Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,812
- 15,049
Hii post inaonesha frustration uliyonayo kwa Kamanda wako kugaragazwa na NHC!Wakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?
Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Uwe unajirizisha kabla ya kuchangia......Hii post inaonesha frustration uliyonayo kwa Kamanda wako kugaragazwa na NHC!
Kuwekeza kwny wataalamu ni mzigo tenaaZamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Nakushauri uwe unafanya utafiti kabla uchangie na chambua hoja watanzania sisi ni ndugu na ndugu zetu ndio wanaoumia labda kama ujawai pita chuo ndio utakurupuka kama ulivyofanya......Hii post inaonesha frustration uliyonayo kwa Kamanda wako kugaragazwa na NHC!
Sijui kaandika nini!! Hajui kwamba pale UD kulikuwa na mabomba yanatoa maziwa watu wanakinga na kunywa. Hajui kwamba chakula ilikuwa bure bila kulipa hata thumuni!Wewe Bawacha hivi hujui kama zamani wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wanasoma bure ,siyo mkopo ni bure.
Kabla hatujakujibu tunaomba umri wako pamoja na elimu yakoWakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?
Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Sina haja ya kujibizana na wewe haya mambo namshauri uyo unayemnyenyekea achukui hatua ndio maana nayamwaga mtandaoni......Kabla hatujakujibu tunaomba umri wako pamoja na elimu yako
Ukishaona mtu anapanic badala ya kujibu alichoulizwa ujue upeo wake wa kufikiri ni mdogo na hujui alisemalo, Plato alisema mtu mwenye busara husema panapokuwa na kitu cha kusema lakini mpumbavu husema chochote ili mradi kasemaSina haja ya kujibizana na wewe haya mambo namshauri uyo unayemnyenyekea achukui hatua ndio maana nayamwaga mtandaoni......
Wewe ni mtoto Mdogo kwangu endelea na kazi yako huko Lumumba
Muujiza upi ulitumika now ushindikane?Wewe Bawacha hivi hujui kama zamani wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wanasoma bure ,siyo mkopo ni bure.
Ungetaja umri wako kwanza na Mimi nikakupima kama nafaa kuongea na mtoto au Mzee mwenzanguUkishaona mtu anapanic badala ya kujibu alichoulizwa ujue upeo wake wa kufikiri ni mdogo na hujui alisemalo, Plato alisema mtu mwenye busara husema panapokuwa na kitu cha kusema lakini ******** husema chochote ili mradi kasema
Tatizo lenu mkielimika hamuwapigii kuraWakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?
Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Kuongea na wewe ni kupoteza muda ndio maana unaandika vitu usivyovijuaUngetaja umri wako kwanza na Mimi nikakupima kama nafaa kuongea na mtoto au Mzee mwenzangu
Mkuu unataka elimu ya juu iwe bure kwa sababu Nyerere alitoa bure? Kuna mambo mengi sana yamebadilika kwa mfano idadi ya watu ni wengi sana sasa. Kuna mengi sana yamebadilika hata mfumo wa kisiasa na itikadi za taifa kiuchumi. Na ndio maana Nyerere mwenyewe alipinga kung'ang'ania siasa za chama kimoja ingawa wananchi walitoa maoni ya kupinga vyama vingi. Kila jambo na zama zake.We vipi acha utoto soma bandiko language kwa makini .....
Tatizo wewe ndiye mtoto hoja yangu ipo wazi ....
We we mutu, zingatia masharti ya mkataba wako.Nijibu hili swali:
Kama zamani wanafunzi walikuwa wachache je mapato na nchi nayo hayajabadilika?
Board yenyewe wanabambikiza madeni ya uongo we fikiria chuo kama Mzumbe mwaka 2005 kwa miaka mitatu eti mkopo million 14 MTU unadaiwa sasa unahoji umesoma degree mpka master's huko jibu hapana,nani alipe sasa deni la uongo?..wajirekebishe wizi wa wazi haukubalikiZamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Sasa kama walisoma bure kinachowatia wivu kutoa mikopo nn au ndo hoja yenu tutanunua TVWewe Bawacha hivi hujui kama zamani wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wanasoma bure ,siyo mkopo ni bure.