Rais Magufuli amemaliza tatizo la maandaano na migomo ya kijinga jinga Tanzania

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,516
habari wadau.

Magufuli kweli ni jembe maana zamani tulikuwa kila siku tunaandamana.

Mara madaktari wamegoma na kuandamana waongezewe mishahara.

Mara waislaam na wakristo wanaandamana mambo ya imani

Mara walimu wanagoma posho

Mara wanafunzi vyuoni wanagoma boom liongezeke

Mara wenye malori wanagoma wapunguziwe ushuru

Mara wafanyabiashara wanagoma wasitumie efd na kufunga maduka yao...

Hili tatizo la migomo limezitesa sana awamu zilizopita naona jembe magufuli amelifuta pole pole watu siku hizi hakuna mwenye kiburi cha kuandamana wala kugoma hadharani tena.

Kwa hili nimeamini kweli magufuli sio mtu wa mchezo

Kimara nyumba zinavunjwa wananchi kimya wakati awamu iliyopita shida ya maji tu tuliandamana hadi wizara ya maji na ndoo zetu kutokea kimara na Ubungo...
 
Maandamano ni haki ya watu na taasisi kama wanaona haki fulani fulani hazitekelezwi.

Lakini tulifika mahali mpaka mtu anashindwa kuelewa kama shida za taasisi zisingeweza kutatuliwa pasipo umuhimu wa maandamano.

Kingine ambacho kilisababisha maandamano yasiyokwisha ni ile hali ya viongozi kutowajibika na wala kutoonyesha kwamba kutowajibika ni kosa. Matokeo yake rundo la viongozi wasio wabunifu na wasiowajibika, likasababisha rundo la maandamano.

Katika awamu ya tano uongozi wa juu unayo sifa ya kufuatilia majukumu ya kikazi, matokeo yake hata viongozi wa taasisi mbalimbali wanajikuta wakitambua kuwa kupewa cheo kunaambatana na wepesi wa kutatua matatizo.

Kupungua kwa maandamano ni jambo jema sana, kwani kunapunguza pia ile tabia ya uvivu ya kumnyooshea mtu fulani kidole kana kwamba yeye pekee ndio sababu ya matatizo yote yaliyopo.
 
habari wadau.

Magufuli kweli ni jembe maana zamani tulikuwa kila siku tunaandamana.

mara madaktari wamegoma na kuandamana waongezewe mishahara.

mara waislaam na wakristo wanaandamana mambo ya imani

mara walimu wanagoma posho

mara wanafunzi vyuoni wanagoma boom liongezeke

mara wenye malori wanagoma wapunguziwe ushuru

mara wafanyabiashara wanagoma wasitumie efd na kufunga maduka yao...

hili tatizo la migomo limezitesa sana awamu zilizopita... naona jembe magufuli amelifuta pole pole watu siku hizi hakuna mwenye kiburi cha kuandamana wala kugoma hadharani tena.

kwa hili nimeamini kweli magufuli sio mtu wa mchezo

kimara nyumba zinavunjwa wananchi kimya wakati awamu iliyopita shida ya maji tu tuliandamana hadi wizara ya maji na ndoo zetu kutokea kimara na ubungo...
Akili zako ndogo au bado mwanafunzi.
 
habari wadau.

Magufuli kweli ni jembe maana zamani tulikuwa kila siku tunaandamana.

Mara madaktari wamegoma na kuandamana waongezewe mishahara.

Mara waislaam na wakristo wanaandamana mambo ya imani

Mara walimu wanagoma posho

Mara wanafunzi vyuoni wanagoma boom liongezeke

Mara wenye malori wanagoma wapunguziwe ushuru

Mara wafanyabiashara wanagoma wasitumie efd na kufunga maduka yao...

Hili tatizo la migomo limezitesa sana awamu zilizopita naona jembe magufuli amelifuta pole pole watu siku hizi hakuna mwenye kiburi cha kuandamana wala kugoma hadharani tena.

Kwa hili nimeamini kweli magufuli sio mtu wa mchezo

Kimara nyumba zinavunjwa wananchi kimya wakati awamu iliyopita shida ya maji tu tuliandamana hadi wizara ya maji na ndoo zetu kutokea kimara na Ubungo...
Iddy Amin suspended all forms of protest and rule the country with "iron fist"..the out come of that regimen should act as a lesson to anyone who thinks people can be ruled over by force or fear
 
Akili za kuazimwa hizo. Ngoja yakukute ujue utamu wake.
Watu wakiandamana kueleza hisia zao, yeye anakosa kitu gani?
Kwa nini katiba iruhusu lakini yeye awe juu ya katiba.
Kikwete kamaliza muda wake na yupo vizuri tu. Tulimsema na kumpa majina yote lakini mkwere yupo tu. Hao hao leo tunamsifu
 
Maandamano ya kijinga jinga ndio yanayo turudisha nyuma sana Watanzania,
Hasa yale ya Bavichwa
hayana kichwa wala miguu
 
Magu ni kiboko.Na hao wanaolilia nyongeza ya mshahara wameambiwa wakalime la sivyo virungu vitawahusu.
 
Wewe nahisi bado unaishi bado unaishi vyumba wiwili vyakupanga wewe pamoja na wazazi wako. Siku utakapoanza kujitegemea utajua nn chakuandika.
Wewe unajua vilivyopo kwenye vichwa vya Madaktari pamoja na mioyo ya Waalimu?
Wewe subiri maandamano ya wale watakaoandamana kumuunga mkono Bw Yule uje humu kushangilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wadau.

Magufuli kweli ni jembe maana zamani tulikuwa kila siku tunaandamana.

Mara madaktari wamegoma na kuandamana waongezewe mishahara.

Mara waislaam na wakristo wanaandamana mambo ya imani

Mara walimu wanagoma posho

Mara wanafunzi vyuoni wanagoma boom liongezeke

Mara wenye malori wanagoma wapunguziwe ushuru

Mara wafanyabiashara wanagoma wasitumie efd na kufunga maduka yao...

Hili tatizo la migomo limezitesa sana awamu zilizopita naona jembe magufuli amelifuta pole pole watu siku hizi hakuna mwenye kiburi cha kuandamana wala kugoma hadharani tena.

Kwa hili nimeamini kweli magufuli sio mtu wa mchezo

Kimara nyumba zinavunjwa wananchi kimya wakati awamu iliyopita shida ya maji tu tuliandamana hadi wizara ya maji na ndoo zetu kutokea kimara na Ubungo...
Wacha kupost ujinga humu....

Hebu nenda fb kwako.

Huku JF ni kwa maGT
 
We mpumbavu walioandika maandamano na migomo inaruhusiwa kwenye katiba niwajinga. We msifie tuu but time will tell. Hata Idi Amin na makaburu walizuilia maadamano na migomo, unaujua mwisho wao!!!!
 
habari wadau.

Magufuli kweli ni jembe maana zamani tulikuwa kila siku tunaandamana.

Mara madaktari wamegoma na kuandamana waongezewe mishahara.

Mara waislaam na wakristo wanaandamana mambo ya imani

Mara walimu wanagoma posho

Mara wanafunzi vyuoni wanagoma boom liongezeke

Mara wenye malori wanagoma wapunguziwe ushuru

Mara wafanyabiashara wanagoma wasitumie efd na kufunga maduka yao...

Hili tatizo la migomo limezitesa sana awamu zilizopita naona jembe magufuli amelifuta pole pole watu siku hizi hakuna mwenye kiburi cha kuandamana wala kugoma hadharani tena.

Kwa hili nimeamini kweli magufuli sio mtu wa mchezo

Kimara nyumba zinavunjwa wananchi kimya wakati awamu iliyopita shida ya maji tu tuliandamana hadi wizara ya maji na ndoo zetu kutokea kimara na Ubungo...
Nisaidie ndugu, Wakristo waliandamana lini? Hapo tu!
 
Awamu ijayo ya kiislam tutashuhudia maandamano na migomo

Lexus Mayai
Tunataka aje mkaksi mwingine lakini ashikilie na mambo ya maendeleo hakika tutafika mbali sana. Tena akija aimarishe kabisa na mifumo ya islamic banking watu tuchukue mikopo inayolipika tukafanye maendeleo ktk sekta za kilimo n.k.
 
We ukitawala bila kuifuata katiba iliyokuweka madarakani, na ambayo uliapa kuilinda, ujue unalibomoa Taifa. Watu wakichoka kuonewa, wataanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hawatajali bunduki wala virungu, mtaua watu hadi itashindikana. Tukifika huko ndio utawajua kuwa raia ndio wenye dola. Maandamano na mikutano mbona IPO kwa mujibu wa katiba? au wewe hujui? Kinachofanyika sasa no kulibomoa Taifa, na hakika kwa ujinga wetu, linabomoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom