Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,388
- 1,059
Hahahahahaha watajijua sasa.Madalali waliomleta boss wa Boing wakikusikia wanakasirika sana kwani wanaona unataka kuwakosesha 10% yao,hawapendi kusikia watanzania wanapinga ununuzi wa ndege.