Rais Magufuli akihutubia wananchi wilayani Kyela mkoani Mbeya

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Hotuba ya Mh Rais inaendela hivi sasa, live kutoka wilayani Kyela mkoani mbeya, Rais anawashukuru wananchi wa mbeya kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano huo na mapokezi makubwa waliyomfanyia. anasema kila alipopita alikuta wananchi wamejitokeza kwa wingi barabarani kwa ajili ya kumlaki.

Rais anawapongeza na kuwasifu wananchi wa Mbeya kwa uhodari wao wa kilimo, na uchangiaji mkubwa wa pato la taifa kupitia kodi na hicho kilimo.

Rais anasema serikali itajenga barabara zote za mkoa wa mbeya kwa lami hususan zile za kuunganisha wilaya kwa wilaya na zile za ndani yaani feeder roads tutazisimamia halmashauri kuhakikisha zinajengwa kwa kiwango kinachoridhisha
Rais anazidi kueleza kuwa malawi ni rafiki na ndugu zetu, ndio mana wapo hapa. Afrika ni moja, waafrika tunatakiwa tuishi kindugu.

Tusigawanywe na mabeberu, katika kipindi cha uonmgozi wangu malawi na nchi nyingine yyte ya afrika wataendelea kuwa ndugu zetu daima. ndio mana tunajenga kivuko kizuri hapa ili wamalawi waje tz kwa wingi na watz waende malawi kwa wingi.

Pia sasa hivi tunajenga one stop center kati ya Tanzania na Malawi.

updates......tumenunua ndege 8 cash, tumeboresha miundombinu ya usafiri, madaraja ya juu jijini dsm, tumehamishia makao makuu ya nchi jijini dodoma sasa hivi tunajenga madaraja ya kupitia majini km hili la sarenda.

updates.... Rais amechangia fedha taslim tsh milioni tano kwa ajili ya ujenzi wa msikiti, naibu spika milioni mbili, mwakalinga milioni moja, mawaziri wanachangia malaki laki, rc laki mbili, ccm kitachangia laki 2, mkurungenzi wa tiss kipilimba 1,000,000. renaatus mkinga 100,000, mtendaji mkuu wa NIC 1,000,000, CCM WILAYA YA KYELA 1,000,000, MKURUGENZI WA NEMC 300,000....RAIS ANAWAITA CHADEMA NAO WACHANGIE,......KIMYA ??? RPC 200,000....KATIBU WA CCM MKOA WA MBEYA AMETOA MILIONI MOJA, BABA MCHUNGAJI KKKT KYELA 240,000.....TANZANIA HOYEEEEEEEEEEEEEE. MBUNGE MH KAKOSO LAKI MBILI
 
Live tbccm 1.
Shenzi kabisa walizima bunge live wakaona watuletee mungufuli live hovyo kabisa.

Mimi nilikuwa napenda ninapoona mijadara moto ikijadiriwa
 
Mhe. Hasunga Waziri kuna shida katika Halmashauri zimeanzisha kodi zao ili kukwepa haya unayoongea
Mfano mtu umelima na umepata gunia kama arobaini (40) na unarudisha nyumbani ndani ya wilaya hiyohiyo unaambiwa kuwa ulipe kodi sitoi nje ya wilaya wala bado kuuza wao wanataka kodi
Ajabu wameanzisha tatizo lingine la kulazimisha kutumia magunia madogo ambayo yanaongeza gharama za uchukuzi naomba hili litolewe maelezo
 
Back
Top Bottom