BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,329
Leo JPM kakutana na Balozi wa EU na kusaini makubaliano ya kupewa msaada wa £205M (takribani shilingi Bilioni 500) kwa miaka5; lakini kwa masharti. JPM amesaini na kukubaliana na masharti hayo ambayo ni;
1. Kuhakikisha uhuru wa habari na uhuru wa kutoa mawazo
2. Kumaliza mkwamo wa kisiasa Zanzibar
3. Kuguarantee uhuru wa asasi za kiraia
4. Kukomesha tabia ya vyombo vya dola (coersive apparatus) kuwatia nguvuni wabunge.
[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Nawasubiri wale vijana wa Lumumba waliomshangilia JPM alipotamka kwamba hatakubali misaada yenye masharti. Kwamba sisi ni matajiri na tunaweza kujitegemea bila kusaidiwa. Mkamshangilia. Huyo mliyemshangilia leo amessurender.
Ameyameza maneno yake mwenyewe. Tulisema suala la kujitegemea ni zuri lakini liwe na utaratibu. Huwezi kuibuka tu na kusema leo tunajitegemea wakati hujaweka misingi. Ni sawa na kudai mtoto wakati hukuwahi kubeba mimba.
Tuliuliza tumejiandaaje? Vijana wa Lumumba mkapayuka ooh hata kama hatuna kitu tutaanza hivyohivyo. Boss wenu nae akawaunga mkono kuwa hataki misaada yenye masharti. Leo amesurrender.
Njooni mumshangilie tena.