habari wadau.
Magufuli kweli ni jembe maana zamani tulikuwa kila siku tunaandamana.
Mara madaktari wamegoma na kuandamana waongezewe mishahara.
Mara waislaam na wakristo wanaandamana mambo ya imani
Mara walimu wanagoma posho
Mara wanafunzi vyuoni wanagoma boom liongezeke
Mara wenye malori wanagoma wapunguziwe ushuru
Mara wafanyabiashara wanagoma wasitumie efd na kufunga maduka yao...
Hili tatizo la migomo limezitesa sana awamu zilizopita naona jembe magufuli amelifuta pole pole watu siku hizi hakuna mwenye kiburi cha kuandamana wala kugoma hadharani tena.
Kwa hili nimeamini kweli magufuli sio mtu wa mchezo
Kimara nyumba zinavunjwa wananchi kimya wakati awamu iliyopita shida ya maji tu tuliandamana hadi wizara ya maji na ndoo zetu kutokea kimara na Ubungo...