 
Absolutely true

Hivi hao viongozi wastaafu hawazioni "indicators" zote zinazoonyesha kuwa nchi yetu hivi sasa inatawaliwa kidikteta??

Ni kwanini hawajitokezi na kukemea mwenendo huu wa utawala wa serikali ya awamu ya tano??

Wanasubiri kuona damu ikimwagika nchini, ndipo watakapoingilia kati??
waliniweka wao wenyewe kwa malengo mahususi wanayoyafahamu wao wenyewe. Yawezekana wameridhika maana huu ukimya wao una kishindo kizito.
 
Wameharibu hata ubongo wa vijana, wanadai eti mihimili mingine inakwamisha maendeleo tumwache rais afanye kazi!!! Huwa natamani kulia kusikia jinsi baadhi ya watu walivyooza akili kabisa!

Uwezo wa kufikiri wa waTZ unaelekea kuuliwa kabisa!! Tutakuwa taifa la watu wapumbavu kabisa tusioweza kupambanua mambo hata madogo tu!!

Kiongozi huyu hatufai kabisa!! Anaua uwezo wa kufikiri!! Kwa watu wenye akili hata kidogo, huyu hafai kabisa kuendelea na kazi hii ....
Mfano Pascal Mayalla na yule mzee wa kijijini Marekani. Uwezo wao umeporomoka, kisa jiwe.. Du.
 
Kila mtu ana chama chake rohoni. Ukichaguliwa wewe. NI CHADEMA mtupuuuu. Wengine no ACT watupuuu. Na siku hizi wanashiria NI CHADEMA watupuuu. Askari NI CCM watupuuuuuu
 
Una uelewa mbovu kuhusu separation of power. Kutoa mishahara ulinzi na kukusanya kodi ni majukumu waliyopewa na katiba, na wengine walipewa wajukumu mengine. Haimaanishi mhimili mmoja uko juu ya mwingine.
Ulikua hujasikia hbr ya mhimili mmoja kuwa umejichimbia zaidi?
 
Back
Top Bottom