Rais Magufuli akagua kiwanda bila kuvaa safety gear (vifaa vya usalama kazini) Osha wakaa kimya

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
14.jpg
 
Umechanganyikiwa unakurupuka kuandika uzi...eti osha wakaa KIMA! Nilijua hapo mnalipwa per hour...kumbe mnalipwa per thread
anayelipwa ni aliyeandaa ziara? hakujua kuwa Mheshimiwa Raisi angetembelea kiwanda cha Chaki?
atumbuliwe na katibu mkuu.
Osha wanatakiwa watoe taarifa sio sisi
 
hahaha nyie Bawacha mmesha changanyikiwa sasa mnapo elekea mtaanza kukagua jinsi anavyo angalia na kutoa lawama.
Hadi apate ajali huko kwenye viwanda ndio utapata akili, tatizo nyie buku 2 Lumumba mnafikiri rais ni wa ccm peke yake, mtu akiongea jambo kwa mapenzi mema kwa rais wa nchi mnachanganya na siasa. Miradi yeyote au viwanda ni lazima mtu anayeingia awe amevaa PPE, hiyo ni kwa mujibu wa sheria na sio siasa. Ila kama unajidai mwili wako ni PPE endelea kwenda sehemu za viwanda au construction site bila PPE sisi kazi yetu itakua kuandika RIP.
 
Si anajua kila kitu yeye kwanini asijivalishe mwenyewe......

Anatutisha watu wote kwa sasa tunamuogopa .....

Anachofanya ndio sahihi.....
 
Kwa jinsi jana alivyokua anaielezea pombe haramu ya gongo kuanzia stages za production hadi number one amenitafakarisha sana kuhusu Phd ya ujuzi wake wa chemistry
 
muuandaji wa ziara hii hakujipanga kwa kuwapa kofia ngumu ,vikoti huyu faini yake ni mara mbili ya wageni . ni utani tu.
 
hahaha nyie Bawacha mmesha changanyikiwa sasa mnapo elekea mtaanza kukagua jinsi anavyo angalia na kutoa lawama.
Bavicha wamevurugwa mpaka hawajielewi....sasa hivi Lema na Saanane wake wamesahaulika kabisa. Sijui bavicha huwa wanawaza nini!
 
Si anajua kila kitu yeye kwanini asijivalishe mwenyewe......

Anatutisha watu wote kwa sasa tunamuogopa .....

Anachofanya ndio sahihi.....
Hivi kuna mawe yatadondoka humo? Hicho kiwanda cha maji na juice hizo safety precautions zanini? Isitoshe mtambo uko confined (integrated) unatizama kwenye vioo tu. Angekuwa mererrani mgodini sawa. BAVICHA mnalo this time
 
Back
Top Bottom