juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Wakuu salaaaaam,
Hakika nyote naamini ni wazima kwa neema ya maulana. Kiukweli huyu Magufuli kaleta maafa kwa watu wa hali ya chini katika suala zima la kipato,ila wakati huohuo kaleta heshima sana mtaani.
Kaleta ugumu wa maisha kwa sababu huku mtaani hali ni mbaya kiuchumi, hasa kwa wajasiriamali wadogo. Yaani biashara haziendi kabisa labda uuze chakula ndio utauza kwa kuwa ni kitu necessary in daily life.
Hali ni tete kiufupi,ila kaleta heshima sana, hasa kwa hawa dada zetu, maana zamani ilikuwa ni kawaida mwanamke hana kazi lakini anamiliki simu ya laki 4 hadi 8 hadi unashangaaa, kisa anahongwa na wanaume tu. Na ilikuwa ni kawaida tu na ilifika mbali wanawake walianza kuwadharau wanaume wa kipato cha chini.
Yaani ilifikia hatua mwanamke unampa 10000/20000 anakwambia hela gani,au anakwmbia hiyo haitoshi kabisa na hakutaki tena,kisa ni kwamba anahongwa hadi laki n.k,ila kwa sasa ukimpa Ten anakwambi "asante bby" haaaahaaa heshima inarudi