MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Wameongelea masuala ya umasiki na jinsi ya kupambana na changamoto za kilimo ambazo zinawakabili Watanzania zaidi ya asilimia 70.
Kama Melinda Gates..... Mwenyekiti wa Gates FoundationAmeenda Ikulu kama nani?
Waliongea kiswahili si alisema kwenye hotuba ya kagame rwanda hatoongea tena ngeli ni kiswahili mwanzo mwenga na ndio maana tunamtuma majaliwa kuwakilisha kuleMbona tafsiri inawahi sana?
Si muweke maneno ya rais kidogo na ya mama Gates?
Watu wasome ngeli jamani!
Mheshimiwa kwenye ngeli ni mweupe kama nywele za Lowassa.
Hivi unamjuwa Bill gates ni nani?wametafuta njia mwisho wamefika wenyewe bila ya kuelekezwa,ukikaza wanakuja!
tabia mbaya....Rais huyo ujueMbona tafsiri inawahi sana?
Si muweke maneno ya rais kidogo na ya mama Gates?
Watu wasome ngeli jamani!
Mheshimiwa kwenye ngeli ni mweupe kama nywele za Lowassa.
Kama Tajiri mkuu dunia nzima.Ameenda Ikulu kama nani?
Hahahahahaaaaaaaa! Wapi kasema kuwa hatutaki misaada? Hatutaki misaada yenye mmasharti kama kukubali ndoa za jinsia mojaHatutaki misaada yao .... Kauli za magufuli hazina tofaut na standup comedy
Wakati fulani ulidai hatuhutaji msaada wowote aidha makusanyo ya kodi kiasi cha trillion moja yanatutosha,ingawa nusu yake Ni mishahara na robo moja inalipa madeni.Hapo kwenye kilimo kagusa penyewe.Waangalie uwezekano wa kijikita zaidi kusaidia eneo hilo ambalo ndilo lina watu wengi duniani wenye uhiytaji mkubwa wa kuondokana na umaskini.
Maeneo hasa ya kilimo na ufugaji wa kisasa katika eneo dogo lenye uzalishaji mkubwa,eneo la teknolojia rahisi ya kisasa ya kilimo,UONGEZAJI THAMANI MAZAO YAWEZE Kuuzika masoko kama ya marekani ,ulaya nk,Uwezeshaji wa wataalamu wa kilimo wanaoishi vijijini kuwasaidia wakulima (MAAFISA UGANI) kielimu bora ya kilimo,Usaidizi kwenye vyuo vya kilimo na utafiti vinavyotoa wataalamu wa kilimo,
Usaidiaji akina mama wa vijijini kwenye kaya maskini kimitaji midogomidogo ya zana za kilimo pembejeo nk
Ni wakati wa wao kujikita vijijini zaidi mijini kuna unafuu fulani.
Hapo UKAWA roho zao zipo papu, papu, papu
Mkuu haikuwa suala la ushogaHahahahahaaaaaaaa! Wapi kasema kuwa hatutaki misaada? Hatutaki misaada yenye mmasharti kama kukubali ndoa za jinsia moja