Rais Magufuli akutana Ikulu na makundi yaliyoshiriki naye kampeni 2015

JAMII-ASM

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,305
524

iku10.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

IMGS4457.JPG

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhavile, maarufu kwa jina la Joti katika mkutano kati ya Rais John Magufuli na Wasanii uliofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2016

iku1.JPG

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

iku3.JPG

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

iku5.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

w2.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wataalamu wa TEHAMA baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016

w3.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Fleva baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

w4.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Movie baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

w5.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na sehemu ya wanahabari aliokuwa nao katika kampeni baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016

w6.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na watendaji kutoka CCM Makao Makuu baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.


w1.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016

wa1.JPG

Rais John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mhe January Makamba huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye kabla ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
PICHA NA IKULU
 
Mara oooh wasanii Ikulu mtapaona kwenye tivii tu. Mkasahau CCM ni ile ile.
 
mleta mada ungeandika ni nn walichoendea/kuzungumza na viongozi wetu ingekuwa vizuri...
 
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAKUNDI YALIYOSHIRIKI NAYE KWENYE KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015



ndo lengo la kukutana nao
 
maagizo toka msoga haya,jpm anatekeleza...kwa nini samatha alibaniwa?akaribishwe naye pia ebo...ccm ni ile ile
 
IMGS4457.JPG
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhavile, maarufu kwa jina la Joti katika mkutano kati ya Rais John Magufuli na Wasanii uliofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Siamini kama anaitwa Lucas MHAVILE. Nadhani labda ni Mhuvile lakini siyo Mhavile
 
Wasanii badala ya kuiomba serikali ilinde kazi zao za sanaa,hati miliki pamoja na kupambana na maharamia wao watashindana kupiga picha na rais ili waweke Instagram.
 
Kwani ni dhambi wasanii kwenda Ikulu?


Siyo dhambi kabisa, ila cha msingi ni kutunza maneno.
Rais wa awam ya 5,.ni binadam sawa na mtu yeyote yule ana mazuri na madhaifu pia. Ila kuna watu wana mitazamo ya ajabu sana. Team kama ya Simiyu, Liz Songea walifura na kudai Wasanii Ikulu watapasikia Redioni kisa ni Hapa Kazi tu.

Hivyo, muache kumlisha Mh Rais maneno yenu ya kiushabiki, eti Ikulu wataisikia Redioni. Kumbuka Ikulu ni ya Watanzania, japo Rais ndo anatuwakilisha!
 
Back
Top Bottom