technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,646
- 58,445
NCHI YA GININGI BI KIREMBWE NDOO RAISWakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je alipataje elimu yake ?
Je alisomeshwa na nani?
Je kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona .
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Nijibu hili swali:Zamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Kila kitabu na zama zakeWakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je alipataje elimu yake ?
Je alisomeshwa na nani?
Je kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona .
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Nijibu hili swali:
Kama zamani wanafunzi walikuwa wachache je mapato na nchi nayo hayajabadilika?
Wewe Bawacha hivi hujui kama zamani wanafunzi wa vyuo vikuu walikuwa wanasoma bure ,siyo mkopo ni bure.
Ukusanyaji wa mikopo utakuwaje rahisi wakati ajira za mliowakopesha mmezikalia?Zamani wasomaji walikuwa wachache so ilikuwa ni rahisi kuwasomesha. Now wasomaji wamekuwa wengi so inakuwa ni mzigo mkubwa kwa taifa... Hili suala lingekuwa rahisi Zaidi kama ukusanyaji wa mikopo kwa wakopaji waliomaliza lingekuwa effective...
Hii kauli ya uchache huwa siipendi angalau umehoji maana utendaji kazi wa serikali unategemea wananchi wake yaani kama vile SACCOS inavyofanya kazi ukiwa na watu 10 kila mtu akatoa mwekundu utakuwa na laki vivyo hivyo kwa mwenye watu 20. Na serikali hali kadhalika, ukiondoa rasilimali za nchi mtaji wa serikali ni nguvu kazi ya wananchi wake unless kama raia ni wazembe na viongozi wanawaangaliaNijibu hili swali:
Kama zamani wanafunzi walikuwa wachache je mapato na nchi nayo hayajabadilika?
Ukusanyaji wa mikopo utakuwaje rahisi wakati ajira za mliowakopesha mmezikalia?
ajira zimekaliwa kivipi mkuu hebu fafanua kwa faidi ya wengi.Ukusanyaji wa mikopo utakuwaje rahisi wakati ajira za mliowakopesha mmezikalia?