Rais Magufuli akutana na mfanyabiashara, Sunil Mittal

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,996
>Mazungumzo yalihusu masuala ya kiuchumi na hasa sekta ya viwanda na uwekezaji.
>Mazungumzo yalihusu utendaji kazi wa kampuni ya simu ya Airtel Tanzania ambayo serikali inamiliki asilimia 40 ya hisa za kampuni ambapo ameeleza utayari wake wa kuingiza kampuni ya Airtel Tanzania katika soko la DSE ili watanzania wanunue hisa.

7.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
8.jpg

9.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Sunil Bharti Mittal (born 23 October 1957) is an Indian entrepreneur, philanthropist and the Founder & Chairman of Bharti Enterprises, which has diversified interests in telecom, insurance, real estate, malls, hospitality, agri and food besides other ventures. Bharti Airtel, the group's flagship company is the world's third largest and India's largest telecom company with operations in 18 countries across Asia and Africa with a customer base of over 350 million. Bharti Airtel clocked revenues of over USD 14.75 billion in FY2016. He is listed as the 8th Richest person in India by Forbes with a Net worth of $8 Billion.

In 2007, he was awarded the Padma Bhushan, India's third highest civilian honor. On June 15, 2016, he was elected as Chairman of the International Chamber of Commerce.

Kama humfahamu vizuri, gonga hapa;
Sunil Mittal-Wikipedia
 
Anaonyesha sura ya kiungwana, hope naye sio mpiga dili!
Historia inaonyesha sio mpiga dili lakini kumbuka kufanya biashara katika nchi hasa za Asia na Africa lazima dili za hapa na pale hazikosekani.

Hoja ya msingi nadhani ni ukubwa wa dili kutegemea na serikali ya nchi hiyo!
 
Anaonyesha sura ya kiungwana, hope naye sio mpiga dili!

Sunil Bharti Mittal (born 23 October 1957) is an Indian entrepreneur, philanthropist and the Founder & Chairman of Bharti Enterprises, which has diversified interests in telecom, insurance, real estate, malls, hospitality, agri and food besides other ventures. Bharti Airtel, the group's flagship company is the world's third largest and India's largest telecom company with operations in 18 countries across Asia and Africa with a customer base of over 350 million.[5]Bharti Airtel clocked revenues of over USD 14.75 billion in FY2016. He is listed as the 8th Richest person in India by Forbes with a Net worth of $7 Billion.[6]

In 2007, he was awarded the Padma Bhushan, India's third highest civilian honor.[7] On June 15, 2016, he was elected as Chairman of the International Chamber of Commerce.[8]

Soma zaidi: Sunil Mittal - Wikipedia
 
>Mazungumzo yalihusu masuala ya kiuchumi na hasa sekta ya viwanda na uwekezaji.

7.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
8.jpg

9.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Sunil Bharti Mittal (born 23 October 1957) is an Indian entrepreneur, philanthropist and the Founder & Chairman of Bharti Enterprises, which has diversified interests in telecom, insurance, real estate, malls, hospitality, agri and food besides other ventures. Bharti Airtel, the group's flagship company is the world's third largest and India's largest telecom company with operations in 18 countries across Asia and Africa with a customer base of over 350 million.[5] Bharti Airtel clocked revenues of over USD 14.75 billion in FY2016. He is listed as the 8th Richest person in India by Forbes with a Net worth of $8 Billion.

In 2007, he was awarded the Padma Bhushan, India's third highest civilian honor. On June 15, 2016, he was elected as Chairman of the International Chamber of Commerce.
At list Rais wangu umefuta machozi ya wahindi wa tz baada ya ndugu yao kushambuliwa na mkuu fulani wa mkoa kuwa eti anakula dona akisahau mambo mazuri amewatenda wana tz
 
Mjadala unahusu share za Serikali kwa airtel na jinsi ya list DSE....maana mbia mwenza alizingua kuhusu share zake hataki ku list pale!!! Sasa ni issue kubwa kwenye uwekezaji!! Hope wameongea na kupeana way foward!!!
Hakuna waziri wa biashara?
 
Mtoa mada hamjui vizuri huyo jamaaa, ungelikuwa una njia ungekausha tuu. Bharti ni kakikundi fulani fulani tuu kawapigaji
 
Wengine WA ndani cha Moto ewanakiona. Bongo shobo kwa wageni huyo mnayemshobokea ametengenezwa huko kwao nyie wenu mnaita wapiga dili.

What is all about? Sera za cdm zimekuwa kutetea wapiga deal?
Kwani Tanzania hakuna wafanya biashara?
Weka muziki wacha maneno
 
Back
Top Bottom